Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tuKiduku yuko bize kusuka makombora ya masafa marefu zaidi
Taratibu kaka. Hii dunia bado ipo chini ya Marekani, japokuwa nguvu zao zimeanza kumononyoka. Russia wanasaidiwa na Geography tu. Marekani akiamua Kuja kuidunda Tanzania, haombi ruksa kwa mtu.Soma historia Marekani haimuwezi Russia.
Walipigana lini?Soma historia Marekani haimuwezi Russia.
Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.Taratibu kaka. Hii dunia bado ipo chini ya Marekani, japokuwa nguvu zao zimeanza kumononyoka. Russia wanasaidiwa na Geography tu. Marekani akiamua Kuja kuidunda Tanzania, haombi ruksa kwa mtu.
Unafahamu kuwa Marekani yupo Syria tena anamiliki visima vya mafuta vya Syria sasa inakuwaje Mrusi ashindwe kumtoa Marekani Syria kwenye hayo maeneo ya visima vya mafuta?Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.Walipigana lini?
Dhibitisha marekani alitaka kumtoa Assard akashindwa.Marekani hayupo Syria.Unafahamu kuwa Marekani yupo Syria tena anamiliki visima vya mafuta vya Syria sasa inakuwaje Mrusi ashindwe kumtoa Marekani Syria kwenye hayo maeneo ya visima vya mafuta?
Kama hujui kuwa Marekani yupo Syria mpaka leo hii tena sehemu vital ya visima vya mafuta na kikubwa Wanajeshi wa Russia wanakulaga kipigo kila mara,basi sina haja ya kujibizana na wewe.Dhibitisha marekani alitaka kumtoa Assard akashindwa.Marekani hayupo Syria.
[emoji16][emoji16]Na bado ukraine hajajiunga NATO hicho ndo kitu ambacho mrusi hataki
Mwanzoni mwa vita zote ujerumani alikuwa anaelekea kushinda vita , Marekani kudandia vita ndo kuliwaokoa hao warusi , waingereza , wafaransa nk so vita zote aliyebadili upepo ni Marekani na ndo aliwapa morali hao waungwaba kuamka na kuanza kupambana upya na ujerumaniMkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio mrusi!!
All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA!!
USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Hata hivyo inasemekana aliyempa Mrusi silaha za kumtwanga Hitler ni US!Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio mrusi!!
All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA!!
USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Sio kwamba US walimuogopa Mrusi kule Syria. Strategically, hata kwa Raisi kichaa kama Trump, isingekuwa busara kuipeleka nchi kwenye vita nyingine katika kipindi kile. Kasheshe kule Iraq na Afghanistan zilikuwa bado zimepamba moto. Ndugu yetu Omera (Obama) aliahidi kwamba atamaliza vita hizo mbili. Na bado hakuweza kuimaliza mpaka alivyomaliza muda wake.Mbona walishindwa Syria Kwa Sababu ya Russia.Russia Kam yupo sehemu USa hawezi kushinda.Russia yupo vizuri kitecknologia kama USA Tu.kaka Russia wako very strong na pia wanasilaha zingine Kali Sana kuliko hata USA.we hujiulizi kwanini marekani anataka kumzunguka urusi.Urusi Sio ya mchezomchezo.
OkDunia inahitaji russia iliyo imara kuliko wakati wowote. Uwepo wa Vladimir Putin pale Kremlin ni kitu kinachoitesa sana marekani.
Historia gani hiyo ya Marekani kumshindwa Mrusi?Soma historia Marekani haimuwezi Russia.
Marekani kapeleka askari elfu 3 wa kuanzia, wataunda unit ndani ya Ujerumani na Hungary. Marekani kasema hawaendi kupigana ila kujibu kitisho chochote kwa NATO na washirika wake.ndio maana ujerumani na hangury wamejitenga na huu mgogoro. jana ndege za urusi zilipita anga la estonia kwa makusudi kabisa.
Iran ni sawa na mafahali wanapigana afu kuna mtetea anataka kuingilia ugomvi. Hakuna uwezekano wa vita na Korea Kaskazini. Urusi anarusha rusha mateke kutokana na ukweli kuwa ameona US kupitia NATO wanataka kumzunguka hapo nyumbani kwake, na wasiwasi wa Kremlin ni kuwa, Ukraine akijiunga basi itachochea mataifa mengine yaliyomeguka kutoka USSR kujiunga na NATO hivyo kuweka rehani usalama wa Urusi. Mchina kawekewa India na Japan ili waendelee kupekuwa utovu wake wa nidhamu.Na wiki iliyopita mchina nae kapitisha madege ya kivita ya kutosha taiwan.........hii kitu ikilipuka Mmarekani atakua na kazi kubwa sana na vibaraka wake......huku amlinde taiwan upande wa huku kuna Ukraine na bado Iran anakula chabo tu
Amka kutoka usingizini.Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.