Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

😀😀
Ulaya nzima wanailaumu Germany kuwa tegemezi kwa gesi ya Russia
Wanamwambia ni weakest link....
Sasa Germany kajitutumua na juzi kaifungia chaneli ya udaku ya Russia RT, eti na Russia kafungia DWelle ya Germany..😂😂
Kama unafuatilia biashara ya energy sector, Antlantic ocean imejaa meli za US zinaleta liquidified gas kwa nchi za Ulaya...
Na Qatar ambaye ni major gas producer katika mashariki ya kati, kajifunga kibwebwe kuwamwagia gesi ya kutosha kwa mabeberu..
Hapo ndio utajua Putini anabipu lakini hana bando la kupiga simu na kuongea......
😄😄😄😄 Nakucheki tu unavyojitekenya na kucheka mwenyewe nasema tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii

Dependence on Russian gas in Europe 2020, by country​

Published by
D. Elagina
D. Elagina

,
Feb 2, 2022
For North Macedonia, Moldova, and Bosnia and Herzegovina, Russia was the only source of natural gas supply in 2019. Among other European countries highly dependent on Russian gas were Finland and Latvia, where it occupied over 90 percent of the total in 2020. In Romania and Georgia, the portion of natural gas from Russia was significantly lower, measured below 10 percent. Russia accounted for over 43 percent of all extra-EU gas imports in 2020.

Share of gas supply from Russia in Europe in 2020, by selected country​

tablecolumn chart

CharacteristicShare of gas supply from Russia
Bosnia and Herzegovina*100%
North Macedonia*100%
Moldova*100%
Finland94%
Latvia93%
Serbia*89%
Estonia*79%
Bulgaria77%
Slovakia70%
Croatia68%
Czechia66%
Austria*64%
Greece51%
Germany*49%
Italy46%
Lithuania41%
Poland40%
Hungary40%
Slovenia40%
France*24%
Netherlands*11%
Romania10%
Georgia*6%
Showing entries 1 to 23 (23 entries in total)

© Statista 2022

Source
More information

OTHER STATISTICS ON THE TOPIC
Russian natural gas industry

Leading oil and gas companies worldwide based on revenue as of 2021 (in billion U.S. dollars)+
Leading global oil and gas producers based on revenue 2021

Leading gas exporting countries in 2020, by export type (in billion cubic meters)+
Global gas exporting countries 2020

Leading countries by proved natural gas reserves worldwide in 2010 and 2020* (in trillion cubic meters)+
Global natural gas reserves by country 2010-2020

Natural gas production worldwide in 2020, by country* (in billion cubic meters)+
Global natural gas production by country 2020

Statistics on "Natural gas industry in Russia - Overview" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Production" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Consumption" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Companies" Statistics on"Natural gas industry in Russia - Trade"
Statistics on "Natural gas industry in Russia - Pipelines and LNG plants"
Further related statistics
 
Kama ni wafuatiliaji nadhani mtajua kuwa RUSSIA ndio nchi inayomiliki silaha nying za Nyuklia kuliko nchi yeyote dunian. .....
Vita ya nuclear haiitaji silaha nyingi kama risasi,ukiwa na mabomu yako kumi tuu yanatosha kuangamiza Dunia.
 
😀😀
Ulaya nzima wanailaumu Germany kuwa tegemezi kwa gesi ya Russia
Wanamwambia ni weakest link....
Sasa Germany kajitutumua na juzi kaifungia chaneli ya udaku ya Russia RT, eti na Russia kafungia DWelle ya Germany..😂😂
Kama unafuatilia biashara ya energy sector, Antlantic ocean imejaa meli za US zinaleta liquidified gas kwa nchi za Ulaya...
Na Qatar ambaye ni major gas producer katika mashariki ya kati, kajifunga kibwebwe kuwamwagia gesi ya kutosha kwa mabeberu..
Hapo ndio utajua Putini anabipu lakini hana bando la kupiga simu na kuongea......
Shida unaweka mahaba niuwe. Soma vizuri makala za soko la mafuta na gas na role ya Urusi. Usitake kujifurahisha eti Urusi hana lolote kwenye soko la ulaya.

Pili ukiza Russian gas vs USA gas in terms of prices na supply reliability utajua kwa nini USA anapiga kelele ujenzi wa Nord Stream II.

Usiongee kishabiki tumia facts
 
Sihitaji kusoma hizo makala wakati mimi ninaishi hukohuko...
Na ndio habari za kila siku na zinaigilia maisha yangu ya kawaida...huwezi kunipoyoyo na stori zako mitandaoni....
Nord Steam 2 ni Gazprom(Russia) na Germany.....
Na ulaya nzima imemkomalia Germany kujipendekeza kwa Russia

Na kutoa Germany tu ambaye alikuwa ananunua gesi moja kwa moja Russia, nchi zingine zote za Ulaya(yaani ulaya kubwa sio ulaya njaa za mashariki) zilikuwa zinanunua gesi ya Russia kupitia nchi za Ulaya mashariki, kwa hiyo kumpotezea Russia inawezekana sana...

Na nchi zingine zote za ulaya na ninayoishi zimekubaliana na wananchi wake kuongeza gharama za gesi kutokana na kununua gesi nchi zingine na kuondoa utegemezi kwa Russia...wewe unasoma makala za mwaka juzi....

Ni hivi Russia ataondolewa kwenye reli, na atarudi kwenye choka mbaya muda sio mrefu...... na kwanza mpaka sasa maisha ya wananchi wa kawaida wa Russia hayana tofauti na ya wananchi wa dunia ya tatu....
 
😄😄😄😄 Nakucheki tu unavyojitekenya na kucheka mwenyewe nasema tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii

Dependence on Russian gas in Europe 2020, by country​

Published by
D. Elagina
D. Elagina

,
Feb 2, 2022
For North Macedonia, Moldova, and Bosnia and Herzegovina, Russia was the only source of natural gas supply in 2019. Among other European countries highly dependent on Russian gas were Finland and Latvia, where it occupied over 90 percent of the total in 2020. In Romania and Georgia, the portion of natural gas from Russia was significantly lower, measured below 10 percent. Russia accounted for over 43 percent of all extra-EU gas imports in 2020.

Share of gas supply from Russia in Europe in 2020, by selected country​

tablecolumn chart

CharacteristicShare of gas supply from Russia
Bosnia and Herzegovina*100%
North Macedonia*100%
Moldova*100%
Finland94%
Latvia93%
Serbia*89%
Estonia*79%
Bulgaria77%
Slovakia70%
Croatia68%
Czechia66%
Austria*64%
Greece51%
Germany*49%
Italy46%
Lithuania41%
Poland40%
Hungary40%
Slovenia40%
France*24%
Netherlands*11%
Romania10%
Georgia*6%
Showing entries 1 to 23 (23 entries in total)

© Statista 2022

Source
More information

OTHER STATISTICS ON THE TOPIC​

Russian natural gas industry

Leading oil and gas companies worldwide based on revenue as of 2021 (in billion U.S. dollars)+
Leading global oil and gas producers based on revenue 2021
Leading gas exporting countries in 2020, by export type (in billion cubic meters)+
Global gas exporting countries 2020
Leading countries by proved natural gas reserves worldwide in 2010 and 2020* (in trillion cubic meters)+
Global natural gas reserves by country 2010-2020
Natural gas production worldwide in 2020, by country* (in billion cubic meters)+
Global natural gas production by country 2020

Statistics on "Natural gas industry in Russia - Overview" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Production" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Consumption" Statistics on "Natural gas industry in Russia - Companies" Statistics on"Natural gas industry in Russia - Trade"
Statistics on "Natural gas industry in Russia - Pipelines and LNG plants"
Further related statistics
Ukiondoa Germany ambaye ni asilimia 49% na sasa amekaliwa kuooni wa Ulaya nzima yaani mataifa Tajiri sio za mashariki..
France 24%, Netherland 11%, (wanaweza kutafuta mbadala)
Waliobaki wengine ni viinchi vya kimasikini vya ulaya ambavyo vinaishi kwa kukopa gesi ya Russia, sana sana atawafungia bomba, lakini Russia hawezi kumtisha UK, France, US na gesi yake ndio maana wameamua kumkomalia sasa Germany aache kujipendekeza....ili wambane Russia vizuri....
 
Sihitaji kusoma hizo makala wakati mimi ninaishi hukohuko...
Na ndio habari za kila siku na zinaigilia maisha yangu ya kawaida...huwezi kunipoyoyo na stori zako mitandaoni....
Nord Steam 2 ni Gazprom(Russia) na Germany.....
Na ulaya nzima imemkomalia Germany kujipendekeza kwa Russia

Na kutoa Germany tu ambaye alikuwa ananunua gesi moja kwa moja Russia, nchi zingine zote za Ulaya(yaani ulaya kubwa sio ulaya njaa za mashariki) zilikuwa zinanunua gesi ya Russia kupitia nchi za Ulaya mashariki, kwa hiyo kumpotezea Russia inawezekana sana...

Na nchi zingine zote za ulaya na ninayoishi zimekubaliana na wananchi wake kuongeza gharama za gesi kutokana na kununua gesi nchi zingine na kuondoa utegemezi kwa Russia...wewe unasoma makala za mwaka juzi....

Ni hivi Russia ataondolewa kwenye reli, na atarudi kwenye choka mbaya muda sio mrefu...... na kwanza mpaka sasa maisha ya wananchi wa kawaida wa Russia hayana tofauti na ya wananchi wa dunia ya tatu....
Mkuu soma vizuri takwimu za uchumi wa Russia. Kumbuka the last five years USA walitaka kuparalyse uchumi wa Urusi kwa kupush down prixe of gas and oil. Urusi ilidiversfy uchumi wake kwa miaka 3 imeondokana kwa kiasi kikubwa utegemezi wa mafuta na gas. Soma takwimu vizuri.

Lakini pia kuacha kuchukua gas ya Urusi ni kuruhusu another economic bubble ambayo ina far reaching effects to all major ecomimies pia kumbuka effects za Covid bado zinaleta hangover to most economies na kubwa na USA kutaka kuchukua EU oil and gas market which makes its products expensive.

Ingekuwa rahisi kamaunavyofikirj mbona siku nyingi wangeshakimbia. Kwa taarifa yKo Russia ana supplly over 45% of gas to the enirw Europe (62% Eastern na 32% in the western Europe.

Sasa nikupe tena kitu cha kufikiria kidogo, storage kubwa ya gas ni ile iliyokuwa connected na Russian pipeline hivyo wakiondoa supply ya Russia ni like watakosa facilities. Pia Ukrain ambayo ndio wanategemea gas ya Urusi ipete kwenda huko uchumi wake utayumba kwa kiasi kikubwa na kupelekea instability ambayo EU hawataki maana likifungwa bomba linalopitia Ukrain immediately EU inasuffer shortage of gas na mapato yanayoongia Ukrain yanapotea.

Kama kweli upo Russia you should know all these staff.

Nafuatilia sana ossue ,a oil and gas not only in Europe but the entire value chain in the world.
 
Kinachoenda kutokea on the next two three weeks price ya oil itakuwa below 40$/b same to gas zitaanguka over 50%

US suppliers gas ikishashuka chini ya 38$ na oil below 43$ hawezi kucompete na Russia kwa vyovyote vile maana hawezi hata kubreak even hivyo Russia will continue the supply. Ndio maana ya Russia kuamua kujenga Nord Stream II. Akijua economies of quantity itambeba kuliko supplker mwingine yeyote.

Hii ndio threat kubwa kwa marekani kwani soko lake ni likely kupungua kwa over 50% na kuimarika kwa soko la Russia.
Nchi zote za ulaya zipoconfidemt na supply ya Russia because od reliability ukilinganisha na wengine shida ni mashinikizo ya USA tu. Samahani Sitaongea tena
 
Ukiondoa Germany ambaye ni asilimia 49% na sasa amekaliwa kuooni wa Ulaya nzima yaani mataifa Tajiri sio za mashariki..
France 24%, Netherland 11%, (wanaweza kutafuta mbadala)
Waliobaki wengine ni viinchi vya kimasikini vya ulaya ambavyo vinaishi kwa kukopa gesi ya Russia, sana sana atawafungia bomba, lakini Russia hawezi kumtisha UK, France, US na gesi yake ndio maana wameamua kumkomalia sasa Germany aache kujipendekeza....ili wambane Russia vizuri....
😄😄😄 Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi,mwanzo ilikua ooh Ulaya haimtegemei Russia kwny gas Sasa imebadikika imekua Russia hawezi kumtishia US,UK,France 😄😄😄😄😄😄😄
 
Endelea kusoma vichwa habari kwenye meza za magazeti...
Syria ilienda kununua huduma ya kijeshi kutoka Russia, na walioenda ni mamluki..waendea bure kwani Putin amekuwa zuzu

haya kama lugha unaiweza...
propaganda PUTIN mwenyewe anasema kama wapo SYRIA kumsaidia ASSAD hao mamluki ndio wanamiliki hemeim air base [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekani walishawahi kumpa silaha na pesa Joseph Stalin kupambana na Hitler kabla USA hawajaingia moja kwa moja vitani ila watu humu hawasomi vitu wanafata mihemko tu....
Ni silaha zipi izo mbona hamtaji izo silaha maaa Urusi hakuwahi kutumia silaha ya mtu yoyote yule kwenye ww2.niambie iyo silaha zilitumiwa kwenye vita ya kugombania sehem gani
 
Urusi anaeneo kubwa kigiographia kuliko nchi yoyote.Yaani ni nchi kubwa Sana kijiographia yaani marekani karibu mara 2 ndo unapata urusi Kwa hiyo sidhani kama urusi anataka eti kuvamia Ukraine ili kuongeza eneo lake ni kwamba USA anataka Ukraine ajiunge NATO ili USA waweke makombora yao Ukraine ili kuizunguka Urusi.acha tuishie hapo Tu.
Yap Russia anataka kuongeza eneo.kijigrafia Russia hasa kaskazini na mashariki ni barafu gorden land pekee ni Ukrain.je ubajua back bone ya uchumia wa U.s.s.r ilikuwa ni Ukrain.je Unajua Ukrain ya leo ndio eneo lilokuwa na vuwanda vingi na heavy na high tech kuliko eneo lolote enzi U.s.s.r? RUSSIA will suffer economy.invalomentaly.social.
 
Nikutajie vikundi vioivyoioiga Marekani?
Marekani ilipigwa na kikundi kilichikua kinaongozwa na Mohamed Farah Aidiid.
Marekani ilikimbia Afghanistan dhidi ya kikundi Cha Taleban.
Marekani ilichapwa na wanamgambo wa Fidel Castro wa Cuba.

Marekani waliondoka Syria baada ya kufurumushwa na Urusi.

Marekani aliapa kuipiga Korea kaskazini akitegemea msaada wa NATO.Nato walipokataa kutoa ushiriakiano akala Kona.
Yap usisahu Russia ameweka S.400 na S500,S300 bado israel anafanya mashambulizi ya ndeze bora ingekuwa makombora ?huoni technolojia russia anakuzwa wakati plactical hamna kitu? Juzi marekan wauwa gaidi huko syria
 
Sasa kwanini NATO wanaingilia huo ugomvi kama hawataki Ukraine ajiunge nao?urusi hataki sasa Kwa sababu ya usalama wao.
Russia mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani anayotoa wap?yeye kama nani ataki Ukrain asijiunge nato? Ngoja niku raisi shie Russia na Ukrain walikuwa ni wachumba sasa wame achana Ukrain kapata bwana mpya.
 
Kamwe USA hawezi kuanzisha vita dhidi ya Urusi na kamwe NATO haitoibgia vitani na Urusi. Usicheze na nyuklia bomb bro. Ukililipua hewani bado unapata madhara likitua ndio usiseme.
Kumbuka Urusi ina over 6,000 nuklia bombs. Sasa nani atakubali lipigwe kwake
Siku hizi mabomu 6000 ya nyuklia ni zilipendwa. Hayo mambo yalikuwa yakifanywa enzi za vita baridi. Siku hizi teknolojia imekua zaidi. Mabomu machache lakini sophisticated yenye precision kubwa zaidi.
 
Ni silaha zipi izo mbona hamtaji izo silaha maaa Urusi hakuwahi kutumia silaha ya mtu yoyote yule kwenye ww2.niambie iyo silaha zilitumiwa kwenye vita ya kugombania sehem gani
Nenda kasome "The Lend-Lease Act" ya Marekani ya mwaka 1941. Kabla ya kuingia katika vita (WWII), Marekani iligawa misaada yenye thamani ya mabilioni ya USD kwa nchi washirika kipindi hicho ikiwemo Urusi (Soviet Union). Magari ya kijeshi, vifaru, risasi, ndege za kivita, chakula n.k.

Link hiyo hapo:
 
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Nakumbuka us alipokuwa anaenda Iraq,russia alipiga mkwara Bush akajibu ''The choice is yours to be with us or against us.Hofu ipo kwenye madhara ya vita na hii si kwa urusi pekee hata na German,UK,China.Ushahidi wa kitakwimu upo wazi kwamba US is above all of them mengine ni ushabiki tu.
 
Siku hizi mabomu 6000 ya nyuklia ni zilipendwa. Hayo mambo yalikuwa yakifanywa enzi za vita baridi. Siku hizi teknolojia imekua zaidi. Mabomu machache lakini sophisticated yenye precision kubwa zaidi.
Sasa kuna watu wenye technologia kubwa kama warusi?
 
Nakumbuka us alipokuwa anaenda Iraq,russia alipiga mkwara Bush akajibu ''The choice is yours to be with us or against us.Hofu ipo kwenye madhara ya vita na hii si kwa urusi pekee hata na German,UK,China.Ushahidi wa kitakwimu upo wazi kwamba US is above all of them mengine ni ushabiki tu.
kua above sio kushinda above ya kwenge makaratasi ila sio yakwenye field
kama angekua kwenye field now maduro angekua sio rais VENEZUELA pia IRAN ingekua haina Nuclear facilities pamoja na KOREA wakati huo huo ASSAD angekua hayupo SYRIA
US ni mbwa kama mbwa wengine baraka yakubweka tu
kama yupo above wakat RUSSIA anapita na CRIMEA si angemzuia
 
Back
Top Bottom