Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

Shule na umri wako ni mdogo sana huo ndo ukweli kwanza umeongea kwa mihemko bila hata logic, kama huna exposure na baadhi ya vitu bora ukae pembeni kuliko kuleta makasiriko ambayo hayana maana. In modern welfare mambo yamebadilika mengi, military design thinking inalenga kupunguza casualties kwa kutumia mbinu mpya za kumbana adui yako bila kutumia vikundi vikubwa vya askari, currently kinachomatter sana na logistics na propaganda. My point was, mabeberu yanaingilia vita kwa namna nyingi na hatari Sana kama kupika propaganda na hujuma dhidi ya serikali na vikosi vya Russia. Sasa hivi vifaru vya Russia vinaonekana kuwa na tatizo namely ( jack in the box flaw ) silaha kama St jevelin vinakwamisha operation ya Russia. Harafu deployment ya askari wa marekani kwenye mataifa wanachama wa nato ni jambo la kawaida. If you have got any point of departure prove me wrong
Msikilize tajiri ana kuambia pengine iyo kichwa yako itakaa sawa!
20220427_081529.jpg
 
Kwa mtu mwenye akili timamu kabisa hawwwzi kusema eti putin hii vita atashinda hiyo ni Big No .Kumbukeni mshindi wa vita Huwa ni yule mwenye uchumi mkubwa na shida zaidi Putin anashindana na mataifa makubwa chini ya mwamvuli wa NATO na mbaya zaidi mataifa ya NATO yakiongozwa na kaka yao mkuu USA ndiyo yenye mifumo ya kuongoza uchumi wa DUNIA Sasa hapo Rusia atashindaje hii vita? Tusubili muda ufike Kila mtu atajua USA ni nani hapa Duniani.Jambo la mhimu jueni kwamba huu ndiyo mwisho 2a Putin Duniani na anguko la Urusi kiuchumi na kijeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kupambana na US na ukashinda unless aamue yeye kugive up, Russia anaweza akakwama njiani ktk hii vita kutokana na sababu za kiuchumi.

Several times tunasikia mataifa ya NATO yakisema huenda hii vita ikadumu kwa muda mrefu zaidi. Ofkoz watafanya hivyo ilia kumdhoofisha urusi kiuchumi.

Mali za matajiri wa Kirusi zilizoshikiliwa ktk nchi za Ulaya ni pigo moja kubwa mno kwa Putin.
 
Kwani tatizo likuwa anakuonesha hayo mashoga unayoyashabikia jinsi yalivo ....alafu ndo mnasema yakapigane na miamba kutoka russia ......hiiii keeli wewe unakichwa cha kuku
Kweli nina kichwa cha kuku lakini ndo bi mkubwa kanipenda na huna budi kuniita baba ishu iko hivyo mwanangu🤣
 
Hatothubutu,hiyo jeuri hana,atabaki kutishia hivyo hivyo kwa maneno
Hata wakati ameweka kambi mpakani na Ukraine, mlisema hivyo hivyo hataweza ingia ni mkwala tu. Russia atakapokiwasha msije sema kuwa hakutoa onyo kabla
 
Ni ngumu kupambana na US na ukashinda unless aamue yeye kugive up, Russia anaweza akakwama njiani ktk hii vita kutokana na sababu za kiuchumi.

Several times tunasikia mataifa ya NATO yakisema huenda hii vita ikadumu kwa muda mrefu zaidi. Ofkoz watafanya hivyo ilia kumdhoofisha urusi kiuchumi.

Mali za matajiri wa Kirusi zilizoshikiliwa ktk nchi za Ulaya ni pigo moja kubwa mno kwa Putin.
Unaifananisha Russia na zimbabwe??
 
Russia hatotumia Nuclear ila kitakachotumiwa Ukraine NATO watabaki mdomo wazi.
 
Nimeiona hatari kubwa kwenye ndoto ni kubwa sana duniani. Nimeona vilio vingi vya maumivu makali ya mabilioni ya watu kupoteza ndugu zao kwa Nuclear. Bomu LA kwanza la Nuclear litadondoshwa Poland. Eeeh Mungu tunusuru
 
Tatizo USA akikubali kushindwa ataonekanaje? Maana ameshajimwambafai kuwa yeye ni babalao. Anajua hicho anachokifanya hakitakuwa na impact yoyote ile ktk huu mgogoro na Russia lakini hatafanyaje ikiwa tayari alishamuahidi Ukraine ulinzi ikiwa atavamiwa na Russia

Anachokifanya USA anajua kabisha kinaweza kuleta madhala makubwa sana dunia lakini ameamua kushupaza shingo kwa umachinoo wake.
jitathimini akili yako vzrv, geuza hayo maneno vice versa , Urusi haez ground war na NATO hata akisaidiwa na wote wanaomuunga mkono ndio maana anatishia nyuklia
 
Aliwaonya hivohivo Ukraine... Wakachukulia mzahaa.

US na NATO wakasema haaaa wapiiiii...ni haki ya Ukraine kujiunga NATO ..blaah blaah

Jamaa akaamua kuwachapa kwelikweli


Putin huongea kidogo, ila Matendo yake ni makubwa.


Aliwaonya Georgia, hamna kujiunga na NATO , wakasema waaaa Ati nn?? Wakabisha jamaa akapiga na NATO Wakaufyata.





Endeleen kujidanganya nyie NATO , Putinnaye Jana kasema, atawapiga.

Hizo balozi zenu za Ukraine mnazozitumia very soon zitabadilishwa kua kokoto !!.


Rais wa Ukraine akili itakuja kurudi wakati Tayari Urusi keshaanzisha vi nchi Kadhaa kadhaaa ndan ya Ukraine.


Na Cha kumfanya hamna !!! Yeye alishasema, once tutakapoona Kuna kombora linakuja Upande wa Urusi, sisi hatutajua limebeba conventional weapons au Nuclear weapons, na hivo basi tutawalipiza, Kwa kurusha makombora ya nyukilia Tena Kwa kutumia Silaha ambazo hazina wakufanana naye Ndan ya US na Ulaya nzima.



Wakati US na NATO wanapambana kumiliki Hypersonic Weapons,,,, Urusi yeye saizi anazitumia , Uchina anazo!!.
uliwai kuisikia Javelin ?
 
Sasa USA asipiokuwa 'machinoo' nani atakuwa? Yani mtu ana nguvu na anaongoza katika nyanja zote hapa Duniani anaachaje kuwa machinoo,hebu wakati mwingine tuwe serious kidogo
US ndo kiranja, bila US nchi zingetuendesha sana

Urusi akishindwa maana yake Taiwan itaishi kwa raha
 
Hizi comment ndefu hazisadii sana,yeye Russia achukue hatua tu kwa hao wanaomsaidia Ukraine,siyo kila siku kuleta mipasho ile ile,si hao wanapeleka silaha kila kukicha.
Yeye apige hapo poland maana ndo base ipo kuanzia training, ndo silaha zote zipo.

Mbona Israel hupiga ndani ya Syria kila siku sababu ya silaha na bases
 
Wacheni uoga ingizeni jeshi huko ukrine mazima mazima tukutane FACE TO FACE ..huko uwanjani ....huo ndo uanaume ......haya mambobya kujificha mgongoni kwa zellensk ni ya kishamba bhanan............na juzi mwamba kawaambia wapeleke silaha za kisasa yaani kawapa ruksa na kweli wameanza kupeleka .......mwisho wa siku ataawaamrisha wapeleke jeshi na watapeleka .........

Sasa hapo ni nani mwanaume ....wacheji woga .....wapuuuzi nyie
mnakuwa vigeu geu
 
Back
Top Bottom