Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

Sasa USA asipiokuwa 'machinoo' nani atakuwa? Yani mtu ana nguvu na anaongoza katika nyanja zote hapa Duniani anaachaje kuwa machinoo,hebu wakati mwingine tuwe serious kidogo
 
Hizi comment ndefu hazisadii sana,yeye Russia achukue hatua tu kwa hao wanaomsaidia Ukraine,siyo kila siku kuleta mipasho ile ile,si hao wanapeleka silaha kila kukicha.
 
Alisikika ngedere mmoja anayekaa kiembe mbuzi ambae hata chai na andazi hawezi kununua bila kujiuliza akimuita eti Putin ni mpumbavu!!
Putin kiande kama kiande mwingine....hizo nuke hata wenzie wanazo naona amebaki kutishia tu misaada inazidi kumiminika huko Ukraine na hali inazidi kuwa mbaya upande wake eneo la vita...ni swala la muda tu
 
Ajaribu kushambulia mwanachama yeyote wa NATO aone kitakachotokea kwasababu hayo mataifa yanaishi kwenye viapo vyao vya mutual military assistance daima.
Akijaribi kushambukia bila sababu simtamuona ni kichaa kama mnavyosema.?
Namimi nasema NATO mojawapo aingize jeshi mazima bila kificho Ukraine muone mziki wake.
 
Akijaribi kushambukia bila sababu simtamuona ni kichaa kama mnavyosema.?
Namimi nasema NATO mojawapo aingize jeshi mazima bila kificho Ukraine muone mziki wake.
Brother una umri gani, sio lazima nato wapeleke jeshi ndio effect zake zionekane, dunia imeshabadilika sana wenzetu wako mbali sana tu, putin ndio maana analalamika mipango yake inahujumiwa na mabeberu, Germany anapeleka silaha, na Russia hawezi kumfanya chochote. Kwa beberu mkuu ndio hagusi kabisa, ukraine yenyewe jirani yake imemshinda mbona mambo yakowazi tu
 
Urusi siku akichagua kuishambulia NATO, atatumia Nuclear weapons

Na Putin alishasema, "tutatumia pale ambapo uwepo wa Urusi Duniani unahararishwa, kwahivo tutazitumia wao wataenda Jehanamu , sisi tutaenda mbinguni"
Nukes ni defense mechanism maana wamba kibao wanazo tu na hawasemi
 
Hao vijana wasamehe tu mkuu

Anataka NATO wapeleke jeshi, muda huohuo wanasahau kuwa putin alitoa onyo kuangamiza nchi itakayosaidia Ukraine. Sasa je nchi zinazosaidia Ukraine hazipeleki silaha zake hadharani Ukraine? Kuna walichofanywa?
 
Nukes ni defense mechanism maana wamba kibao wanazo tu na hawasemi
Nilikuwa natafuta habari ilotolewa na AFP News kule twitter ikisema UK ipo tayari kupeleka Nukes zake Poland endapo Russia akatumia Nukes ukraine.
 
Mikwara yake haina tofauti na ile ya sadamu ila itafika mda ulimwengu utamshangaa kwamba ndio huyu aliyekua tishio? Mbona kaumbuka hivi
Kaumbuka lini? Jamaa huwa wakisema wanatekeleza hawana blabla nyingi kama NATO
 
Nilikuwa natafuta habari ilotolewa na AFP News kule twitter ikisema UK ipo tayari kupeleka Nukes zake Poland endapo Russia akatumia Nukes ukraine.
Uk wananguvu ndogo ya kinuclear ukilinganisha wa warusi.yaani waingereza hawawaiwezi urusi kinuclear.Marekani ndo ananguvu Sawa na Warusi.warusi wananuclear mara 100 yenye nguvu Zaidi ya waingereza.
 
kelele nyingii sana na watu bado wanatuma silaha, piga tukio moja tuone kama kweli yeye mbabe apige nchi moja kombora asiwe anatisha tisha tu watu mwezi mzima na bado hawasikii. Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe anatisha lakini anaogopa moyoni.
 
Uingereza ana silaha za nuclear 225 wakati warusi wanazaidi ya 6000 na silaha kubwa na zenye nguvu wamarekani ndo wanaowakaribia sana
Marekani nuclear war heard iko enriched mara mia tano ya hiroshima, idadi sio tatizo.
Kuna hydrogen bomb
 
Putin kiande kama kiande mwingine....hizo nuke hata wenzie wanazo naona amebaki kutishia tu misaada inazidi kumiminika huko Ukraine na hali inazidi kuwa mbaya upande wake eneo la vita...ni swala la muda tu
ANGALIZO πŸ”žπŸ”žπŸ”žπŸ”žπŸ”žπŸ”ž
JAMAA ZENU HAO pengine na wewe upo hapo kambini US
 
Attachments

  • VID_20220428_105944_939.mp4
    1.9 MB
Uingereza ana silaha za nuclear 225 wakati warusi wanazaidi ya 6000 na silaha kubwa na zenye nguvu wamarekani ndo wanaowakaribia sana
Dah wewe mwamba nimekuvulia kofia kwa ushabiki unashindwa kujua silaha huwa ni siri, taarifa nyingi za silaha huwa nifake, unless wakubwa wanajuana kwamba huyu anazo. Kama ungepita angalau jkt usingeongea huu ujinga. Tanzania tu huwezi kujua tuna vifaru vingapi, apc ngapi na mizinga mingapi. Ubora na idadi ya silaha ni confidential
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…