Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe


Kama mbinu yenu mpaka Urussi achoke bhasi kubali NATO ni dhaifu. Kwahiyo mnasubiri mtu achoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787], anyway mtasubiri mpaka yesu anarudi
 
Mbona Russia yeye aliingia direct Syria ambapo US walitaka kumtoa Assad?
 
We kenge rudi kasome darasani..ni aibu kubwa kujiita pro nato na huku hujui hata lugha yao kubwa! Shwain kabisaa..
 
Kama mbinu ni kumsubiri mrusi achoke watasubiri sana

Mtu anabomoa miji anaiteka na kisha kujenga hapo hapo, huyo ni wa kuchoka leo.

Bado hawakubali tu kuwa mrusi alijipanga sana na hii vita wala hajakurupuka
 
We kenge rudi kasome darasani..ni aibu kubwa kujiita pro nato na huku hujui hata lugha yao kubwa! Shwain kabisaa..
Soma hii bwashee acha kupaniki
KIGALI (Reuters) - British Prime Minister Boris Johnson said on Saturday that he feared Ukraine could face pressure to agree a peace deal with Russia that was not in its interests, due to the economic consequences of the war in Europe.

"Too many countries are saying this is a European war that is unnecessary ... and so the pressure will grow to encourage - coerce, maybe - the Ukrainians to a bad peace," he told broadcasters in the Rwandan capital Kigali, where he is attending a Commonwealth summit.

Johnson said the consequences of Russian President Vladimir Putin being able to get his way in Ukraine would be dangerous to international security and "a long-term economic disaster".
 
Kama mbinu ni kumsubiri mrusi achoke watasubiri sana

Mtu anabomoa miji anaiteka na kisha kujenga hapo hapo, huyo ni wa kuchoka leo.

Bado hawakubali tu kuwa mrusi alijipanga sana na hii vita wala hajakurupuka
Inawezekana pia ,haya mambo huwa siri
 
Wewe ndo hujui tuendako. Hujui ukrein ni mzalishaji mkubwa wa chakula na mafuta ya alzeti duniani na ulaya inamtegemea yeye kwa mahitaji yao ya chakula, hasa eneo laliloteka Mrusi. Duniani inahitaji nini zaidi ya chakula⁉️ ukiwa na madini utakula hayo madini. Loh wewe utakuwa bado unaishi kwa shemeji
 
Si umeona mambo hayo.Wape wasome.
 
Kuchoka kwa urusi ndiko kunako waogopesha USA ...Maana mrusi atatumia silaha kubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…