Wapi US anataka Ukraine ajiunge na NATO? Ukraine ndio anataka hata leo awe sehemu ya NATO isipokuwa US ndio hawana huo mpango kwa sasa kuwakubali hao Ukraine. Fanya research kabla ya kuandika. Soma hapa kwa maelezo marefu.Urusi anaeneo kubwa kigiographia kuliko nchi yoyote.Yaani ni nchi kubwa Sana kijiographia yaani marekani karibu mara 2 ndo unapata urusi Kwa hiyo sidhani kama urusi anataka eti kuvamia Ukraine ili kuongeza eneo lake ni kwamba USA anataka Ukraine ajiunge NATO ili USA waweke makombora yao Ukraine ili kuizunguka Urusi.acha tuishie hapo Tu.
NATO Won’t Let Ukraine Join Soon. Here’s Why.
Ukraine has pressed for membership to defend against Russia. But President Biden and European leaders are not ready for that step.