Aliwaonya hivohivo Ukraine... Wakachukulia mzahaa.
US na NATO wakasema haaaa wapiiiii...ni haki ya Ukraine kujiunga NATO ..blaah blaah
Jamaa akaamua kuwachapa kwelikweli
Putin huongea kidogo, ila Matendo yake ni makubwa.
Aliwaonya Georgia, hamna kujiunga na NATO , wakasema waaaa Ati nn?? Wakabisha jamaa akapiga na NATO Wakaufyata.
Endeleen kujidanganya nyie NATO , Putinnaye Jana kasema, atawapiga.
Hizo balozi zenu za Ukraine mnazozitumia very soon zitabadilishwa kua kokoto !!.
Rais wa Ukraine akili itakuja kurudi wakati Tayari Urusi keshaanzisha vi nchi Kadhaa kadhaaa ndan ya Ukraine.
Na Cha kumfanya hamna !!! Yeye alishasema, once tutakapoona Kuna kombora linakuja Upande wa Urusi, sisi hatutajua limebeba conventional weapons au Nuclear weapons, na hivo basi tutawalipiza, Kwa kurusha makombora ya nyukilia Tena Kwa kutumia Silaha ambazo hazina wakufanana naye Ndan ya US na Ulaya nzima.
Wakati US na NATO wanapambana kumiliki Hypersonic Weapons,,,, Urusi yeye saizi anazitumia , Uchina anazo!!.