MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 631
- 1,263
Mhhhh, upuuzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kuua Mende kwa nyundo, unapiga na ndala Mende chalii, Ukraine pekee atosha, kamasi zinamtoka urusi bila hata NATO.Akijaribi kushambukia bila sababu simtamuona ni kichaa kama mnavyosema.?
Namimi nasema NATO mojawapo aingize jeshi mazima bila kificho Ukraine muone mziki wake.
Sasa si watekeleze kwa wanaoisaidia Ukraine, mbona kila siku maonyo tu!Kaumbuka lini? Jamaa huwa wakisema wanatekeleza hawana blabla nyingi kama NATO
Ndo akili zako zilipoishia....mzazi wako nae anadai anamtoto na mtoto mwenyewe ndo wewe....aiseeANGALIZO 🔞🔞🔞🔞🔞🔞
JAMAA ZENU HAO pengine na wewe upo hapo kambini US
Hamka upesi usije kujinyea kwenye ndoto yako ya Alasiri.Hapo zamani kulikuwa na mji unaitwa Washington DC.
Ulizama wote mwaka 2022 baada ya kupigwa na bonus la nuklia aina ya Iskanda.
Haya yatasimuliwa mwaka 2122.
Nakuona mzee Nalog off[emoji23][emoji23]Putin hebu waoneshe mfano hao wagema ulimbo
Nalog off Z
Tafuta humu guugo utaona MOLDOVAN imegongwa na kitu kizito...Ajaribu kushambulia mwanachama yeyote wa NATO aone kitakachotokea kwasababu hayo mataifa yanaishi kwenye viapo vyao vya mutual military assistance daima.
Dunia imebadilika kivipi kama ni hivo kila mtu abakie nchini kwake afu ndo watume hizo silaha .... Marekani kaeka wanajeshi wengi german poland hapo ndo usiseme wanafanya nini hapo kwa watu si wakae makwao ......utruki hapo marekan kaweka kambi .......alafu unasema sio lazima wapeleke jeshi wakati majeshi yao yamejazana kwenye mipaka ya nchi za watu kumzingira mrusi........alalfu kumbe nilichoona wewe ndo ilitakiwa tukuulize una umri gani ............warudi makwao ndo watume hizo silaha kenge waleBrother una umri gani, sio lazima nato wapeleke jeshi ndio effect zake zionekane, dunia imeshabadilika sana wenzetu wako mbali sana tu, putin ndio maana analalamika mipango yake inahujumiwa na mabeberu, Germany anapeleka silaha, na Russia hawezi kumfanya chochote. Kwa beberu mkuu ndio hagusi kabisa, ukraine yenyewe jirani yake imemshinda mbona mambo yakowazi tu
Wacheni uoga ingizeni jeshi huko ukrine mazima mazima tukutane FACE TO FACE ..huko uwanjani ....huo ndo uanaume ......haya mambobya kujificha mgongoni kwa zellensk ni ya kishamba bhanan............na juzi mwamba kawaambia wapeleke silaha za kisasa yaani kawapa ruksa na kweli wameanza kupeleka .......mwisho wa siku ataawaamrisha wapeleke jeshi na watapeleka .........Hao vijana wasamehe tu mkuu
Anataka NATO wapeleke jeshi, muda huohuo wanasahau kuwa putin alitoa onyo kuangamiza nchi itakayosaidia Ukraine. Sasa je nchi zinazosaidia Ukraine hazipeleki silaha zake hadharani Ukraine? Kuna walichofanywa?
Kwamba unataka kusema RUSSIAN hana hayo ma hydrogen ...au [emoji849][emoji849][emoji849]Marekani nuclear war heard iko enriched mara mia tano ya hiroshima, idadi sio tatizo.
Kuna hydrogen bomb
Duhh mkuu hapa umeua kabisa .......usiweke tena hii kitu aisee dahh [emoji23][emoji23]ANGALIZO [emoji725][emoji725][emoji725][emoji725][emoji725][emoji725]
JAMAA ZENU HAO pengine na wewe upo hapo kambini US
Kwani tatizo likuwa anakuonesha hayo mashoga unayoyashabikia jinsi yalivo ....alafu ndo mnasema yakapigane na miamba kutoka russia ......hiiii keeli wewe unakichwa cha kukuNdo akili zako zilipoishia....mzazi wako nae anadai anamtoto na mtoto mwenyewe ndo wewe....aisee
Mkuu Russia wana Tsar bomba hilo dude ni kubwa mara 3,333 ya little boy la usa alilopiga hiroshima.Marekani nuclear war heard iko enriched mara mia tano ya hiroshima, idadi sio tatizo.
Kuna hydrogen bomb
Wanajua madhara ya nuclear ndio maana wote wanaogopa.kelele nyingii sana na watu bado wanatuma silaha, piga tukio moja tuone kama kweli yeye mbabe apige nchi moja kombora asiwe anatisha tisha tu watu mwezi mzima na bado hawasikii. Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe anatisha lakini anaogopa moyoni.
Shule na umri wako ni mdogo sana huo ndo ukweli kwanza umeongea kwa mihemko bila hata logic, kama huna exposure na baadhi ya vitu bora ukae pembeni kuliko kuleta makasiriko ambayo hayana maana. In modern welfare mambo yamebadilika mengi, military design thinking inalenga kupunguza casualties kwa kutumia mbinu mpya za kumbana adui yako bila kutumia vikundi vikubwa vya askari, currently kinachomatter sana na logistics na propaganda. My point was, mabeberu yanaingilia vita kwa namna nyingi na hatari Sana kama kupika propaganda na hujuma dhidi ya serikali na vikosi vya Russia. Sasa hivi vifaru vya Russia vinaonekana kuwa na tatizo namely ( jack in the box flaw ) silaha kama St jevelin vinakwamisha operation ya Russia. Harafu deployment ya askari wa marekani kwenye mataifa wanachama wa nato ni jambo la kawaida. If you have got any point of departure prove me wrongDunia imebadilika kivipi kama ni hivo kila mtu abakie nchini kwake afu ndo watume hizo silaha .... Marekani kaeka wanajeshi wengi german poland hapo ndo usiseme wanafanya nini hapo kwa watu si wakae makwao ......utruki hapo marekan kaweka kambi .......alafu unasema sio lazima wapeleke jeshi wakati majeshi yao yamejazana kwenye mipaka ya nchi za watu kumzingira mrusi........alalfu kumbe nilichoona wewe ndo ilitakiwa tukuulize una umri gani ............warudi makwao ndo watume hizo silaha kenge wale
Usibishane na watu ambao hawajui chocolate kuhusu jeshi wao Kila kitu ni ligi.Dah wewe mwamba nimekuvulia kofia kwa ushabiki unashindwa kujua silaha huwa ni siri, taarifa nyingi za silaha huwa nifake, unless wakubwa wanajuana kwamba huyu anazo. Kama ungepita angalau jkt usingeongea huu ujinga. Tanzania tu huwezi kujua tuna vifaru vingapi, apc ngapi na mizinga mingapi. Ubora na idadi ya silaha ni confidential