Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Yaani hapo umedhihirisha ukilaza wako
Akili fupi kuwahi kutolea duniani
Hahahah noona. Bakora imeingia upo period unaharisha. Shaga mzee wewe humjui Ritz leo utakuwa umemjua mimi uwa sishambulii mtu akinishambulia uwe tayari kwa vita naona unaomba msaada 😁
 
Hahahah noona. Bakora imeingia upo period unaharisha. Shaga mzee wewe humjui Ritz leo utakuwa umemjua mimi uwa sishambulii mtu akinishambulia uwe tayari kwa vita naona unaomba msaada 😁
Duu, chizi karogwa Tena,naona mwezi mchanga Tayari ushaingia Tayari
Wewe na yule wa kuitwa Gentamycine akili zenu mlizianika juani wahuni wakapita nazo
Vichwa panzi wa jf
 
Duu, chizi karogwa Tena,naona mwezi mchanga Tayari ushaingia Tayari
Wewe na yule wa kuitwa Gentamycine akili zenu mlizianika juani wahuni wakapita nazo
Vichwa panzi wa jf
Hahah siku ingine ukiona post yangu utakuwa na adabušŸ˜„

Karibu JF…
 
Yani ni kipondo cha kwenda kusema UN washaaza kukimbiana wamechokoza vita wakati wahuni wapo tayali tayali wamejichanganya kinoma aiisee mwana kulitafuta mwana kulipata Uturuki ule mgogolo wawakimbizi utaanza upya uko ulaya mana mji yote miwili waliachiwa awa waasi kwa ombi la Uturuki sasa wameasi kwasasa iyo miji naamini inalejea serikalini Hezbullah awatokubali kama mwanzo kuaachia miji watawasha moto wakimbizi wakajazane Uturuki.
 
Nchi ya nani sasa ya Shetanyahu na Biden, eti Joe jina lenyewe lakishoga shoga tu, kuna mwanaume anaitwa Joe.
mkuu sijataja Biden wala Netanyau , nchi sio. ya Assad , nchi j wasyria wote , Assad asizani yeye kazaliwa kuwa rais tu , apishe wengine mustakabari wa wasyria , mbona Boris alipisha , Nyiny ndo mnasababisha wasyria kwa kushabikia mtu ambaye tyr analeta mgawanyiko ndani ya syria , apishe kabla mambo hayajawa mabaya zaid , uwepo wake madarakan ndo unatumiwa na watu wabaya kwenda kuleta fujo ndan ya syria
 
Wamarekani na EU wanashindwa nini kuisaidia Ukraine kurudisha Crimea na baadhi ya maeneo kule mashariki na kaskazini mwa Ukraine mpaka wanaacha wa Ukraine wanakufa
urusi anashindwaje kuirudia Kursk?
 
Akomboe kwanza Mji wake Kursk
Wanjiru sikia pale Kusrk Russia kaakikisha jesh adui aliendi popote lipo apo apo kusrk kinachofanyika pale Russia kaamua kufanya ule mkoa Uwanja wa mazoezi ya kivita harisi sijui kama umeelewa yani Wakorea wapo apo wajeda Batalioni 1 wapo kwenye mafunzo lkn wanauwa kweli baada mwezi wanaondoshwa wanaletwa wengine ivoivo 1 Batalion wapate mafunzo na kule korea waliopigana vita miaka ile sasaivi wazee awa kizaz kipya akijawai kupigana au kuuwa mtu kwaiyo Russia anawaandaa washilika wake kivita korea ajatoa msaada kama propaganda za west zinavotulisha pale mkorea ndio kaomba akawape mafunzo vijana wake ndio mana unaona adi leo awajafekwa wale Wavamizi,,
 
Back
Top Bottom