Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

Kumbe ndiyo maana hizi habari zenu ni matokeo ya kujipotosha ambako huwa mmafanya kwa kushindwa kuelewa?
1. Russia hana uwezo wa kuleta hiyo suluhu. Yaani akae na wapalestina kufanya maamuzi bila kuihusisha Israel? Mbona mnawafanya Rusia waonekani ni wapuuzi fulani wa level yenu?

2. Hakuna mahala Russia kasema anawaita na kuwakutanisha, yeye amesema aya host, uelewe kwamba hosting haina maana kwamba wao watakuwa mediators. Ukumbuke kuwa hawa viongozi wa vikundi vya kipalestina wanaishi sehemu mbalimbali, anachofanya Russia ni kutaka kugharamia ili wakutane wakaongee mambo na mustakabali wao
Acha kupindisha pindisha mambo.
Mtu anayegharamia watu wakutane nyumbani kwake kwani huwa ni kipi kilichompelekea kufanya hivyo.
Kama hana nia ya lolote katika hilo hiyo Host ina maana gani.Si angewaacha tu na mambo yao.
 
Hata hao Hamas wao kifo sio issue kwahiyo wamekutana watu wasioogopa kifo hapohakuna mshindi abadani.
Mwambie kama Israel haigopi kifo basi angeacha wapalestina wapokee misaada bila kikwazo au wapambane sawa kwa sawa.
Haogopi kifo halafu anazuia mpaka maji kwa Hamas
 
Hapo ndipo huwa unaonesha kiwango chako cha kufikiri kilivyo chini.Matusi ya nini?
Matusi yapo wapi? Unasema Hamas ndiyo wameanzisha vagi Hamas imeanzishwa 1987 israel kaanza kushambulia Wapelistina toka mwaka 1948 shida yenu nyie ushabiki mandazi.
 
Ulihadithiwa na nani kwamba pale ndiyo kwao hao Wayahudi?

Hizo hadithi za biblia ya mchongo unaziamini na bado tukuite umestaraabika na unajitambua kwa kuamini myth?
Biblia ya mchongo.Wayahudi wamejaza mambo yao.
Ukisoma utacheka tu.Hizi wanazoleta huku kwetu ndio kioja kabisa.
 
Acha kupindisha pindisha mambo.
Mtu anayegharamia watu wakutane nyumbani kwake kwani huwa ni kipi kilichompelekea kufanya hivyo.
Kama hana nia ya lolote katika hilo hiyo Host ina maana gani.Si angewaacha tu na mambo yao.
Ndiyo maana nimekwambia tofautisha kati ya hosting na mediating. Kama wewe una tafsiri yako uliyoamua kuitumia sawa, upo sahihi kwa tafsiri yako.
Mtu akiwaambia 'nipo tayari kugharamia mkutano wa makundi yenu yote kwa kila kitu mje mkutane nchi mwangu muongee mambo yenu'. Mpaka hapo bado tu unataka kupindisha?
 
Matusi yapo wapi? Unasema Hamas ndiyo wameanzisha vagi Hamas imeanzishwa 1987 israel kaanza kushambulia Wapelistina toka mwaka 1948 shida yenu nyie ushabiki mandazi.
Israel ndiyo wachokozi.Kaungane na Hamas.
 
Ulihadithiwa na nani kwamba pale ndiyo kwao hao Wayahudi?

Hizo hadithi za biblia ya mchongo unaziamini na bado tukuite umestaraabika na unajitambua kwa kuamini myth?
Historia na Biblia ni vitu hata haviendani. Kwanza Wayahudi hawatumii Biblia sasa sijui akili za kujilipua zimekwambia hivyo.
 
Ndiyo maana nimekwambia tofautisha kati ya hosting na mediating. Kama wewe una tafsiri yako uliyoamua kuitumia sawa, upo sahihi kwa tafsiri yako.
Mtu akiwaambia 'nipo tayari kugharamia mkutano wa makundi yenu yote kwa kila kitu mje mkutane nchi mwangu muongee mambo yenu'. Mpaka hapo bado tu unataka kupindisha?
Huko kote ni kupindisha tu ili ionekane hakuna la maana.
Ukimkaribisha mtu nyumbani kwako afanye mambo yake ni kuwa unaunga mkono kitu fulani katika hayo yake.Na unakuwa una taarifa nyingi juu ya hayo yatakayowaleta hapo kwake.
Kiustaarabu unakusudia wafikie pahala pazuri ili wafanikiwa hicho wanachokuja kukizunguumza.Nani anayegharamaia mambo anayoyaona ni upuuzi na yatamtia hasara tupu.
makundi ya kipalestina yakifika huko hayana inapopajua.Wataongozwa na watu wa Putin na yawezekana na wao ndio watakaofungua hicho kikao.
Baada ya hapo anaweza akakaa pembeni kuangalia mwenendo wa kikao hicho.
Yaani yote hayo hayajawa na maana ya kuwapatanisha ? au kuwataka wafikie muafaka kwa kilicho mbele yao ambacho ni taifa la Palestina.
 
Baadhi ya unayosema yana msingi.Tatizo hujaliona kuwa mayahudi wana tabia ya kuona maumivu yao tu makali na ya wengine si chochote.Na hawataki kutoa haki za wengine .Wanajimilikisha kila kitu na kufanya ukatili mkubwa kuzuia haki za wengine.
Hapo ndipo wanapotibua kila kitu na kuwafanya na wengine waamue kupambana nao.
Wayahudi wanalalamika sababu kila ikitokea fujo ambazo hata hawajaanzisha wao, wao ndio uibuka washindi au kupata hasara kidogo. Hizi lawama ni sababu Wayahudi hawashindwi, wangekuwa wanashindwa kila mapigano basi Waarabu wasingelilia hizo haki.
 
Uhuru wa Palestina hauwezi kupatikana bila usuluhishi wa pande zote 2 kuhusishwa na kukubaliana. Palestina atataka baadhi ya maeneo na miji kutoka Israel ili aanzishe taifa hilo, je Israel atakubali takwa hilo? Hicho kitu haliwezekani, jambo jema ambalo lingezaa matunda ni kuundwa kwa taifa moja tu la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina ili iwe jamii moja, Hamas waache misimamo yao ya kidini. Bila hivyo itazuka vita vya 3 vya dunia, Israel hatanii na wala hawezi kuogopa mikwara ya Russia, China hata USA, tusubiri vita vikali sana kati ya Israel na maarifa ya kiarabu
Kwa Akili hizi utakuwa mlokole, walokole lijapo swala la Israel wanakuwa wajinga na hawajui lolote kuhusu Israel na siasa ya Mashariki ya Kati na Biblia kwa ujumla
 
Wayahudi wanalalamikiwa sababu kila ikitokea fujo ambazo hata hawajaanzisha wao, wao ndio uibuka washindi au kupata hasara kidogo. Hizi lawama ni sababu Wayahudi hawashindwi, wangekuwa wanashindwa kila mapigano basi Waarabu wasingelilia hizo haki.
Kwa uwezo wa Allah kwa mara nyengine utashuhudia wakishindwa mwaka huu au mwakani.
Asiyeshindwa ni Allah peke yake na anayejaribu kuchukua sifa hiyo lazima atamfedhehesha na kama alivyofanya kwa akina Fira'aun na wengine waliotangulia.
 
Huko kote ni kupindisha tu ili ionekane hakuna la maana.
Ukimkaribisha mtu nyumbani kwako afanye mambo yake ni kuwa unaunga mkono kitu fulani katika hayo yake.Na unakuwa una taarifa nyingi juu ya hayo yatakayowaleta hapo kwake.
Kiustaarabu unakusudia wafikie pahala pazuri ili wafanikiwa hicho wanachokuja kukizunguumza.Nani anayegharamaia mambo anayoyaona ni upuuzi na yatamtia hasara tupu.
makundi ya kipalestina yakifika huko hayana inapopajua.Wataongozwa na watu wa Putin na yawezekana na wao ndio watakaofungua hicho kikao.
Baada ya hapo anaweza akakaa pembeni kuangalia mwenendo wa kikao hicho.
Yaani yote hayo hayajawa na maana ya kuwapatanisha ? au kuwataka wafikie muafaka kwa kilicho mbele yao ambacho ni taifa la Palestina.
Poa mkuu no hard feelings, basi tuache uelewa wako ndiyo usimamie tukio lote. Huu ni mjadala tu, hata nikiamua kiuhalisia kupoteza sitapoteza kitu.
 
Kwa Akili hizi utakuwa mlokole, walokole lijapo swala la Israel wanakuwa wajinga na hawajui lolote kuhusu Israel na siasa ya Mashariki ya Kati na Biblia kwa ujumla
Walokole ni aina ya Ukristo ambao uko chini ya mayahudi na wametunga mengi na kuwabambikizia kwa maslahi yao.
Makao makuu yake yako US .Ibada zao zinafanana sana.Makelele na kurukaruka.Palipo na kanisa la walokole na wasabato hapakaliki.
 
Kwa Akili hizi utakuwa mlokole, walokole lijapo swala la Israel wanakuwa wajinga na hawajui lolote kuhusu Israel na siasa ya Mashariki ya Kati na Biblia kwa ujumla
The biblistics managed very well to drain the cognitive and conscious insights of some of their congregations!!!
 
Upumbavu wangu uko wapi.We unadhani mimi nazungumza porojo kama wewe.
Mimi natumia vipengele vya Usuulul fiqh.
Unadhani suluhu ya israel na palestine itapatikana kwa kutumia vitabu vya dini?
 
Kwa uwezo wa Allah kwa mara nyengine utashuhudia wakishindwa mwaka huu au mwakani.
Asiyeshindwa ni Allah peke yake na anayejaribu kuchukua sifa hiyo lazima atamfedhehesha na kama alivyofanya kwa akina Fira'aun na wengine waliotangulia.
Pharaoh hakushindwa na Allah, alishindwa na Mungu wa Wayahudi. Kuchukua credit ya Mungu wa Wayahudi ni wizi kama wizi mwingine wa kuchukua mitume ya Kiyahudi na kuifanya ya Kiislamu.

Pharaoh alishindwa wakati Wayahudi wanakombolewa. Kusema Allah atapigania Wapalestina bila wao kutumia akili na maarifa ni kujilisha upepo, ina maana waanzisha fujo wakijua hawana nguvu ila wakiwa na imani Allah atawasaidia kwenye fujo washinde. Ushindi wa Palestina utapatikana kwa mazungumzo zaidi, wakienda kwenye fujo Israel ina uhakika wa kushinda.
 
Wewe ni mpagani.Hakujawahi kuwepo na miungu halisi zaidi ya mmoja.
Hakuna mitume ya mayahudi na ya waislamu.Mitume yote ni ya Allah na wote ni waislamu.
Dini yao ni moja tu.
 
Back
Top Bottom