islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
we mtu analinda nchi yake na watu wake wewe una sema hana uchungu na watu wake ishiii[emoji16][emoji16]hapo kwa kiduku hapo... Kiduku hanaga cha kupoteza, ni kichaa kwelikweli, usipojiongeza ukamuepuka inakula kwako, maana yeye haoni shida hata kwake kukiharibika, hana hata uchungu na watu wake.
awashambulie wafanya mazoezi kwa sababu ganiMarekani na South Korea hufanya mazoezi ya kijeshi mpakani mwa north Korea kitu ambacho kiduku hapendi kabisa, lakin kiduku Hana Cha kufanya sana sana hasira zake humalizia kuishambulia bahari badala ya kuwashambulia wanaomchokoza[emoji2][emoji2]
Russia anamuogopa muingereza balaaa. Hachana na muingereza wewe, balaaa lake sio la mchezo na yeye ndio alianza kupeleka silaha Ukraine na marekani akafata. Na siku akisema sijui uingereza isipeleke silaha na ndio wiki iyo wanapeleka Apo Ukraine.Akisema atatumia nyuklia hana maana ataipiga Ukraine.Anaweza akaipiga US na Uk ambao wako kimbelembele sana katika hivi vita.
Putin mwenyew alitisha na ndaro tele mpaka akatoa nje mi-nuclear yake kupasha moto baadae kazirudisha ndani mwenyewe sasa drones za Ukraine zinagonga mlango Moscow na hakuna chochote putin ameweza kufanyaRaisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.
Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.
Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.
View attachment 2680157
Huwa coment zako ni za-kiashki ashki ki-majunun majunun [emoji15][emoji14]Akisema atatumia nyuklia hana maana ataipiga Ukraine.Anaweza akaipiga US na Uk ambao wako kimbelembele sana katika hivi vita.
Sasa hivi unazungumzia issue ya Kukaa mezani muda wote mlikuwa wapi? Mmeona mmeshikwa kende ndio mnataka mazungumzo ? Zelesky ashikilie hapo hapo mpaka nyani ateme bun'go.Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.
Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.
Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.
View attachment 2680157
UK alikuwa wa kwanza kutamani kupeleka Nuclear Poland, naamini NATO itakuwa Nuclear kadhaa zikiwa Standby kwenda Russia.Silaha za Nyuklia zilitengenezwa kwa mara ya kwanza na Marekani. USSR wakaiba michoro hiyo na kuikopi. Ila leo Urusi huzungumzia silaha za Nyuklia kama vile wao ndo wanazo tu. Director wa CIA alikwenda Urusi akawaambia wazi kuwa wakiytumia Nyuklia Ukraine basi hata NATO watatoa Nyuklia kwa Ukraine kuipiga Urusi.
Kwan yey ndo anaipangia Ukraine nan wa kumsaidia? Mbona yeye alipokea misaada ya USA kipind anapigana na UjerumanRaisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.
Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.
Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.
View attachment 2680157
Kwan Urusi ndo anamiliki nyuklia pekee yake , usichoelewa kulipua nyuklia ni tofaut na makombora maana makombora yana target sehem ndogo isiyohusisha wasiohusika ila nyuklia inaeza walipua hata wasio husika na mgogoro huo itapelekea serikali husika kumshughulikia Urusi vzrWee sijui ni nani ambaye huogopi nyuklia.
Uwe unaona aibuLakini ukichanganya nyuklia za nchi za NATO unapata idadi ya nuclear ya urusi.hakuna nchi ambayo inaweza kuthubutu kurusha nuclear urusi.
Tumechoka na matisho ya Urusi kuhusu nuklia utafikiri anayopekee yakeUnaijua nyuklia au unaongea utopolo
Nahis huku si level zko bdo akili yko haijakomaaNaona wamelemazwa Ukraine kateka maeneo ya urusi.
Dah jf ina watu wajinga sn siku hzAkisema atatumia nyuklia hana maana ataipiga Ukraine.Anaweza akaipiga US na Uk ambao wako kimbelembele sana katika hivi vita.
Medvedev anaropokaga akishakunywa vodkaRaisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.
Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.
Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.
View attachment 2680157
Ww si bure hamnazo , huyo ni nan hasa wa kuzungumzia maswala nyeti ya urusi ambayo hayawez ropokwa hadharanWajinga tu ndio watampuuza
Kwa maelezo hayo km bado unashabikia Urus , either ww ni mchawi au mwendawazimNATO banaaa
Eti wanatumia mbinu za zamani, wanataka watumie mbinu za kisasa ili iweje?
kila mtu apambane na hali yake
wao jukumu lao ni kumtoa Russia ndani ya Ukraine na la Ukraine ni kuendelea kuikalia Ukraine
Hv hawaon saga la Prigo ? VITA INGEKUWA NZUR KWA URUSI BASI HILI SAGA LA PRIGO LISINGETOKEA , HOFU YA PUTIN DHIDI YA WAGNER ( hatujui wagner walifanya nn ikamtia hofu Andunje ) PILI PUTIN ANATAKA WAGNER IINGIZWE JESHIN KISHA PRIGO ANAINGIA ROSTOV KISHA PRIGO HAJULIKAN ALIPO KISHA WANALIA KUTUMIA NYUKLIA , HII VITA NI MWIBA KWA PUTINSi kwamba wajinga tu ndo watamuamini?
Tangu february mwaka jana mikwara mbuzi ile ile, ni we mtindio tu wataamini, mwenzie Putin kashapunguza biti maana hata akitishia wajuba wanampuuza
Nina uhakika jamaa hakupimwa akili, mtaani tunakaa na wagonjwa huku.Braza ulishawah kupimwa akili???
Ulipimwa hospital gani na majibu yalitoka kwa kiwango gani???
UK aliweka wazi kabisa atapeleka Nuclear Poland endapo Russia akionesha dalili za kutumia Nuclear.Russia anamuogopa muingereza balaaa. Hachana na muingereza wewe, balaaa lake sio la mchezo na yeye ndio alianza kupeleka silaha Ukraine na marekani akafata. Na siku akisema sijui uingereza isipeleke silaha na ndio wiki iyo wanapeleka Apo Ukraine.