Sahihi kabisaNo.
Kuheshimu mipaka ni jambo la muhimu sana kwa karne hii na zama hizi za sasa. Aidha, Sheria za kimataifa kuhusu mipaka ya kimataifa inafaa sana kuheshimiwa ili kulinda amani na pia kulinda usalama na maisha ya watu. Ubabe wa kuvamia nchi za watu wengine au kujimegea ardhi kwa nguvu kutoka kwa mataifa ya jirani siyo kitu kizuri hata kidogo kwa dunia ya sasa iliyostaarabika.
Pumba tupu wewe; leta ushahidi kama kuna ardhi ya Iraq ilichukuliwa na Marekani., Mambo ya wakati wa vita ni tofauti kabisa na matokeo ya vita hiyo linapokuja swala la mipaka ya nchi. Putin keshajitangazia kubadilisha mipaka hata kabla vita haijaisha.,Kitu cha kwanza ambacho US ilikifanya baada ya kufanikiwa kuteka baghdad na kuangusha utawala wa sadam ililuwa kushusha bendera ya Iraq na kupandisha bendera ya US huku wakiangusha sanam la Sadam.
Umajua kushusha bendera ya nchi na kupandisha ya nchi nyingine ina maana gani?
Tukio lilikiwa live na walipojishtukia wakakata matangazo.
Una viashiria fulani vya extremism, hii ni hatari kwa sababu unaweza kurubuniwa au kurubuni watu kuwa mhanga kwa ahadi ya mabikira 72. Pata usaidizi kutoka kwa FaizaFoxySafi sana Venezuela [emoji1263] kama muna haja yakufanya hivyo nauwezo munao nikiwa kama mpenda amani nawaunga mkono
Nanyie kama mnaweza vamieni tu baadae msije mkaanza kulialia maisha yamekua magumu
Iraq si ilikaliwa kimabavu na majeshi ya marekani mpaka leo yapo. Kampuni za kimarekani zikapewa tenda za kuvuna mafuta. Same to afghanistan.Pumba tupu wewe; leta ushahidi kama kuna ardhi ya Iraq ilichukuliwa na Marekani., Mambo ya wakati wa vita ni tofauti kabisa na matokeo ya vita hiyo linapokuja swala la mipaka ya nchi. Putin keshajitangazia kubadilisha mipaka hata kabla vita haijaisha.,
Acha propaganda wewe kama hujui kuwa Obama alitrudisha majeshi yote ya Marekani mwaka 2011. Unaikumbuka picha hii iliyosambazwa duniani kote siku hiyo?Iraq si ilikaliwa kimabavu na majeshi ya marekani mpaka leo yapo. Kampuni za kimarekani zikapewa tenda za kuvuna mafuta. Same to afghanistan.
Sasa kuna tofauti gani na anachofanya mrusi. Marekani aliondoa serikali zilizpkuwepo akaweka zake na majeshi yake.
You only see what you want to see. Fungua macho uone.
Jua kusama vizuri, post hiyo ilisema "Tanzania ya leo" ikiwa na maana ya kuwa kabla ya "Tanzania ye leo" kuwapo. Elimu ni kitu cha muhimu sana.Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanzania mwaka gani ?
Maana Tanzania haija wahi kuwa Koloni,bali muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
Lakini baada ya kuikalia kwa muda gani?Acha propaganda wewe kama hujui kuwa Obama alitrudisha majeshi yote ya Marekani mwaka 2011. Unaikumbuka picha hii iliyosambazwa duniani kote siku hiyo?
View attachment 2843754
We kima unaijuaje Rwanda?. We ni bwege kweli acha ushabiki wa kitotoHivi unaielewa Rwanda vuzuri?
Tz inaweza kuishia kumegwa kilaini tu
Tusiidharau Rwanda eti kwa sababu ni "kanchi kadogo," tunajidanganya. Vita vya siku hizi ushindi wake unategemea sana Ubora/ Viwango vya Sayansi na Teknilojia na ubora wa akili wa akili walizonazo wapiganaji lakini siyo ukubwa wa nchi au wingi tu wa wapiganaji. Mfano mzuri ulio hai ktk hili ni nchi ndogo ya Israeli ambayo inasumbua mataifa mengi majirani zake.Rwanda Ina nini Cha kulingana na tz? Propaganda zao waishie kuwasumbua Burundi tu na congo,hapa kwa tz watayatimba.
Ushaanza ku panic wewe kafiri.Una viashiria fulani vya extremism, hii ni hatari kwa sababu unaweza kurubuniwa au kurubuni watu kuwa mhanga kwa ahadi ya mabikira 72. Pata usaidizi kutoka kwa FaizaFoxy
Kwa nini Marekani aliivamia Iraq ?Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Kwa nini Marekani aliivamia Iraq ?Pumba tupu wewe; leta ushahidi kama kuna ardhi ya Iraq ilichukuliwa na Marekani., Mambo ya wakati wa vita ni tofauti kabisa na matokeo ya vita hiyo linapokuja swala la mipaka ya nchi. Putin keshajitangazia kubadilisha mipaka hata kabla vita haijaisha.,
Kwamba hakuna U.S military bases Iraq ?Acha propaganda wewe kama hujui kuwa Obama alitrudisha majeshi yote ya Marekani mwaka 2011. Unaikumbuka picha hii iliyosambazwa duniani kote siku hiyo?
View attachment 2843754
Inaelekea hujui kuwa walipitia umoja wa Mataifa, siyo kuwa walaijichukulia sheria mkononi bila umoja wa mataifa kujua. Ni kweli sababu walizotumia zilikuwa hafifu lakini walipitia njia sahihi.Kwa nini Marekani aliivamia Iraq ?
Mambo ya kuvamiana vamiana na uporaji Urusi ndio kaanzisha ?Urusi imeonyesha mfano kuwa taifa moja linaweza kumega ardhi ya Taifa jingine na kuifanya yake, Venezuela naye sasa anafuata, anataka kumega nusu ya Guiyana ajichukulie. Hii lawlessness itaishia wapi, Je Tanzania nasi tujitwalie Burundi na Rwanda zote kwa vile wakati wa Mjerumani tulikuwa nchi moja?
Lini Tibet ilikuwa taifa lenye serikali yake ?China na Tibet ni tatizo kama hilo la Urusi; Tibet lilikuwa Taifa lenye serikali yake China ikaivamaia, na mpaka leo hawelewani pale Tibet.
Kwamba umoja wa mataifa uliiruhusu U.S kuvamia Iraq ?Inaelekea hujui kuwa walipitia umoja wa Mataifa, siyo kuwa walaijichukulia sheria mkononi bila umoja wa mataifa kujua. Ni kweli sababu walizotumia zilikuwa hafifu lakini walipitia njia sahihi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=DhWlPo3qxak
Usiseme sijui historia wewe ndio uniambie huo mwaka Tibet ni taifa ?kama Huji Historia usijadili Historia