Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
1,782
Reaction score
3,525
Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda vitisho vya kimkakati visivyokubalika kwetu, wanapaswa kujua kwamba majibu yetu kwa mapigo yanayokuja yatakuwa ya haraka sana,"

Putin aliyasema hayo akiwa anatoa hotuba kwa wabunge leo Jumatano.

"Tuna zana zote za kufanya hivi. Zana ambazo hakuna mtu (taifa) aliye nazo isipokuwa sisi na tunaweza kujivunia lakini hatutajisifu. Tutazitumia ikiwa hitaji kama hilo litatokea, "rais alisema, bila kutaja ni zana gani zinaweza kutumwa.

source: al jazeera na RT

Russia will respond swiftly to any ‘interference’ in Ukraine: Putin
Putin has warned that any countries attempting to “interfere” in Ukraine will be faced with a swift response from Moscow.

Addressing lawmakers in St Petersburg, Putin said all decisions on how the Kremlin would react in the event of a threat to Russia’s “strategic security” have already been taken.

“If anyone would want to interfere with what’s happening in Ukraine now, from the outside, they have to know Russia’s response will be swift and fast,” he said.

“We have all sorts of tools that the West cannot obtain, and we will not boast of our weapons but we will use them if need be and I want everyone to know that.
 
Putin alishajua kwamba anapigana na mataifa makubwa huko Ukraine.
Sasa kwakua kashaona mziki umesha changamka na tayari anapigwa mashambulio ndani ya Moscow, basi ameamua kugonga mkwara kwa kupitia members of parliament ili dunia isikie na media zitangaze. Na mkwara huo unaenda kuitia hofu dunia kwamba Putin anaweza akatumia silaha za maangamizi na kisha kupelekea kuanza kwa vita ya 3 ya dunia, na hapa ndipo panawatia hofu wenye dunia yao.
 
Huyu jamaa kweli ni mpumbavu, mbona alivyotoa onyo kwa Ukraine na Ukraine alipokaidi akachukua hatua? Si alitoa onyo kwa nchi yoyote itakayosaidia Ukraine ataishambulia? Hizo nchi hazitambui? Anachosita kuchukua hatua ni nini?
 
Russia will respond swiftly to any ‘interference’ in Ukraine: Putin​

Putin has warned that any countries attempting to “interfere” in Ukraine will be faced with a swift response from Moscow.

Addressing lawmakers in St Petersburg, Putin said all decisions on how the Kremlin would react in the event of a threat to Russia’s “strategic security” have already been taken.

“If anyone would want to interfere with what’s happening in Ukraine now, from the outside, they have to know Russia’s response will be swift and fast,” he said.

“We have all sorts of tools that the West cannot obtain, and we will not boast of our weapons but we will use them if need be and I want everyone to know that.
Mikwara yake haina tofauti na ile ya sadamu ila itafika mda ulimwengu utamshangaa kwamba ndio huyu aliyekua tishio? Mbona kaumbuka hivi
 
Huyu jamaa kweli ni mpumbavu, mbona alivyotoa onyo kwa Ukraine na Ukraine alipokaidi akachukua hatua? Si alitoa onyo kwa nchi yoyote itakayosaidia Ukraine ataishambulia? Hizo nchi hazitambui? Anachosita kuchukua hatua ni nini?
Alisikika ngedere mmoja anayekaa kiembe mbuzi ambae hata chai na andazi hawezi kununua bila kujiuliza akimuita eti Putin ni mpumbavu!!
 
Aisee hii vita, haina mwisho mzuri kwenye hii dunia.

Masaa kadhaa yaliyopita, wizara ta ulinzi ya marekani ilipost picha za mizinga inayopelekwa ukraine . Ni kama wanavimbishiana misuli kiaina hivi
Screenshot_20220428-080939.jpg

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Aisee hii vita, haina mwisho mzuri kwenye hii dunia.

Masaa kadhaa yaliyopita, wizara ta ulinzi ya marekani ilipost picha za mizinga inayopelekwa ukraine . Ni kama wanavimbishiana misuli kiaina hiviView attachment 2203224

Tatizo USA akikubali kushindwa ataonekanaje? Maana ameshajimwambafai kuwa yeye ni babalao. Anajua hicho anachokifanya hakitakuwa na impact yoyote ile ktk huu mgogoro na Russia lakini hatafanyaje ikiwa tayari alishamuahidi Ukraine ulinzi ikiwa atavamiwa na Russia

Anachokifanya USA anajua kabisha kinaweza kuleta madhala makubwa sana dunia lakini ameamua kushupaza shingo kwa umachinoo wake.
 
Aisee hii vita, haina mwisho mzuri kwenye hii dunia.

Masaa kadhaa yaliyopita, wizara ta ulinzi ya marekani ilipost picha za mizinga inayopelekwa ukraine . Ni kama wanavimbishiana misuli kiaina hiviView attachment 2203224

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hivi huwa inapitia wapi ambako Urusi haipajui?

Au kuna sheria inamfunga kudungua kila ndege inayotua Ukraine kuleta msaada.
 
Huyu jamaa kweli ni mpumbavu, mbona alivyotoa onyo kwa Ukraine na Ukraine alipokaidi akachukua hatua? Si alitoa onyo kwa nchi yoyote itakayosaidia Ukraine ataishambulia? Hizo nchi hazitambui? Anachosita kuchukua hatua ni nini?
Ajaribu kushambulia mwanachama yeyote wa NATO aone kitakachotokea kwasababu hayo mataifa yanaishi kwenye viapo vyao vya mutual military assistance daima.
 
Putin alishajua kwamba anapigana na mataifa makubwa huko Ukraine.
Sasa kwakua kashaona mziki umesha changamka na tayari anapigwa mashambulio ndani ya Moscow, basi ameamua kugonga mkwara kwa kupitia members of parliament ili dunia isikie na media zitangaze. Na mkwara huo unaenda kuitia hofu dunia kwamba Putin anaweza akatumia silaha za maangamizi na kisha kupelekea kuanza kwa vita ya 3 ya dunia, na hapa ndipo panawatia hofu wenye dunia yao.
Aliwaonya hivohivo Ukraine... Wakachukulia mzahaa.

US na NATO wakasema haaaa wapiiiii...ni haki ya Ukraine kujiunga NATO ..blaah blaah

Jamaa akaamua kuwachapa kwelikweli

Putin huongea kidogo, ila Matendo yake ni makubwa.

Aliwaonya Georgia, hamna kujiunga na NATO , wakasema waaaa Ati nn?? Wakabisha jamaa akapiga na NATO Wakaufyata.

Endeleen kujidanganya nyie NATO , Putinnaye Jana kasema, atawapiga.

Hizo balozi zenu za Ukraine mnazozitumia very soon zitabadilishwa kua kokoto !!.

Rais wa Ukraine akili itakuja kurudi wakati Tayari Urusi keshaanzisha vi nchi Kadhaa kadhaaa ndan ya Ukraine.

Na Cha kumfanya hamna !!! Yeye alishasema, once tutakapoona Kuna kombora linakuja Upande wa Urusi, sisi hatutajua limebeba conventional weapons au Nuclear weapons, na hivo basi tutawalipiza, Kwa kurusha makombora ya nyukilia Tena Kwa kutumia Silaha ambazo hazina wakufanana naye Ndan ya US na Ulaya nzima.

Wakati US na NATO wanapambana kumiliki Hypersonic Weapons,,,, Urusi yeye saizi anazitumia , Uchina anazo!!.
 
Ajaribu kushambulia mwanachama yeyote wa NATO aone kitakachotokea kwasababu hayo mataifa yanaishi kwenye viapo vyao vya mutual military assistance daima.
Urusi siku akichagua kuishambulia NATO, atatumia Nuclear weapons

Na Putin alishasema, "tutatumia pale ambapo uwepo wa Urusi Duniani unahararishwa, kwahivo tutazitumia wao wataenda Jehanamu , sisi tutaenda mbinguni"
 
Back
Top Bottom