Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

We ndio kabisa huelewi sheria za kimataifa marekani ana limiting ya kutoa silaha ,kwenda Ukraine siyo kila silaha anaruhusiwa kusaidia ,anatakiwa atoe silaha za kujihami tuu.ndio maana silaha alizompa juz ameomba ahakikishiwe kwamba ni za kijilinda siyo za kushambulia ndani ya Russia ,haya mambo yako kikanuni wewe unaleta utopolo wa kwenye kahawa ,aibu sana unatoa mada dhaifu hivi,kasome vizuri maazimio ya kimataifa kuhusu mambo ya vita ,ingekua may be Ukraine ni NATO hapo USA angeingia direct, ila kwa Ukraine hawez ingia direct wala kutoa silaha nzito za masafa,wala ndege,wala meli.
 
Wewe nani kakwambia Urusi kachoka??Au wewe upo Kremlin pale??
 
Wamagharibi walijua wakimweleza vikwazo mrusi watamdhofisha, wanatahamaki mfumuko wa bei upo kwao, na vibaraka wao Afrika. Naombea hii vita mrusi ashinde ili huyu muuaji wa magharibi aliyeshindwa vita Afghanistan na kuondoa majeshi yake kwa aibu. Zama za kupiganisha watu ili auze siraha nadhani zimepitwa na wakati. Dunia tunaitaji amani na tekinolojia zenye kuleta maendeleo sio tekinolojia zenye kutuangamiza.
 
Wewe nani kakwambia Urusi kachoka??Au wewe upo Kremlin pale??
Unafikiri vita unatumia makaratasi kuna gharama mkuu marekani mwenyewe anaijua ,muulize alivyotoka kimchapa sadamu uchumi wake ulivyoyumba mpaka leo sidhani kama ana mudi ya kuzichapa na MTU
 

Attachments

  • FB_IMG_16527957613243482.jpg
    59.6 KB · Views: 11
We jamaa kweli hamnazo!!!
Aliomba uhakikisho baada ya Russia kusema silaha hizo zikigusa ardhi take atahesabu huyo shoga mkuu kajiingiza kwenye hiyo OP. Na unajua ahadi ya mkuu Put in aliyoahidi kwa atakaye jiingiza
 
naona mrusi wa kishmundu unajitutumua kuandika pumba
 
Uhuni huu wa kuachia mazagazaga ni kiboko, tena inafaa yawe yanaelekea aliko yeye kumchomoa fuse kabisa.
 
PUTIN.....GO GO. GO!!!!!!

the world must be balanced scientifically......... technologically ....and militarily
hahaaa jiuliz hiyo balance km inamtambua mwafrika ,waafrika hatujitambuu bora kile kizaz cha akina Nyerere atleast walitambua kuwa hakuna wa kutunyanyua zaid yetu sisi , Sio Urusi wala West wamaweza kukubadilishia chochote , Urusi akikamata dunia anaangalia maslai ya warusi na sio waafrika ila kupitia siasa ataigiza kuwa upand wenu in reality ana angalia Russian interest , Mf ni what China is doing to Africa its too dangerous asee
 
Loh!
 
Hii ni baada ya Ukraine kuanza kutumia silaha nzito alizopewa na US kupiga maeneo ya Wanajeshi wa Russia.Kwa hiyo kinachofanyika ni kuzidi kuitia hasira Russia.Ukraine isipoaangalia itabaki ni majivu.
 
[emoji1][emoji3][emoji2] Makombora buku kwa saa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…