Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
-
- #41
Acha kupindisha pindisha mambo.Kumbe ndiyo maana hizi habari zenu ni matokeo ya kujipotosha ambako huwa mmafanya kwa kushindwa kuelewa?
1. Russia hana uwezo wa kuleta hiyo suluhu. Yaani akae na wapalestina kufanya maamuzi bila kuihusisha Israel? Mbona mnawafanya Rusia waonekani ni wapuuzi fulani wa level yenu?
2. Hakuna mahala Russia kasema anawaita na kuwakutanisha, yeye amesema aya host, uelewe kwamba hosting haina maana kwamba wao watakuwa mediators. Ukumbuke kuwa hawa viongozi wa vikundi vya kipalestina wanaishi sehemu mbalimbali, anachofanya Russia ni kutaka kugharamia ili wakutane wakaongee mambo na mustakabali wao
Mtu anayegharamia watu wakutane nyumbani kwake kwani huwa ni kipi kilichompelekea kufanya hivyo.
Kama hana nia ya lolote katika hilo hiyo Host ina maana gani.Si angewaacha tu na mambo yao.