Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi hupewa mpaka sifa za uongo, ila ushindi katika vita vyote vya dunia, yani WWI na WW2 vilitegemea kwa kiasi kikubwa mchango wa US.
 
Bongo
Malekani anachokoza ugonvi kwasababu anategemea NATO. Hakuna vita aliyokwenda peke yake
 
Iki ndicho ninachokijua hata mimi
 
Hata USA na washirika wake wakiungana dhidi ya Urusi-bottom line is:
 
Kwa hiyo Russia wao wahaiogopi marekani sio?,wanaichukulia kama Tanzania tu eti?..Ila wanazi wa JF bana 😀 😀
 
Urusi alipelekaga silaha zake kwenye nchi jirani na marekani mpaka marekani wakaomba mazungumzo.hawa wakipigana ujue ni vita ya 3 ya dunia ndo maana marekani hawewezi kumzuia urusi ukraine.
Nchi jirani ipi??
 
Aaaargh tumechoka kutishana tishana.

Wapigane, wauane sisi tusonge mbele
 
Urusi hupewa mpaka sifa za uongo, ila ushindi katika vita vyote vya dunia, yani WWI na WW2 vilitegemea kwa kiasi kikubwa mchango wa US.
Marekani walishawahi kumpa silaha na pesa Joseph Stalin kupambana na Hitler kabla USA hawajaingia moja kwa moja vitani ila watu humu hawasomi vitu wanafata mihemko tu....
 
Hawana hiyo budget Marekani mziki mwingine..
China na Urus watapata tabu sana.
 
Hawana hiyo budget Marekani mziki mwingine..
China na Urus watapata tabu sana.
Uwezo wanao hao wanauza gesi ulaya.jamaa ni matajiri Sana alafu washawahi kupelekea huko silaha zao.burget kubwa ya marekani sio lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…