Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Taratibu kaka. Hii dunia bado ipo chini ya Marekani, japokuwa nguvu zao zimeanza kumononyoka. Russia wanasaidiwa na Geography tu. Marekani akiamua Kuja kuidunda Tanzania, haombi ruksa kwa mtu.
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
 
Unafahamu kuwa Marekani yupo Syria tena anamiliki visima vya mafuta vya Syria sasa inakuwaje Mrusi ashindwe kumtoa Marekani Syria kwenye hayo maeneo ya visima vya mafuta?
 
Walipigana lini?
Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.
 
Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio mrusi!!

All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA!!

USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Mwanzoni mwa vita zote ujerumani alikuwa anaelekea kushinda vita , Marekani kudandia vita ndo kuliwaokoa hao warusi , waingereza , wafaransa nk so vita zote aliyebadili upepo ni Marekani na ndo aliwapa morali hao waungwaba kuamka na kuanza kupambana upya na ujerumani
 
Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio mrusi!!

All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA!!

USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Hata hivyo inasemekana aliyempa Mrusi silaha za kumtwanga Hitler ni US!
 
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Sio kwamba US walimuogopa Mrusi kule Syria. Strategically, hata kwa Raisi kichaa kama Trump, isingekuwa busara kuipeleka nchi kwenye vita nyingine katika kipindi kile. Kasheshe kule Iraq na Afghanistan zilikuwa bado zimepamba moto. Ndugu yetu Omera (Obama) aliahidi kwamba atamaliza vita hizo mbili. Na bado hakuweza kuimaliza mpaka alivyomaliza muda wake.

Wakati huo huo, yule dogo kule Korea (Kim) na yeye alikuwa anahitaji attention. Korean peninsula watu walitegemea vita wakati wowote. Kule Iran [emoji1130] ndio usiseme. Ma Ayatollah walikuwa wanampiga mkwara Israel kila siku. Kwa hiyo, Strategically, haikuwa busara kwa US kwenda kuvimbanusha misule na vishoka. Na hiyo ndii ikawa baraka kwa Russia na Putin mpaka leo.

Hii dunia inawenyewe. Na US [emoji631] ndio kinara wa wenyenayo.
 
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Iran ni sawa na mafahali wanapigana afu kuna mtetea anataka kuingilia ugomvi. Hakuna uwezekano wa vita na Korea Kaskazini. Urusi anarusha rusha mateke kutokana na ukweli kuwa ameona US kupitia NATO wanataka kumzunguka hapo nyumbani kwake, na wasiwasi wa Kremlin ni kuwa, Ukraine akijiunga basi itachochea mataifa mengine yaliyomeguka kutoka USSR kujiunga na NATO hivyo kuweka rehani usalama wa Urusi. Mchina kawekewa India na Japan ili waendelee kupekuwa utovu wake wa nidhamu.
 
Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.
Amka kutoka usingizini.
 
Back
Top Bottom