Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

fact
 
Whatever means of war the powerful part will win
 
Mkuu watu wanacho sahau ni kwamba American Military is spread too thin, sasa hizo sio dalili nzuri wakati wa vita mfano:WW3 lets say - mambo ya logistics kufikia bases zao zote zile Duniani itakuwa kama a nightmare kwao - sina uhakika kama hilo wao wamekwisha liona au la.
 
Hukusemabna uwezo wao kwenye intelligence CIA
 
Mkuu, not necessarily-what happened in VietNam.
What happened in Vietnam is different sababu

1. USA invaded vietnam ( Kuvamiwa nyumbani kwako huwa ni probability kwa mvamizi kushinda hata kama ni powerful sababu unajua mbinu za kukabiliana na adui nje ya vita, Geography ya Vietnam iliwashinda marekani.) Ndio maana nimeongelea sana case ya Russia na China kuiangusha marekani kwa maana ya invasion) but ni by then not now.

2. USA lacked support from both CIA and Public.
Bado Marekani hawakukubaliana kuivamia vietnam, Wamarekani wengi walikua against na Hata ndani ya jeshi kulikua na kutokuelewana juu ya lengo kuu la kuvamia vietnam.
 
Kilichosababisha ishindwe ni alikuwa anapigana guerilla war, unapigana na wasio na millitary regalia, ngumu kujua huyu na yule nani yupi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hizo iCBM Amerika hawana?
 
Hakuna anayetaka kumuangusha mwenzake .......Kila mtu anapambana na Hali yake

NB: unaemsema kuwa ana teknolojia kubwa ya silaha .......ndiye anayemuogopa mrusi

Sasa mtoa mada wewe ni Nani pale pentagon??

View attachment 2564746
Huyu ni moja wa mavambi tu,
Kwajinsi mrusi anawatusi watu zaidi 30,nikwakua wameshazidiwa mda
 
Acha kuwa poyoyo, hakuna Taifa liko vizuri kama Marekani kwenye logistics za kijeshi, ndio maana wanaweza ku project power na kupigana popote duniani kwa muda mrefu sana. Urusi hapo mpakani kwake tu Ukraine panamtoa kamasi unaenda mwaka wa pili sasa.
 
Hii ni story Kama story zingine coz umeandika Tu na huna uhakika , unadai ni takwimu je hao walioziweka hizo takwimu ni akina Nani na hawana upendeleo au ndio propaganda
 
Naona mtoa mada unajitoa ufahamu pole sana
Ila kiufupi ni kuwa siku mbungi ikianza marekani na Russia au NATO na Russia aisee jua tutashuudia mengi sana

Usione wataalamu wanatabiri kuwa siku vita hii ikianza kuna hatari dunia ikaangamia yote ukaisi ni masihara au miujiza ila jua ndivyo itakavyokuwa.

Na inawezekana nchi zilizounda umoja wa NATO nyingi zikajitoa katika iyoo vita ila kunusuru maangamizi ya nchi zao.

Russia hatatumia silaha nyingine zaidi ya silaha za maangamizi Marekani vilevile pamoja na shosti yake UK sitegemei France au German kuingia na haitatokea hawa wawili wsnajua ambacho walikipata miaka ya nyuma ata nchi nyingi ambazo marekani ameweka base hawatakubali mashambulizi yaaanzie kwao kwenda kwa Russia ni kujidanganya tu kuwa ilo litafanyia rejea aliyoyafanya Irani na mkwara aliompiga Saudia kuusu Israel kufanya mashambulizi kutokea kwao.

Mtoa mada vita ya marekani na Russia hutakaa uionee abadani itakuwa mikwara ya mbuzii tu na saivi naona kila mmoja kaanzisha jeshi lake la anga za mbali ndyo ujue ni ngumu hizi nchi kupigana kuusu badget mtoa mada jifunzee sana kwanini marekani bajeti yake ya ulinzi ipo juuu sana kuliko nchi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…