Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,378
- 13,198
Mkuu walitawalaa anga la iran lakini bado iran akalitumia hilo hilo anga lake kuwapelekea moto mpaka wakaomba poo.
Bwana Trump anakwambia Iran alishusha kipondo heavy kwa Israel.
View: https://www.youtube.com/shorts/8N-oRfudLIg
Tazama mwenyewe si maneno yangu ni maneno ya mtu ambaye israel waliomba aokoe jahazi.
Maneno ya huyu huyu Trump alisema Israel they are doing very good job they know how to use fighter jet in Iran.. imagine Ndege 200 na hakuna hata moja iliyoguswa, pamoja na Iran kuwa na mitambo yake ya kuzuia Ndege na makombora pia Mitambo ya Urusi sijui S-400 NA COPY ZAKE ZOTE UDUANZI. Walileta eti wameangusha S35 NA KUWA iRAN IMEKUWA NCHI YA KWANZA kuangusha hizo ndege hodari pilot wa Israel waliposikia hiyo habari walicheka sana.
So uongo wa Iran ukiuchukulia makini unakuwa umejiunga na uislam baba la uongo