Ndio lengo kuu la mgogolo wa Syria lengo Israel afanye mauwaji pale ili macho y Dunia na akili zibaki SYRIA. Lkn bado watashindwa Hii VITA Iran anapeleka majesh Rasmi awatorudi nyumbani adi milima ya Golan imerudi kwa SYRIA au zaid ya apo Iran kaamua kucheza ngoma walioipiga wenyewe Wamarekani Israel na Uturuki Iran kapitia umoumo Baba hii ngoma inagile Wasrael washafaamika weupe akuna cha Iron dome wala THAAD takataka tu tullieni muone picha ndio inaanza ngoma mbichi bado. Watajutia kuleta upya mzozo huu.Hamas wanaendelea kuchezea kipigo kizito.