Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

Muweke na mchina, north Korea then upime tena tafakuri yako. Kisha uamini kua nchi itakayotaka kushindwa kama itabonyeza nuclear au la.
Nilichoandika nina uhakika nacho 100%, na wakati ukifika kitakapotokea haijalisha wewe utakuwa bado duniani, kuzimu au kwa neema ya Yesu peponi habari zitakufikia.
 
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.

Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438
Tujiandae nq mafuta kupanda bei!
 
Putin is purely arrogant, sasa i will support kupigwa sana Putin, his downfall is inevitable, kama huwajui wayahudi, subiri uone mambo ya Putin, inside Moscow wanamuondoa, najua huamini, Putin jinga kabisa
Wanamuondoa toka mwaka 2022 ilikua ndio ngano yenu mpaka sasa ishaanza kugeuka sembe
MSM na chachi kumewafanya mushindwe hata kuwaza na kuwazua majambo kama hayo
 
Gaza ni occupied territory isiyo na ulinzi wa anga wala wa ardhi na wala isiyo na jeshi kamili.
Usifananishe Gaza na Iran ambayo ina airdefence system zaidi ya nne,ina ndege vita,ina makombora ya kufika popote na ina jeshi kamili.
Weeeh usifananishe.
MSM na chachi kumewafanya hao jamaa wafikirie kama wamekatwa vichwa aseee
Tuseme ghaza nchi kama wanavyotaka wao iwe ila sasa tunawauliza taifa teule liliwezaje kupigana na mataifa yote ya kiarabu kama wanavyodanganywa ila linashindwa na hamas au nchi ya ghaza pekeee
MSM na chachi zinawafanya watu wawe wanafikiria kama hawana vichwa aseeee
 
Huyo mwehu putin aliwahi kusema marekani kinamsukuma nini kuingia ukraine badala ya kufanya yaliyo nchini kwake ajabu hicho hicho alichojifanya kukishangaa ndicho anataka kukifanya huko iran.
Shida mnapenda kuropoka bila kufatilia majambo
Ukraine kulikua ama kuna makubaliano yapo nandio maana yanatakiwa kulindwa
Huko iran yamekiukwa makubaliano yapi?
 
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.

Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438
Vibaraka wa USA pale Arabuni wafgekwe wote
 
Inaonekana hujui kabisa kinachofanyika. Hiyo "GPS Jamming" inafanywa na Israel wenyewe kwa sababu zao za kimkakati lakini nyie watu wa kijiweni hilo hamuwezi kulifahamu. 👇

punguza mahaba kijana, yaani kila taarifa tu ikionesha imetokea Israel unasema amefanya Kwa mkakati na ikitokea nchi hasimu unasema Kuna mkono wa Israel, unakuwa km umekatwa kichwa vile
 
Tatizo chama letu Iran Maneno meng Israel yeye haongei n kichapo tu Iran anamhofia sana Israel
 
Putin is purely arrogant, sasa i will support kupigwa sana Putin, his downfall is inevitable, kama huwajui wayahudi, subiri uone mambo ya Putin, inside Moscow wanamuondoa, najua huamini, Putin jinga kabisa
😂😂 aya matango pori huwa mna nywesha mkiwa wapi .Russia sio UVCCM mada za wanaume ,mvulana usi kimbilia kucomment Hao CIA unazani hawajawahi kujaribu ? Una hisi FSB imekaa kama pambo la Bongo
 
punguza mahaba kijana, yaani kila taarifa tu ikionesha imetokea Israel unasema amefanya Kwa mkakati na ikitokea nchi hasimu unasema Kuna mkono wa Israel, unakuwa km umekatwa kichwa vile
Nimewapa chanzo cha taarifa ukiachana na imani ya kijinga za kidini utaweza kuelewa.
 
Naamini sbb Putin kaweka wazi vita vyake na wayahudi kupitia Iran, kwa asilimia 100, Putin atamalizwa sio muda mrefu, tutaona mengi mno ndani ya miezi 2 ijayo
Eti Putin atamalizwa.. 😀😀😀 Watu weusi ni shida sana
 
Back
Top Bottom