Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.

Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi chokozi.

Kila nchi sasa imekaa mguu sawa ikiogopa kama Israel wataamua kufanya operesheni nyingine katika mataifa mengine yanayoonea wanadamu.
Wewe utakuwa chizi sio bure ututuki ndo nchi gani?
 
Israel iliishambulia Iran kiugaidi kwanza kabla ya kuweza kuwa na uwezo wa kutawala anga lake.

Hoja siyo mifumo ya ulizi wa anga wa Iran kuwa ni mibovu, ishu ni zile drones za Mossad za kigaidi zilizorushwa kutokea ndani ya Iran yenyewe.

Hata Urusi nayo madege yake yalilipuliwa kigaidi na Ukraine kwa mtido huohuo wa kupenyeza drones za kigaidi ndani ya territory yao.

Inavoonekana marekani inashare picha za sattelites kwa Isareal zinazoonyesha mitambo mbalimbali ilipo
Unajuwa ugaidi kweli???
 
Mkuu walitawalaa anga la iran lakini bado iran akalitumia hilo hilo anga lake kuwapelekea moto mpaka wakaomba poo.
Bwana Trump anakwambia Iran alishusha kipondo heavy kwa Israel.

View: https://www.youtube.com/shorts/8N-oRfudLIg
Tazama mwenyewe si maneno yangu ni maneno ya mtu ambaye israel waliomba aokoe jahazi.

Naamini uko sahiii lakini hapa si sehemu ya mashindano!

mtu anaetawala angala lako ni rahisi kukuangamiza na kupiga popote atakapo hata ikulu.
 
Watu ambao mnaanzisha nyuzi kama hizi mara nyingi ni wale watu ambao mpompo tu Wala hamjui ulimwengu unaendaje

Urusi na Ukraine ni sawa na Tanganyika na Zanzibar na Zelensk anatumiwa na Marekani Ili kiidhofisha urusi na Marekani hajafanikiwa katika hilo na ndio maana hata misada Yao ya kivita na kiuchumi Trump ameiondoa

Inachokifanya Urusi ni kuzuia tu Marengo ya Marekani yasifanikiwe

Kama urusi akiiteketeza Ukraine basi anateketeza ndugu zake

Lakini kama Urusi anamua kuichapa Ukraine hata saa 24 haziishi
Russia na Ukraine ni nchi mbili tofauti kabisa na ni ubabe tu wa Vladimir Lenin ndio akaifanya kuwa moja ya mataifa 15 yaliyoingizwa USSR kwa nguvu baada ya vita vya kwanza vya dunia.

Na baada ya USSR kusambaratishwa na Ronald Reagan 1989 Ukraine ikarejea kuwa sovereign state tena.

Nia ya Russia ilikuwa ni kuiteka Ukraine ndani ya masaa 72 na kupandikiza rais kibaraka kama walivyo mpandikiza Alexander Lukashenko wa Belarus lakini wakachakazwa vibaya.

Russia angekuwa na uwezo wa kumaliza hivi vita kwa muda mfupi angevimaliza na kuokoa gharama nyingi anazoingia leo lkn kwa bahati mbaya uwezo huo hana.
 
Kwenda kinyume na US au kutokwenda kunahusikaje na hii hali duni tuliyonayo.
Kwani kwenye miaka hii ishirini vita zote zilizotolea taifa lipi linaongoza kuangamiza watu wengi?Vita zote mpaka sasa hawajatoa ushahidi watuhuma walizokuwa wakiwatuhumu.

Unawazuia wanyonge wasinunue mafuta kwa nchi za Venezuela, Russia,Iran? Halafu unasema huoni impact kwa developing countries.
 
A
That USD 20 billion is just a "peanut" compared to over USD 1 trillion that Iran had invested in the nuclear program for over four decades which has gone down the drain.

Iran imepata hasara ambayo kamwe hataweza kufidia.
Again, hiyo hasara ya 20 billion alioipata Israel ni kwenye majumba ya makazi zaidi while ile kwa Iran ni kwenye maeneo ya investment so nakubaliana na wewe, Iran kaathirika zaidi; kapigwa kwenye maeneo yaliokua yakimpa jeuri
 
Kwani kwenye miaka hii ishirini vita zote zilizotolea taifa lipi linaongoza kuangamiza watu wengi?Vita zote mpaka sasa hawajatoa ushahidi watuhuma walizokuwa wakiwatuhumu.

Unawazuia wanyonge wasinunue mafuta kwa nchi za Venezuela, Russia,Iran? Halafu unasema huoni impact kwa developing countries.
Hakuna aliyezuia mafuta yasinunuliwe sehemu yoyote ile, mbona kuna mataifa yananunua mafuta Iran, nimechoka kuzitaja.
 
Hakuna aliyezuia mafuta yasinunuliwe sehemu yoyote ile, mbona kuna mataifa yananunua mafuta Iran, nimechoka kuzitaja.
Yananua kiubishi na nyingi ya hizo nchi zinazo nunua uhusiano wao wa kidiplomasia na US ni mbaya.
 
Iran haiwezi Israel huo ndio ukweli. Ndio maana baadaye itabidi waungane na Urusi, Uturuki na nchi kadhaa za kiislamu ili kuivamia Israel pande zote. Maandiko yameandika kuhusu hii vita na Mungu mwenyewe ndiye atawapiga hao maadui maana Marekani haitaweza!
 
Aliyeomba cease fire kati ya Iran na Israel ni nani?
 
Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.

Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi chokozi.

Kila nchi sasa imekaa mguu sawa ikiogopa kama Israel wataamua kufanya operesheni nyingine katika mataifa mengine yanayoonea wanadamu.
Taarifa yako imetoka kwenye chanzo kipi?
Tuwekee ushahidi wa taarifa ya nchi za Uturuki na Urusi kuonyesha uoga wa hicho ulichosema.
 
Wewe kweli mtupu kichwani. Hivi unajua kuwa uchumi wa Israel upo juu sana kuliko wa Iran?

Kwa middle East yote, nchi ambayo uchumi wake unaizidi Israel ni Saud Arabia tu, ambayo nayo bado inazidiwa na Israel kwenye GDP per capita.
Israel ni taifa linalopokea unconditional aids kutoka USA.
Iran ni taifa lililo chini ya vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kwa zaidi ya miaka 40.
Usifananishe Iran na vitu vya *******.
Kama Israel angewekewa vikwazo kama vya Iran mwaka tu angekua kama Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom