Hahahah noona. Bakora imeingia upo period unaharisha. Shaga mzee wewe humjui Ritz leo utakuwa umemjua mimi uwa sishambulii mtu akinishambulia uwe tayari kwa vita naona unaomba msaada 😁Yaani hapo umedhihirisha ukilaza wako
Akili fupi kuwahi kutolea duniani
Duu, chizi karogwa Tena,naona mwezi mchanga Tayari ushaingia TayariHahahah noona. Bakora imeingia upo period unaharisha. Shaga mzee wewe humjui Ritz leo utakuwa umemjua mimi uwa sishambulii mtu akinishambulia uwe tayari kwa vita naona unaomba msaada 😁
Hahah siku ingine ukiona post yangu utakuwa na adabu😄Duu, chizi karogwa Tena,naona mwezi mchanga Tayari ushaingia Tayari
Wewe na yule wa kuitwa Gentamycine akili zenu mlizianika juani wahuni wakapita nazo
Vichwa panzi wa jf
DuuHahah siku ingine ukiona post yangu utakuwa na adabu😄
Karibu JF…
Huko Russia kashindwa kukomboa Kusrk mwezi wa 4 huu pamoja na kuomba corrabo ya Kiduku.Hawa waasi nadhani mpaka sasa wanajutia kukutana na moto wa Russia hawakutegemea walichokutana macho.
View: https://x.com/drloupis/status/1862758802644508895?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uzuri wa Urusi anatandika wote wala hataki msaada.
Akomboe kwanza Mji wake KurskMkiambiwen Rusia anauwezo wa kuitandika ulaya yote muwe mnaelewa..
Rusia yupo tayar kusitisha vita na ukrain kuliko Assad apinduliwe..
Hakuna nchi inayoitwa Ukraine Tena kwa sasaHuko Russia kashindwa kukomboa Kusrk mwezi wa 4 huu pamoja na kuomba corrabo ya Kiduku.
mkuu sijataja Biden wala Netanyau , nchi sio. ya Assad , nchi j wasyria wote , Assad asizani yeye kazaliwa kuwa rais tu , apishe wengine mustakabari wa wasyria , mbona Boris alipisha , Nyiny ndo mnasababisha wasyria kwa kushabikia mtu ambaye tyr analeta mgawanyiko ndani ya syria , apishe kabla mambo hayajawa mabaya zaid , uwepo wake madarakan ndo unatumiwa na watu wabaya kwenda kuleta fujo ndan ya syriaNchi ya nani sasa ya Shetanyahu na Biden, eti Joe jina lenyewe lakishoga shoga tu, kuna mwanaume anaitwa Joe.
mlianzia kwa ulaya mkaja kwa Urusi kisha mkaja kwa Marekani , kisha Wayaudi leo mmeanza tajanaHapo tatizo ni Turkey
urusi anashindwaje kuirudia Kursk?Wamarekani na EU wanashindwa nini kuisaidia Ukraine kurudisha Crimea na baadhi ya maeneo kule mashariki na kaskazini mwa Ukraine mpaka wanaacha wa Ukraine wanakufa
Wanjiru sikia pale Kusrk Russia kaakikisha jesh adui aliendi popote lipo apo apo kusrk kinachofanyika pale Russia kaamua kufanya ule mkoa Uwanja wa mazoezi ya kivita harisi sijui kama umeelewa yani Wakorea wapo apo wajeda Batalioni 1 wapo kwenye mafunzo lkn wanauwa kweli baada mwezi wanaondoshwa wanaletwa wengine ivoivo 1 Batalion wapate mafunzo na kule korea waliopigana vita miaka ile sasaivi wazee awa kizaz kipya akijawai kupigana au kuuwa mtu kwaiyo Russia anawaandaa washilika wake kivita korea ajatoa msaada kama propaganda za west zinavotulisha pale mkorea ndio kaomba akawape mafunzo vijana wake ndio mana unaona adi leo awajafekwa wale Wavamizi,,Akomboe kwanza Mji wake Kursk
Kursk ipiurusi anashindwaje kuirudia Kursk?