Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.
Hii ndio sababu maalum. Unamkumbuka baba wa wakoloni? England huyu alikuwa na nguvu lakini nguvu zake zilipelekwa USA baada ya vita vya kwanza vya dunia. Sasa muda wa lile taifa la mashariki ya kati kuwa na nguvu za kiuchumi. Huku akilindwa na kaka zake USA/NATO, si kwenye dini ndio inavyosema hio nchi atakuja mtawala atakae iongoza dunia.
 
Ajabu ni kwamba pamoja na ubabe wake wote, [emoji631] hawezi kulianzisha popote duniani bila washirika wake kuwa upande wake. Bila [emoji632], [emoji629], [emoji636], [emoji1063] kuwa pamoja na kuunga juhudi [emoji631] hana mbavu za kulianzisha. Asimame mwenyewe tuone kama galazwi chali chap kwa haraka..
 
Kwa dunia ya sasa mataifa makubwa yanapigana vita vya kiuchumi tu

Hautakuja kusikia hata siku moja eti Marekani ameenda kuivamia China au Urusi kivita. Au Urusi na China wataivamia kijeshi Marekani

Ni mwendo wa kuangushana kiuchumi kupitia economic sanctions
 
Hawaelewi wanabishana pasipo kujua yaliyo duniani
 
Halafu usa hawezipeleka silaha nzito kwenye nchi washirika wa NATO sababu nchi inawza kujiondoa NATO na kuwa adui wa marekani anytime na ikatumia silaha hizo hizo kujilinda hivo mtoa post fanya analysis zako upya
 
Nchi ya kuiangusha Marekani hakuna kabisa,tulikuwa tunadhani Urusi angemkaribia lakini vita vya Ukraine vimemuumbua vibaya.
Kwa uelewa wako unaona kabisa Ukraine anazichapa na Russia? Uliza [emoji631], [emoji629], [emoji636], [emoji632] na nchi umoja wa nato wametumia madolari mangapi hadi leo ili kumsafocate huyo mrusi.
 
Kwa investment ya dollar $844 billion kwenye jeshi lote mara 4 ya china Russia ni ngumu kukamatika
Hii sio sababu kwamba output itakua mara nne maana mchina anaweza kupa almost the same output ukizongatja yeye ana cheap labour
 
Hawa jamaa tayari wana anti nuclear
 
Mjomba usiwe unaamini kila kilichoandikwa, kwa sababu imeandikwa kwa Kiingereza na jarida maarufu na wewe unaamini..
Dunia ya leo inaendeshwa na full propaganda kukutia hofu ili usithubutu kuwadindia..
Kama hayo uliosema ni kweli ingepelekwa puta miaka 20 na wavaa kobazi wa Afghanistan ? We vipi bana ?
 
Unachekesha sana mkuu, kuwa na silaha nyingi ambazo sio effective zinaweza kukuangusha mapema sana vitani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!

Hichi ulicholeta ni sawa na kusema kila mtu mwenye uzito mkubwa na bonge anaweza kumtandika mtu mwenye less weight na mwembamba kwenye street fight!

Kwamba sababu mwarabu fighter ni mbavu anaweza akampiga professional boxer kama Twaha Kiduku.
 
Hahahah nashangaa hizo MB 800 anazojinadi anazo zitamsaidia nini huyo USA akitandikwa Bomu la Tsunami 🀣🀣🀣!

Wakati hajakaa sawa anakula Hypersonic zenye nuclear heads zinawakaanga vizuri tu maana hazizuiliki zikitumwa.
 
Hizo milotary base sio ishu. Ishu ni watu wenye balls wasioogopa kufa Marekani hana. Hivyo vifaa viko tu ila jeshi la Ardhini litabaki kuwa la muhimu sana kusonga mbele kivita.
USA anategemea Tech kuliko wanajeshi wapiganaji.

Hio tech yenyewe Urusi anaweza kuikaanga na kuifanya less effective kwa kutumia jammers za electronics. Inapigwa mionzi tu command centre yote inapoteana
 
Acha kuwa poyoyo, hakuna Taifa liko vizuri kama Marekani kwenye logistics za kijeshi, ndio maana wanaweza ku project power na kupigana popote duniani kwa muda mrefu sana. Urusi hapo mpaka kwake tu Ukraine panamtoa kamasi unaenda mwaka wa pili sasa.
We endelea kuamini Propoganda tu. Marekani ni fala tu na yeye anajijua ame capitalize kwenye kujikuza kwa bosheni. Hana huo ukubwa ndio maana ana haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…