Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

Umeiweka kitaalamu sana.
 
Kama unapanda Aeroflot it’s going to take off but don’t expect it to land you do that at your own risk good luck
 
Kama unapanda Aeroflot it’s going to take off but don’t expect it to land you do that at your own risk good luck
Kumbe unaijua haha kuna watu wananibishia hapa
 
Kwa sasa wapinzani wameanza kumpa joto Putin kwakuwa uchaguzi unakaribia, ila kapiga marufuku hakuna mikutano kisiasa hali haija kaa sawa kiusalama wa nchi.
Uchaguzi lini mkuu?
 
Mkuu amka utajikojolea!
 
Ni Leo ndo umefahamu kwamba mashirika ya ndege Huwa yanafaulisha abiria..ujui kwamba unaweza Kata KQ ukapandishwa precision au ni mara ya kwanza kupanda ndege.
 
We jamaa huendi mbinguni yani unasikiliza story za empty minded kipanya afu unatuletea humu
 
Uchambuzi wako kuhusu mgogoro wa ukraine na urusi umeegemea zaidi kwa propaganda ya marekani na washirika wake na upotoshaji wa historia na siasa za kimataifa. Chimbuko la mgogoro huu ni 1) Ubabe na ubeberu wa marekani na 2) ukiukwaji wa utekelezaji wa makubaliano ya Minsk. Tangu kusambaratika Usoviet ilikubalika taifa la Urusi wasizingilwe na majeshi wala silaha za maangamizi ya wamarekani. Kilichofata ni kwa marekani na mataifa ya nato siyo tu kuizingila nchi ya urusi kwa majeshi bali pia kuzidisha silaha za maangamizi jirani na kujitoa ktk makubaliano ya kudhibiti silaha kali. Sasa Ukraine ikajizatiti kwa chuki na jeuli zaidi dhidi ya urusi na warusi kwa niaba ya narekani (proxy). Wakaendesha mauaji (genocide) kwa raia wa kirusi maeneo ya mashariki ya donesk n.k. kwa miaka mingi na hata kupiga marufuku lugha na utamaduni wao. Nia ya marekani ni kuifanya ukraine koloni lake na hatimaye kuwaigiza nato tyr kuisambaritisha urusi. Pengine bado unayo kumbukumbu kwa kilichotokea urusi ilipo peleka makombora yake cuba miaka ya 60 - leo makombora makali zaidi ya marekani yanaendelea kusambazwa kilomita chache kuizingira urusi. Kuhusu mwenendo wa kivita na ukubwa wa uchumi, warusi wanapigana na mataifa ya nato (27) siyo ukraine. Matrillion ya pesa na silaha kali zimemwagwa. Ni wazi taifa lenye uchumi dhaifu kwa vigezo duni vya gdp kuilinganisha urusi na s/korea lisingehimili vikwazo na vita kali kama urusi inavyoonyesha. Taarifa za hivi karibuni za Kamanda mkuu wa nato hulo ulaya ni kwamba urusi bado iko imara mno na uwezo wao kijeshi na kiuchumi haujateteleka kama mataifa ya magharibi walivyotarajia. Hata hivyo ni kweli pia warusi waliboronga kwa ku underestimate uwezo wa ukraine kivita ambao walikuwa wanajitayarisha kwa msaada wa marekani na hatimaye kutupilia mbali mkataba wa minsk. Tusisahau pia hata marekani majuzi wamefurushwa na taifa maskini la afghanistani. Jiulize ni kwanini hawa Marekani wamesambaza majeshi yao na silaha kila kona ya dunia. Kwanini kila vita imechochewa na Marekani - vietnam, korea, iraq, afghanistan, libya, cuba, chile, iran, syria, hiroshima/nagasaki, n.k...... jiulize!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…