Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

Msikilize tajiri ana kuambia pengine iyo kichwa yako itakaa sawa!
 
Ni ngumu kupambana na US na ukashinda unless aamue yeye kugive up, Russia anaweza akakwama njiani ktk hii vita kutokana na sababu za kiuchumi.

Several times tunasikia mataifa ya NATO yakisema huenda hii vita ikadumu kwa muda mrefu zaidi. Ofkoz watafanya hivyo ilia kumdhoofisha urusi kiuchumi.

Mali za matajiri wa Kirusi zilizoshikiliwa ktk nchi za Ulaya ni pigo moja kubwa mno kwa Putin.
 
Kwani tatizo likuwa anakuonesha hayo mashoga unayoyashabikia jinsi yalivo ....alafu ndo mnasema yakapigane na miamba kutoka russia ......hiiii keeli wewe unakichwa cha kuku
Kweli nina kichwa cha kuku lakini ndo bi mkubwa kanipenda na huna budi kuniita baba ishu iko hivyo mwanangu🤣
 
Hatothubutu,hiyo jeuri hana,atabaki kutishia hivyo hivyo kwa maneno
Hata wakati ameweka kambi mpakani na Ukraine, mlisema hivyo hivyo hataweza ingia ni mkwala tu. Russia atakapokiwasha msije sema kuwa hakutoa onyo kabla
 
Unaifananisha Russia na zimbabwe??
 
Russia hatotumia Nuclear ila kitakachotumiwa Ukraine NATO watabaki mdomo wazi.
 
Nimeiona hatari kubwa kwenye ndoto ni kubwa sana duniani. Nimeona vilio vingi vya maumivu makali ya mabilioni ya watu kupoteza ndugu zao kwa Nuclear. Bomu LA kwanza la Nuclear litadondoshwa Poland. Eeeh Mungu tunusuru
 
jitathimini akili yako vzrv, geuza hayo maneno vice versa , Urusi haez ground war na NATO hata akisaidiwa na wote wanaomuunga mkono ndio maana anatishia nyuklia
 
uliwai kuisikia Javelin ?
 
Sasa USA asipiokuwa 'machinoo' nani atakuwa? Yani mtu ana nguvu na anaongoza katika nyanja zote hapa Duniani anaachaje kuwa machinoo,hebu wakati mwingine tuwe serious kidogo
US ndo kiranja, bila US nchi zingetuendesha sana

Urusi akishindwa maana yake Taiwan itaishi kwa raha
 
Hizi comment ndefu hazisadii sana,yeye Russia achukue hatua tu kwa hao wanaomsaidia Ukraine,siyo kila siku kuleta mipasho ile ile,si hao wanapeleka silaha kila kukicha.
Yeye apige hapo poland maana ndo base ipo kuanzia training, ndo silaha zote zipo.

Mbona Israel hupiga ndani ya Syria kila siku sababu ya silaha na bases
 
mnakuwa vigeu geu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…