Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

ninachojiuliza siku zote, wanasubiri nini ili tusisikie tena vita ya ukrain? maliza vita kwanza inatuletea garama za maisha.
 
Wazo la kuwa na bomu chafu lilikuwa la hitler!
Aliwaita wanasayansi wake Ambao walikuwa Wayahudi na kuwaambia nataka kuitawala dunia hivyo nahitaji mabomu.5 ambayo kila moja lina uwezo wa kuangamiza continent litakalo leta ubishi!
Wanasayansi wakamjibu inawezekana!; ila tunahitaji eneo tulivu na salama!
Akawaita Majenerali wake akawaamrisha wavamie Austria na kuchukua milima ya Alps!
Baada ya muda kule milima ya Alps walitengeneza mabomu mawili!
Wayahudi wakamfahamisha Uingereza lengo la hitler na wamesha tengeneza mabomu awili!
Mngereza Akatuma Helcopter zenye makomandoo na kuchukua yale mabomu!
Wanasayansi wa ungereza baada ya kuyakagua yale mabomu wakagundua kuwa ilitokea ajali ungereza itafutika!
Wakamuomba Marekani awatunzie mzigo wao, Marekani ikakubali!
Hitler alipo gundua walicho mfanya Wayahudi akaanza kuwaua Wayahudi hadi kwenye gas chambers!
Akaona Anauweka usiku akatanga vita ya pili ya dunia, na kuivamia ulaya!
Naona niishie hapo simulizi ni ndefu hadi Marekani Anaingia vitani, Mfalme Hirohito alivyoinyanyasa china hadi Marekani Akatumia bomu la.1(small boy) kuipiga Japan........
 
Ikirushwa nyuklia hakuna kisingizio kwamba yamedondoka mabaki ndiyo yaliyounguza majengo.Mabaki ya nyuklia bado ni nyuklia tu na balaa kubwa.

Namaanisha use of single war head ni wwlll. Hili hata putin analijua ndio maana mpaka sasa hajatumia nuclear war heads.
Unafikiri nuclear ni sehem moja, madhara yake yatasambaa both international and localy
 
Nuclear ni nini kwanza , na kwanini walizitengeneza , walizitengeneza ili zitumike , wazitumie basi au ni za mapambo?
 
Braza ulishawah kupimwa akili???


Ulipimwa hospital gani na majibu yalitoka kwa kiwango gani???
Kwanza nikuulize akili inspimwa kwa mashine gani ? Pia kuna Akili katika makundi mawili
1) ugonjwa wa akili
2)Akili kubwa na akili ndogo hapa ni nje ya ugonjwa wa akili ....yaani ukichukua watu wenye akili timamu tu ujue nao wametofautiana uwezo wa akili .
Hapa kuna makundi mawili
1) ni kupima ili kujua mtu mwenye akili timamu na mtu mwenye matatizo ya akili (ugonjwa wa akili)
2) kupima akili baina ya watu wenye akili timamu kujua ni wepi wenye akili kubwa zaidi ya wengine


Sasa kwenye hayo makundi mawili nitajie mashine zinazo tumika kuwapima wa kundi la kwanza na wakundi la pili....kama ujui basi wewe ni chenga pia
 
Kwann jina lako la MJINGA unaligawa hovyo ? Putin atumie njia ngumu ya kuua watu wake vitan wkt ipo njia nyepes ya nyuklia na NATO wakanywea ? Putin mpole kwa kulipua makaz ya watu wasio husika na upuuz wake?
Tatizo malengo ...njia ngumu ndiyo itafanikisha malengo mengi sana ya urussi ...mfano urusi ingetumia nuke mwanzoni mwa vita basi nchi za NATO ikiwemo marekani zinge singizia kuwa urusi ni dhaifu kijeshi na silaha zake ni duni ndiyo maana katumia nuke ila kwa sasa urussi kazichapa silaha za nato yote na kuzigeuza chuma chakavu hivyo imemuongezea heshima na soko la silaha zake kuja kuwa kubwa ...pia kuna lengo la BRICS pia kuna lengo la KUIBOMOA DOLA haya malengo ndiyo yanasababisha mrusi hatumie njia ndefu.
 
[emoji1787][emoji1787] Ngoja nikuulize swali kama kungekuwa na mashine haswa ya kutambua watu wenye miakili mikubwa na mingi una dhani waajiri wangeangaika na makaratasi ya vyeti vya vyuoni ...si wangefunga tu hizo mashine maofisini ili kila wanapo taka kuajiri basi wanatumia hizo mashine kupata watu bora ...hata vyama vya siasa vingetumia
 
Tatizo la kwenye ajira hawaishii tu kwenye kuwa na akili timam bali wanatakaga na kaujuz na ujuz unapimwa na taarifa za kwenye makaratas ndio uitwe kwenye test
Sijaongelea akili timamu na ugonjwa wa akili hapa nimeongelea akili timamu kwa timamu yaani kupata watu wenye akili kubwa kati ya watu wenye akili timamu ....yaani wakija kuomba kazi watu wenye akili timamu 100 na wewe unataka watu 4 kati yao kwanini wasitumie hiyo mashine kujua mwenye akili nyingi zaidi ili kupata 4 walio best
 
amin nakwambia akili huna
 
Huyu jamaa anaongea kama kishikwambi huku akiamini atapewa tena Urais maana ni kama Remote tuu anaongea ili kumfurahisha Putin hakuna anachojua huyo Tura...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…