Nilichoandika nina uhakika nacho 100%, na wakati ukifika kitakapotokea haijalisha wewe utakuwa bado duniani, kuzimu au kwa neema ya Yesu peponi habari zitakufikia.Muweke na mchina, north Korea then upime tena tafakuri yako. Kisha uamini kua nchi itakayotaka kushindwa kama itabonyeza nuclear au la.