FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Ndio! Marekani, China, Uingereza na Ufaransa. Nchi zote hizo zina makombora ya nyuklia ya kulifikia eneo lolote duniani.Sasa kuna watu wenye technologia kubwa kama warusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio! Marekani, China, Uingereza na Ufaransa. Nchi zote hizo zina makombora ya nyuklia ya kulifikia eneo lolote duniani.Sasa kuna watu wenye technologia kubwa kama warusi?
Yaani niache kuangalia takwimu niwasikilize mashabiki?sijajifunza tu walipokuwa wanabweka kudai us anaogopa kabla kuingia Iraq,afghanstan na libya? unashangaa kwamba hawa watu wana hamu na bloodshed nini?Hakuna nchi isiyoathirika na madhara ya vita au mnadhani bajeti kubwa ya kijeshi ya marekani ni kununua ma-parachute?!kua above sio kushinda above ya kwenge makaratasi ila sio yakwenye field
kama angekua kwenye field now maduro angekua sio rais VENEZUELA pia IRAN ingekua haina Nuclear facilities pamoja na KOREA wakati huo huo ASSAD angekua hayupo SYRIA
US ni mbwa kama mbwa wengine baraka yakubweka tu
kama yupo above wakat RUSSIA anapita na CRIMEA si angemzuia
Hao wote hawawafikii urusi kwenye technologia ya Nuclear na Silaha nyingine.Ndio! Marekani, China, Uingereza na Ufaransa. Nchi zote hizo zina makombora ya nyuklia ya kulifikia eneo lolote duniani.
Ni kwa sababu haufahamu. Fanya utafiti! Wanamfikia na wanamzidi pia kwenye mambo mengi tu kuhusu masuala ya kijeshi.Hao wote hawawafikii urusi kwenye technologia ya Nuclear na Silaha nyingine.
Tofautisha kumiliki visima na kuimiliki nchi. Swali ni je, kwa nini US na washirika wake alishindwa kuiangusha serikali ya Syria kama walivyofanya Libya? Maana ndiyo ilikuwa lengo lao.Unafahamu kuwa Marekani yupo Syria tena anamiliki visima vya mafuta vya Syria sasa inakuwaje Mrusi ashindwe kumtoa Marekani Syria kwenye hayo maeneo ya visima vya mafuta?
Swali kama hilo limekwisha jadiliwa sana humu miaka ya nyuma.Tofautisha kumiliki visima na kuimiliki nchi. Swali ni je, kwa nini US na washirika wake alishindwa kuiangusha serikali ya Syria kama walivyofanya Libya? Maana ndiyo ilikuwa lengo lao.
Ukweli usemwe tu uwepo wa Urusi, N. Korea, Iran na China unasaidia sana kupunguza baadhi ya ubabe ambao ungefanywa na hawa wanyonyaji.
Tuwekee na budget ya ulinzi ya Taliban na Vietnam vs budget ya ulinzi ya USA.649 billion dollars USA bajet ya usalama ambayo ni 3.1 percent ya GDP
Wakat Russia 61.6 billion dollar bajet ya usalama ambayo ni 4.1 percent ya GDP ya Russia
Ktk dunia ya sasa USA anaushawishi mkubwa sana kwa cuba tofauti na ilivyokua zaman ezi za kennedy 1970’s era
Russia kwa sasa anawakat mgumu sana kuishawishi Cuba
Kafanye utafiti vizuri Ili ujue nchi pekee inayoweza kuipiga marekani ni Russia pekee.Ni kwa sababu haufahamu. Fanya utafiti! Wanamfikia na wanamzidi pia kwenye mambo mengi tu kuhusu masuala ya kijeshi.
Urusi haitoipiga Marekani kisha yenyewe [Urusi] ikabaki salama. Marekani itajibu mashambulizi na mwisho wake ni mutual assured destruction (MAD). Nenda kasome!Kafanye utafiti vizuri Ili ujue nchi pekee inayoweza kuipiga marekani ni Russia pekee.
Vice vesa is also true.Urusi haitoipiga Marekani kisha yenyewe [Urusi] ikabaki salama. Marekani itajibu mashambulizi na mwisho wake ni mutual assured destruction (MAD). Nenda kasome!
Kwa maana hiyo, ile hoja yako ya Urusi kutofikiwa kiteknolojia, haina mashiko.Vice vesa is also true.
Kwenye technologies urusi na Marekani wako level ya juu kuliko wengine aisee ingawa China Naye anakuja Kwa Kasi juu.Kwa maana hiyo, ile hoja yako ya Urusi kutofikiwa kiteknolojia, haina mashiko.
Nchi zote za NATO ziliunga na zinaunga mkono mipango ya kumtoa Assad madarakani, wanachotofautiana ni level of commitment baina ya nchi moja na nyingine kuhakikisha huo mpango unafanikiwa.Swali kama hilo limekwisha jadiliwa sana humu miaka ya nyuma.
Ni kweli kulikuwa na mpango wa intervention ya kimataifa nchini Syria dhidi ya Assad lakini mpango huo haukuungwa mkono kikamilifu na nchi za NATO. Nchi kadhaa za NATO ziliukataa kwenye mabunge yao ikiwemo Uingereza. Na hii ni kabla ya Urusi kuingia Syria.
Jibu jepesi tu ndugu.tuambie ni silaha gani ambayo Urusi alitumia kwenye ww2, aliyopewa msaada na Mmarekani.mfano tunajua Warusi walikuwa wantumia vifaru vyao ain ya T-34.Nenda kasome "The Lend-Lease Act" ya Marekani ya mwaka 1941. Kabla ya kuingia katika vita (WWII), Marekani iligawa misaada yenye thamani ya mabilioni ya USD kwa nchi washirika kipindi hicho ikiwemo Urusi (Soviet Union). Magari ya kijeshi, vifaru, risasi, ndege za kivita, chakula n.k.
Link hiyo hapo:
![]()
Lend-lease | Facts & Definition | Britannica
Lend-lease, system by which the United States aided its World War II allies with war materials, food, and other commodities. The principal recipients of aid were the British Commonwealth countries and the Soviet Union, though by the end of the war more than 40 countries had received lend-lease help.www.britannica.com
Kipindi Warusi wanaibaka Georgia, kuna mbwa yoyote ulimsikia kubweka?.au umesahau kuwa Rais alikuwa huyo huyo Bush kipindi ichoNakumbuka us alipokuwa anaenda Iraq,russia alipiga mkwara Bush akajibu ''The choice is yours to be with us or against us.Hofu ipo kwenye madhara ya vita na hii si kwa urusi pekee hata na German,UK,China.Ushahidi wa kitakwimu upo wazi kwamba US is above all of them mengine ni ushabiki tu.
kama bajet kubwa wasingewakimbia talebanYaani niache kuangalia takwimu niwasikilize mashabiki?sijajifunza tu walipokuwa wanabweka kudai us anaogopa kabla kuingia Iraq,afghanstan na libya? unashangaa kwamba hawa watu wana hamu na bloodshed nini?Hakuna nchi isiyoathirika na madhara ya vita au mnadhani bajeti kubwa ya kijeshi ya marekani ni kununua ma-parachute?!
ukweli mchungu huu kwawatakao taka kuusikiaTofautisha kumiliki visima na kuimiliki nchi. Swali ni je, kwa nini US na washirika wake alishindwa kuiangusha serikali ya Syria kama walivyofanya Libya? Maana ndiyo ilikuwa lengo lao.
Ukweli usemwe tu uwepo wa Urusi, N. Korea, Iran na China unasaidia sana kupunguza baadhi ya ubabe ambao ungefanywa na hawa wanyonyaji.
endelea kujidanganya hvyo hvyo649 billion dollars USA bajet ya usalama ambayo ni 3.1 percent ya GDP
Wakat Russia 61.6 billion dollar bajet ya usalama ambayo ni 4.1 percent ya GDP ya Russia
Ktk dunia ya sasa USA anaushawishi mkubwa sana kwa cuba tofauti na ilivyokua zaman ezi za kennedy 1970’s era
Russia kwa sasa anawakat mgumu sana kuishawishi Cuba
hata german ilikataa kuingia IRAQ na IRAQ ikapigwa hata FRANCE ilikataa kuingia LIBYA na LIBYA ikanyooshwaSwali kama hilo limekwisha jadiliwa sana humu miaka ya nyuma.
Ni kweli kulikuwa na mpango wa intervention ya kimataifa nchini Syria dhidi ya Assad lakini mpango huo haukuungwa mkono kikamilifu na nchi za NATO. Nchi kadhaa za NATO ziliukataa kwenye mabunge yao ikiwemo Uingereza. Na hii ni kabla ya Urusi kuingia Syria.