STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Sasa na ww huju kama China na Urusi ni baba na mama ? Unapomuekea vikwazo Urusi alaf ukamiacha China ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, nasema hayo kwa sababu juzi wakuu wenu huko Marekani na umoja wa Ulaya wamesema wana wasiwasi kuwa China imeingeza uhusiano na Urusi ktk uchumi ndio maana juzi wamevumbua daraja lanmoja kwa moja kutoka Moscow mpaka Beijing [emoji16]Nchi zenye akili hazipigani vita visivyo na faida. Masikini Putin, sasa unapigana vita na Ukraine ili upate nini?
China kavumbua Komputa yenye akili km binadamu. Miaka 40 mbele China atakuwa juu kushinda Urusi
Tumia akili katika kufikiri usitumie mihemuko, nchi za kiarabu zimeingiaje ktk vita ya Ukraine? Acha michuki haitokusaidia, au ni kwasababu ya kichapo mnachochezea ndio kinawatoa akiliHizi ni hasira za kupigwa nchi za Kiarabu.
Unapigana na mlemavu halafu unajivunia una nguvu. Hiyo ni akili kweli?
Unapigana na Ukraine ili uchukue nini? Hayo ni matumizi mabaya ya akili na mali.
Katika mataifa yenye akili duniani ni Marekani, China na Uingereza. Hao ndiyo wanaishi kibepari.
Unajua kwanini USA kaomba kuhakikishiwa hivyo ? Sababu ni moja tu USA ana ogopa vita na mrusiWe ndio kabisa huelewi sheria za kimataifa marekani ana limiting ya kutoa silaha ,kwenda Ukraine siyo kila silaha anaruhusiwa kusaidia ,anatakiwa atoe silaha za kujihami tuu.ndio maana silaha alizompa juz ameomba ahakikishiwe kwamba ni za kijilinda siyo za kushambulia ndani ya Russia ,haya mambo yako kikanuni wewe unaleta utopolo wa kwenye kahawa ,aibu sana unatoa mada dhaifu hivi,kasome vizuri maazimio ya kimataifa kuhusu mambo ya vita ,ingekua may be Ukraine ni NATO hapo USA angeingia direct, ila kwa Ukraine hawez ingia direct wala kutoa silaha nzito za masafa,wala ndege,wala meli.
[emoji16]Wewe nani kakwambia Urusi kachoka??Au wewe upo Kremlin pale??
Chanzo ni Aljazeera mkuu.Chanzo?
Huyo kibaraka apigwe tu
Ishamchosha? Mkuu unahisi kwamba hii vita imetokea tu out from nowhere, sio kwamba Ni fukuto la muda mrefu na kwamba sasa mda muafaka umefika!?Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Nilijua tu kama utajaa kwenye 18 kijana kaa kwakutuliaWe ni choko kweli , eti Taifa teule , pimbi wewe
Hizi ndizo habari napenda sikia wakati kama huu wa kutafuta njozi njemaa,now nafsi yangu kwatuuuKuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka na Urusi ili vita visitishwa hasa kutokana na athari mbaya za Uchumi kwa mataifa yote ya Ulaya.
Wanajeshi wa Ukraine wanazidi kukimbizana kukimbia kimbunga cha Urusi kwenye vita.
View attachment 2271608
- Dozens of Russian missiles have simultaneously hit military facilities in western and northern Ukraine, local officials say.
- View attachment 2271716
soma uelewe usikurupukeWe jamaa si tu ni muongo bali ni m'mbea yaani ukraine afanya maamuzi magumu dhidi ya urusi ni maamuzi gani hayo? Acha kula upepo wewe hautashiba! Yaani nchi imechakaa mifumo ya NATO yoote imeshindwa kumsaidia.
Mrusi katumia Strategic bomber ie TU 160 pia fighter jets like SU 35 unadhani kwanini USA hapeleki strategic bombers zake eg B 2 Lancer stratofortress na figher jets kama F 35? Unadhani kwanini ufaransa hajapeleka Rafale? Jibu ni kwamba haziwezi kufanya kitu mbele ya Urusi na wanaogopa kwamba wakizipeleka soko lake litaishia hapo.
Halafu ukumbuke hata wakubwa zako wana uelewa juu ya mziki wa urusi na wanaujua tangu kitambo
Vita ipi Mkuu??,uliwahi kuona vita watu wanaambiwa Leo tutashambulia eneo A au B??Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Kuna sheria za kivita mkuu ,ndio maana kuna uhalifu wa kivita ,uhalifu ni kucheza faulu ,mfano kupiga makazi ya watu ,kama US walivyoshtakiwa kule Japan mpaka leo wanawalipa japaniVita ipi Mkuu??,uliwahi kuona vita watu wanaambiwa Leo tutashambulia eneo A au B??
Mmekimbilia huko tena!!!???Nchi zenye akili hazipigani vita visivyo na faida. Masikini Putin, sasa unapigana vita na Ukraine ili upate nini?
China kavumbua Komputa yenye akili km binadamu. Miaka 40 mbele China atakuwa juu kushinda Urusi
Daah hasira ya nn mkuu[emoji23]We ni choko kweli , eti Taifa teule , pimbi wewe
Atajua ajuiJamaa kamaliza kabisa, kwamba akiwa full mziki NATO yote haimuwezi. Sasa na kusubiri watasubiri sana.. Mrusi anabonda jamaniii aloooh
Chanzo chako cha habar kuwa mrusi kachoka na yeye????Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Basi nahao watalipwa tuuuuKuna sheria za kivita mkuu ,ndio maana kuna uhalifu wa kivita ,uhalifu ni kucheza faulu ,mfano kupiga makazi ya watu ,kama US walivyoshtakiwa kule Japan mpaka leo wanawalipa japani
Vita za now days ni ngumu sana mkuu zinagharama sana tofaut na enzi za vita ya pili ya dunia ,kama unabisha muulize marekani na uchumi wake mkubwa kilichomkuta Iraq ,uchumi wake uliporomoka sana Bush wamarekan hawakumtaman kabisa ,Chanzo chako cha habar kuwa mrusi kachoka na yeye????
Taifa teule linatumia mabomu kuua watu 🤣🤣🤣🤣URUSI hayupo VITANI
Ila hata kama hii OP itachukua miaka 100 basi TAIFA TEULE LA RUSSIA lipo tayari kupigana
Nahata kama itadumu miaka 1000 TAIFA TEULE LA RUSSIA lipo tayari kuwanyoosha hao UKRO NATO
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app