sasa vile vifusi pale tel aviv kulikoni...tetemeo au kimbunga?Jisomee mwenyee
Bank hacks, internet shutdowns and crypto heists: Here’s how the war between Israel and Iran is playing out in cyberspace
Kama huamini issue za crypto basi tulia ukamatwe off-guard na new world financial system ambazo utalazimika kwa nguvu kuziamini na itakuwa too late.![]()
Iran crypto exchange hit by hackers, $90 million destroyed
An anti-Iranian hacking group with possible ties to Israel announced an attack on one of Iran's largest cryptocurrency exchanges on Wednesday, destroying nearly $90 million and threatening to expose the platform's source code.www.reuters.com
Iran kurusha mabomu siyo issue kwa Israel maana yanarushwa 300 yanapanguliwa 298, 1 linaanguka lenyewe tena kabla ya kufika Israel!!! Israel imeharibu missiles launchers kibao, imelipua military's bases kibao, imeua wanajeshi wa Iran/wanasayansi wa Iran kibao, na Ayatollah ilikuwa auliwe kibudu ashukuru huruma za Trump. Nuclear sites zimelipuliwa na bado Mossad wanatamba Iran kama watakavyo na wataendelea inyanyasa Iran na waarabu milele.
vipi ayatollah kuishi kwenye bunker kipanya road huku akimwaga samadi kwa kihoro akiogopa kipondo cha myahudi?sasa vile vifusi pale tel aviv ulikoni...tetemeo au kimbunga?
🤣🤣🤣🤣Umeonesha ulivyo kilaza swali dogo tu umehahavipi ayatollah kuishi kwenye bunker kipanya road huku akimwaga samadi kwa kihoro akiogopa kipondo cha myahudi?
sawa ni kawaida kiongozi kujificha wakati wa vita,kila nchi ina sehemu maalum za kuficha viongozi wao wakubwa kipindi cha vita nini cha ajabu kwa ayatolla!!!vipi ayatollah kuishi kwenye bunker kipanya road huku akimwaga samadi kwa kihoro akiogopa kipondo cha myahudi?
Ingekua vizuri sana huo uwezo wa kutawala anga la Iran kulikofanywa na nchi mbili tu yaani USA na Israel wangewasaidia NATO na Ukraine kutawala anga la Russia maana F -16 walizopewa Ukraine zimeozea kwenye mahandaki.Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi chokozi.
Kila nchi sasa imekaa mguu sawa ikiogopa kama Israel wataamua kufanya operesheni nyingine katika mataifa mengine yanayoonea wanadamu.
Unatema povu sana ka nyoka kifutu pole, ayatollah alishateua mpaka warithi wake kwa kujua safari hii anauliwa kibudu na yahudi na kwa kuwa alijua yahudi ataua mpaka mrithi wake akateua kabisaa warithi watatu ili angalau wavute vute muda na wasiuliwe wote kibudu angalau kuwe na back up na mzee alishtukia kumweka mwanae mrithi maana alijua atadedishwa tu akaona bora aweke mtu baki aisee adedishwe ila sio mwanae!! Iran n kweli joka la kibisa yaan simba wa kuchorasawa ni kawaida kiongozi kujificha wakati wa vita,kila nchi ina sehemu maalum za kuficha viongozi wao wakubwa kipindi cha vita nini cha ajabu kwa ayatolla!!!
ila inashangaza nyinyi hamkubali kwamba mmekula kichapo heavy hapo ndipo napowaona wagonjwa wa akili nyie kwa kukataa vitu vinavyoonekana wazi wazi,vita ni mchezo wa wazi kama ulivyo mpira wa miguu mzee
Ayatollah wa watu bado kajificha kwenye mahandaki.Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi chokozi.
Kila nchi sasa imekaa mguu sawa ikiogopa kama Israel wataamua kufanya operesheni nyingine katika mataifa mengine yanayoonea wanadamu.
Na persia wameingia hasara ya dinar ngapi?Mpaka sasa Iran kishawapa hasara ya USD 20Bil sasa jiulize yale mabomu yalikuwa yanapita angani au ardhini.Uzuri kwa wao sio mbaya US yupo atalipa hiyo hasara.
ayatollah haamini kama ameponea chupchup kupelekwa kuzimu na yahudi amshukuru Trump kwa kuizuia Israel sasa hii ingekuwa ulimwengu wa Kishia unaendelea na maombelezoAyatollah wa watu bado kajificha kwenye mahandaki.
Dah!
Jamaa wamezuia media kuonyesha uhalisia wa maangamizi yaliyofanywa na wadada wa IDF.ayatollah haamini kama ameponea chupchup kupelekwa kuzimu na yahudi amshukuru Trump kwa kuizuia Israel sasa hii ingekuwa ulimwengu wa Kishia unaendelea na maombelezo
Si ndio wababe wenye dunia yao,Japo wabishi wakina Iran bado wanapambana na huu uonevu. Ujiulize ww why mafuta unanunua nchi za kiarabu wakati Russia na Venezuela mafuta unayapata kwa bei rahisi? Ndio ujue huo unao uita upuuzi hata wewe unakurudisha nyuma.Kuongelea mambo ya vikwazo ni upuuzi kabisa kwa nini na wenyewe wasiwawekee wengine vikwazo.
Mifumo ilikuwa overwhelming Washington Post walikadiria mifumo inaweza kuhimili mashambulizi kwa siku kumi, wewe unazani kusitisha hii vita walipenda? Ushajiuliza why walikuwa wanawazuia wanahabari kuripoti matukio wakati huu wa vita?Jisomee mwenyee
Bank hacks, internet shutdowns and crypto heists: Here’s how the war between Israel and Iran is playing out in cyberspace
Kama huamini issue za crypto basi tulia ukamatwe off-guard na new world financial system ambazo utalazimika kwa nguvu kuziamini na itakuwa too late.![]()
Iran crypto exchange hit by hackers, $90 million destroyed
An anti-Iranian hacking group with possible ties to Israel announced an attack on one of Iran's largest cryptocurrency exchanges on Wednesday, destroying nearly $90 million and threatening to expose the platform's source code.www.reuters.com
Iran kurusha mabomu siyo issue kwa Israel maana yanarushwa 300 yanapanguliwa 298, 1 linaanguka lenyewe tena kabla ya kufika Israel!!! Israel imeharibu missiles launchers kibao, imelipua military's bases kibao, imeua wanajeshi wa Iran/wanasayansi wa Iran kibao, na Ayatollah ilikuwa auliwe kibudu ashukuru huruma za Trump. Nuclear sites zimelipuliwa na bado Mossad wanatamba Iran kama watakavyo na wataendelea inyanyasa Iran na waarabu milele.
Mkuu walitawalaa anga la iran lakini bado iran akalitumia hilo hilo anga lake kuwapelekea moto mpaka wakaomba poo.
Bwana Trump anakwambia Iran alishusha kipondo heavy kwa Israel.
View: https://www.youtube.com/shorts/8N-oRfudLIg
Tazama mwenyewe si maneno yangu ni maneno ya mtu ambaye israel waliomba aokoe jahazi.
Russia anajiuliza nini wakati drone za kienyeji tu za Ukraine zinakaanga yale mapipa ya S400 kila siku?Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi chokozi.
Kila nchi sasa imekaa mguu sawa ikiogopa kama Israel wataamua kufanya operesheni nyingine katika mataifa mengine yanayoonea wanadamu.
Mbona makasiriko bwashee kwani we hujui Iran hua anatumia drone tu na makombora kwenye mashambulizi yake tangu nyumaJitahidi watu wasijue huna akili, kitawala anga kunazuia watu kurusha makombora? Ungekuja na hoja kuwa ndege vita za Iran zilikuwa zinapiga mzigo ndio tungekuelewa.
tatizo lenu wazayuni ndo hilo nimekuulza swali hujajibu sana sana na wewe umeniuliza swali,nimekujibu swali unasema natema povu akili zenu zipo mattakoni nini?Unatema povu sana ka nyoka kifutu pole, ayatollah alishateua mpaka warithi wake kwa kujua safari hii anauliwa kibudu na yahudi na kwa kuwa alijua yahudi ataua mpaka mrithi wake akateua kabisaa warithi watatu ili angalau wavute vute muda na wasiuliwe wote kibudu angalau kuwe na back up na mzee alishtukia kumweka mwanae mrithi maana alijua atadedishwa tu akaona bora aweke mtu baki aisee adedishwe ila sio mwanae!! Iran n kweli joka la kibisa yaan simba wa kuchora
Weeee Mvaa kobazi kaa kimiya Dawa iwaingie Nyie Wairan wa MkurangaLuteni wa Mchongo hii ni taarifa, Onyo au Maelekezo ?