Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR,nayo USSR haikua mvivu,ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.
Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia Urusi Kijeshi Tena nje ya mlango wa Urusi yaani Ukraine,kwa kulazimisha Ukraine ijiunge na NATO ili iwe rahisi kuikabili Urusi pale itakapohitajika kufanya hivyo,nayo Urusi Tena sio mvivu,Bali inafikiria kupeleka majeshi nchi jirani na Marekani Cuba na Venezuela ili iwe rahisi kuikabili Marekani pindi kitakaponuka huko Ukraine.

Ifahamike kwamba Urusi hawashindwi kufanya hivyo,"ukimwaga ugali namwaga mboga".

Russia Suggests Military Deployment to Venezuela, Cuba if Tensions With U.S.​

Russia’s deputy foreign minister said talks with the U.S. over the security situation in Ukraine had stalled and suggested that Moscow could dispatch a military deployment to Venezuela and Cuba, as the Kremlin seeks to pressure Washington to meet its demands to halt Western military activity that Russia claims
Bro umeharibu mada umeleta kimahaba .
 
Dunia inahitaji russia iliyo imara kuliko wakati wowote. Uwepo wa Vladimir Putin pale Kremlin ni kitu kinachoitesa sana marekani.
For what bro Russia asha choka now .pia si sawa kwa Russia kuingilia mambo ya ndani ya nchi huru ya ukrain.
 
Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio mrusi!!

All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA!!

USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
U.S.A ana mchongo mkubwa kwenye vita ya pili ya dunia ndiye aliye geuza upepo sababu ulaya yote ikiwemo Urussi ujerman alisha fika hadi kwenye miji mikuu yao.pia Pia ukichek east Russia alishindwa na Japan.Ni wongo usiona facta eti Marekan aiyogopa russia. which russia bro?
 
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Unaichulia poa Taiwan?uliza China echezea kichapo zaidi ya mara nne.
 
Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR,nayo USSR haikua mvivu,ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.
Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia Urusi Kijeshi Tena nje ya mlango wa Urusi yaani Ukraine,kwa kulazimisha Ukraine ijiunge na NATO ili iwe rahisi kuikabili Urusi pale itakapohitajika kufanya hivyo,nayo Urusi Tena sio mvivu,Bali inafikiria kupeleka majeshi nchi jirani na Marekani Cuba na Venezuela ili iwe rahisi kuikabili Marekani pindi kitakaponuka huko Ukraine.

Ifahamike kwamba Urusi hawashindwi kufanya hivyo,"ukimwaga ugali namwaga mboga".

Russia Suggests Military Deployment to Venezuela, Cuba if Tensions With U.S.​

Russia’s deputy foreign minister said talks with the U.S. over the security situation in Ukraine had stalled and suggested that Moscow could dispatch a military deployment to Venezuela and Cuba, as the Kremlin seeks to pressure Washington to meet its demands to halt Western military activity that Russia claims
akiwa huko cuba na venezuela kwenye shughuli zake nyingi ataendelea kutumia dola ya marekani. urusi ambacho uwa kinamshinda kwa marekani ni nguvu ya kiuchumi na allies wa marekani ambao pia wako vizuri kiuchumi. unaweza kuwa na silaha ila njaa ikakufanya ushindwe vita. wakiminya uchumi wa urusi dakika anayoosha mikono.
 
Usidanganyike urusi Hana njaa sio masikini Yule ni dunia ya Kwanza Mpka kitechnologia.anauwezo wa kufanya chochote.
 
Unaichulia poa Taiwan?uliza China echezea kichapo zaidi ya mara nne.
Zaidi ya mara 4 wangekimbia kule mainland na kwenda kujificha kwenye hako kakisiwa? Na wasingekua wanalialia kwa mabwana zao wawasaidie
 
Back
Top Bottom