Ow abt Russia vs 🇺🇦 🇺🇦 mbona war ongoing wakristo mnapigana nyie kwa nyie vp makanisa mapta tatajengwajeSunni Shia Conflict inaanza tena, kuchinjana kwa Waisilamu wenyewe kwa wenyewe, theatre ni Syria huenda ikahamia na Iraq. sisi yetu macho na 🍿 na Soda baridi aina ya Bibsi😆😁
Jihadi wao kwa wao😄😁
"Makafiri" watapunzishwa kidogo 😁😆
Asa mnaposema Israel imefeli vita imefeli wapi???, Cha kwanza Israel hakuomba ceasefire bali walioomba ceasefire ni ufaransa(France), marekani, kwa msukumo na malalamiko kutoka umoja wa mataifa(UN) kwa ku engage na viongozi wa Lebanon na Israel ili mapigani yasitishwe,,,ndio both sides zikakubali kusitisha mapigano.Muwe munaelewa mambo vijana musipende kuropokwa mnatuabisha waafrika wenzenu huku umeelewa kwenye Ile agree walikua na makubaliano ya muda gani kuji ondoa huko Lebanon au leo tayari ni siku ya 61 tokea makataa yasainiwe msipende kuropokwa
Achana na porojo anapigana vita hivi ni Marekani na Ulaya Israel anasaidiwa tu kila kitu unamtenganisha Marekani na Israel😄Asa mnaposema Israel imefeli vita imefeli wapi???, Cha kwanza Israel hakuomba ceasefire bali walioomba ceasefire ni ufaransa(France), marekani, kwa msukumo na malalamiko kutoka umoja wa mataifa(UN) kwa ku engage na viongozi wa Lebanon na Israel ili mapigani yasitishwe,,,ndio both sides zikakubali kusitisha mapigano.
Asa mnaposema Israel imefeli vita,JE IMEFELI WAPI?? na LEBANON kashinda wapi??
Naambatanisha.
View attachment 3166405
Ukraine wanapigana wenyewe wanachosaidiwa ni siraha TU lkn Syria warusi wanajeshi kamili,Irani wanajeshi kamili lkn wanashidwa kuwaondoa wanajeshi 2000 wamarekani wanaokalia visima vya Al Omar nchini Syria na ambavyo nitegemeo kubwa kwa uchumi wa Syria,kwa Nini lkn wanafanya hivyoWamarekani na EU wanashindwa nini kuisaidia Ukraine kurudisha Crimea na baadhi ya maeneo kule mashariki na kaskazini mwa Ukraine mpaka wanaacha wa Ukraine wanakufa
Nakumbuka sana wanajeshi 500 wa Wagna waliaga Dunia ndani ya siku mbiliWalijaribu kilicho wakuta hawataki tena kurudi huko kukomboa hivyo visima
Basi mkuu Kama anayepigana hii vita ni marekani, basi naomba vithibitisho kuwa marekani kashindwa vita au nipe vithibitisho kuwa Lebanon kashinda vita,,Ila tafadhali usilete posts za Twitter maana hayo ni mawazo ya watu.leta evidence from known and trusted sources.Achana na porojo anapigana vita hivi ni Marekani na Ulaya Israel anasaidiwa tu kila kitu unamtenganisha Marekani na Israel😄
Tunaposema amefeli tunakuja na ushahidi huu hapa siyo porojo.Asa mnaposema Israel imefeli vita imefeli wapi???, Cha kwanza Israel hakuomba ceasefire bali walioomba ceasefire ni ufaransa(France), marekani, kwa msukumo na malalamiko kutoka umoja wa mataifa(UN) kwa ku engage na viongozi wa Lebanon na Israel ili mapigano yasitishwe,,,ndio both sides zikakubali kusitisha mapigano.
Asa mnaposema Israel imefeli vita,JE IMEFELI WAPI?? na LEBANON kashinda wapi??
Naambatanisha.
Israeli occupation forces have failed to capture even a single village in southern Lebanon, despite deploying over 50,000 troops in a month-long ground invasion, the Hebrew-language newspaper Yedioth Ahronoth has reported. The current offensive involves five divisions—three times the size of the force deployed during the failed 2006 war—but has yielded no significant territorial gains.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hilo swali hata mimi huwa nauliza kama Uingereza wana demokrasia kiongozi mkuu(mfalme/malkia) huwa anachaguliwa na wananchi?Vijana mnapenda kuropokwa kweli kweli aseee nitajie saudia UAE Jordan Bahrain Qatar nk mara ya mwisho kufanya uchaguzi wakuchagua rais au mfalme ulikua lini halaf nikumbushe mara ya mwisho kura ya kumchagua Mfalme ama malkia wa Uingereza ilifanyika lini
Ushaidi wa kufeli Israel huu hapa bofya chini hapa.👇🏽Basi mkuu Kama anayepigana hii vita ni marekani, basi naomba vithibitisho kuwa marekani kashindwa vita au nipe vithibitisho kuwa Lebanon kashinda vita,,Ila tafadhali usilete posts za Twitter maana hayo ni mawazo ya watu.leta evidence from known and trusted sources.
Wapiganaji waasi wameingia baadhi ya maeneo ya mji wa pili kwa ukubwa Syria wa Aleppo katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya serikali ya Bashar Assad.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Asa hapa unaongelea Kijiji kimoja,,let us talk about the whole war generally between Israel and Lebanon and not one village chief.Ushaidi wa kufeli Israel huu hapa bofya chini hapa.👇🏽
Israel fails to occupy one single village in Lebanon despite intense aggression Israel fails to occupy one single village in Lebanon despite intense aggression
Tunaposema amefeli tunakuja na ushahidi huu hapa siyo porojo.
Israeli occupation forces have failed to capture even a single village in southern Lebanon, despite deploying over 50,000 troops in a month-long ground invasion, the Hebrew-language newspaper Yedioth Ahronoth has reported. The current offensive involves five divisions—three times the size of the force deployed during the failed 2006 war—but has yielded no significant territorial gains.
The report attributes Israel’s setbacks to Hezbollah’s “effective tactical strategies,” including layered defences and precision attacks on Israeli armoured units. Colonel Jack Neriya, a former advisor to Prime Minister Yitzhak Rabin, said Hezbollah fighters are allowing Israeli troops to advance before trapping them in ambushes, which has posed challenges even for “elite” units. “This ambush tactic has created extreme challenges for Israeli forces, including elite units such as Golani and other commandos,” he said.
Hezbollah claimed it has destroyed 42 Merkava tanks, four bulldozers, two Hummers, an armoured vehicle, and a troop carrier since the invasion began. The Lebanese resistance movement also reported over 95 Israeli soldiers killed and 900 wounded. Israeli forces have struggled to map Hezbollah positions and counter elusive drones.
kuna tofauti gani alivyoshinda uchaguz putin na babu yako aliyeendazake 2020KeWakati mwingine tumia akili alizokupa Mungu siyo kushikiwa akili tu na propaganda za Ulaya na Marekani hao ni binadamu wenzako, Putin kashida juzi uchaguzi wa wazi kabisa Urusi leo wewe upo Itigi unamuita Putin Dikteta.
Nimepitia sana hili suala na kujiridhisha kuwa hili ni kujilisha upepo kwa wazungu,kuficha ukweli halisi,na kuna siku BBC walifichua hili tena UK,binti wa kizungu wa UK na hijab zake akipinga unachoamini, wazungu wanasilimuBro mi ungejua huko naenda kama hapo kkoo. Wazungu wengi wameamua kutokuamin habar za dini. Uislam unaokua ulaya ni wingi wa wageni wanaoingia. Wakimbizi wengi wanaokwenda ulaya ni waislamu. So ukiona misikiti mingi ujue ni wageni wanasali.
Syria ni ya wasyria sio ya mtu binafsi, Isis ni kundi la wanajeshi watiifu ambao harakati zao ni kuikomboa nchi yao ili waondokane na u-dikteta wa Assad ulioasisiwa ni russiaKwa fikra zako unataka Syria waongozwe na Isis?
Mbona hawajaungana na saudiaInapokuja Israel wote wanaungana.
Uislam ni mmoja ila waislam wanaweza wasiwe wamoja
View: https://x.com/MOSSADil/status/1862991108554342772?t=XIhZYXg5EbUfJTG-bhjOTw&s=19
FaizaFoxy hawa sio Marekani Wala Wazayuni...
Hawa ni Wavaa Kobazi wa Kissuni angalia namna wanavowaona Washia...
Hapo anawaaita Washirikina...
Ila Wavaa Kobazi wa mtwara wanasema Uislam ni mmoja
Umeshindwa hoja unaanza kunishambulia binafsi nikianza kukushambulia utakimbilia kwa mods.Syria ni ya wasyria sio ya mtu binafsi, Isis ni kundi la wanajeshi watiifu ambao harakati zao ni kuikomboa nchi yao ili waondokane na u-dikteta wa Assad ulioasisiwa ni russia
Achana na hizo copy na paste nimekuwekea ushahidi kutoka jarida maarufu la Israel wenyewe Yedioth Ahronoth umekataa habari kutoka X.Asa hapa unaongelea Kijiji kimoja,,let us talk about the whole war generally between Israel and Lebanon and not one village chief.
Ukweli ni kwamba isreal kashinda hii vita na Lebanon ndo kawa more affected.
Naambatanisha
View attachment 3166416
Vikosi vya Israel vimeshindwa kukamata hata kijiji kimoja kusini mwa Lebanon, licha ya kupeleka zaidi ya wanajeshi 50,000 katika uvamizi wa ardhini uliodumu kwa mwezi mmoja.>>>>>>>>>>>>>>