Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Husipoteze lengo - jibu swali.Mambo ya uhuru na Urusi kuingia hasara kule wapi na wapi, yaani mumechanganyikiwa hadi raha..... Waarabu wa Bongo mnaparamia kila kitu lakini mtaambiwa ilivyo bila kufichwa.
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.
Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===
Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driverโs hatch.
Russiaโs tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.
These staggering losses โ more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together โ mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.
Ukrainian Drone Drops Bomb Through Open Hatch To Score First Kill On Russiaโs Oldest Tank (Updated)
The first Russian T-62 tank, an antique pushed into front-line service, has fallen victim a Ukrainian drone. How did this happen and what does it tell us about the conflict?www.forbes.com
Sio ww MKUUWe bwashee tatizo lako ushabik ila utaelewa tuu haya mambo
Ngo'mbeSource? Forbes!! Mtu unategemea nini kutoka kwenye media za Forbes, the SUN ,Reuters nk - usanii mtupu
Kichekesho,Taifa linalo wasema sema vibaya Warusi kwamba bado wanatumia vifaru vya stone age era, mbona wao bado wanatumia ndege za mwaka 1952 yaani B-52,Hercules za mwaka gani, A-10 za mwaka gani, Trident na Minuteman (ICBM)za mwaka gani mbona juzi juzi hapa walikuwa wanazipiga brash,kwa nini hawaundi mpya kuwaiga Warusi,Wachina na North Korea wenye formidable and latest hypersonic missiles and glide vehicles - USA na mataifa ya Ulaya hayana kinga dhidi ya missiles hizi hatari na hilo wote wanalijua sana, ndio maana US na kundi la NATO wanajaribu kwa hali na mali kutumia jeshi na raia wa Ukraine na ujinga wa Zelensky kuendeleza vita ambavyo Ukraine haiwezi kushinda kwa vyovyote vile, US na washirika wake wanacho taka/tafuta ni kujaribu kudhoofisha jeshi na uchumi wa Russia kwa kupitia mbinu za kurefusha mapigano huko Ukraine, yaani vita iendelee miaka nenda rudi - ndio maana Zelensky ameshauriwa na Biden na genge lao kwamba hasikubali ku-surrender kwa Putin, Zelensky anacho sahau ni kwamba watakao teseka na kupoteza nchi ni raia wa Ukraine sio Waamerika au mataifa ya NATO - Zelensky akili hizo hana kabisa, yupo yupo tu maiigizo 24X7!!
Enheeee.....Urusi alianza vita na best modern weapons na best fighters akitarajia kuwa angeiteka ukraine na Kyiv ndani ya saa 72
Akashindwa wapiganaji wazuri wake wengi wameteketea na best weapons kutekeketea
Stock iliyobaki ya Askari wazuri na vifaa vizuri ndogo ndio maana kurudi stock ya zamani anaanza kuishiwa pumzi
USA juzi wameidhinisha msaada.mwingine kwa Ukraine wa dola bilioni moja na laki tano na NATO wametoa dola milioni moja kusaidia Ukraine. Kupambana na Urusi
Upo ww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Vladimir Putin hoi hadi anatia huruma, ameanza kutembeza bakuli nchi rafiki. Iran imekubali kuchangai ndege 6 za kivita. Muda siyo mrefu atakubali yaisha na hasara juu.
Are you serious?yaani unafananisha shughuli za uzalishaji na vita? Unakula nini wewe mpaka unakua zwazwa hivyo? Sasa wawapeleke wafungwa ambao hawana training za vita, unampeleka mfungwa FOB anaanzaje kukaa kwa battle formation nd shape???MBONA una fikra finyu sana, jikite kwenye hoja: kwahiyo unafikiri kuwa kuingiza wafungwa vitani hakuwezekani kwakuwa kuna reserve ya kutosha? kweli?, fikra zako zimefikia hapo?. Tanzania inaposema wafungwa wafanye shughuli za uzalishaji ni kwakuwa nchi imekosa rasilimali watu wa kuzalisha?????
Nakukumbusha kwa mara nyingine tena, maana naona hapa unajaribu kupoteza lengo kimaksudi - repeat, kitu gani ukufanya kuhusudu USA na mambo yao unconditionally??? Jibu swali.Siwezi kujibu utakavyo au utakalo, uzombi wa Uarabuni ukufanye utafute mambo ya sijui uhuru wa wapi huko south ku-justify hasara anayopata Urusi....ha ha ha!! Mnachekesha sana.
Mwanzo drones za Uturuki huko Ukraine zilileta shida kidogo,baadae Putin kazipatia dawa siku hizi hazitambi tena - bottom line is: Urusi si taifa la kuchukulia kimchezo mchezo hata kidogo,dawa ya HIMARS bado hipo jikoni kabla ya mwisho mwa mwezi huu hutazisikia tena,kwa hilo nina uhakika - Urusi hashindwi kitu, ndio hulka zao karne na karne.Vijimiji vichache mikononi mwa Urusi navyo shida tupu kuvimiliki,kila kukicha HIMARS inafumua miundo mbinu ,ghala na nyenzo za Z. HIMARS baala, inayo uwezo wa kulenga target zaidi ya km 80 bila kukosa, bohari,vifaru ,bedroom ya majenerali wa Putin hazipo salama. NATO oyee
Nakukumbusha kwa mara nyingine tena, maana naona hapa unajaribu kupoteza lengo kimaksudi - repeat, kitu gani ukufanya kuhusudu USA na mambo yao unconditionally??? Jibu swali.
Keywords kuzingatia - long range, precision , high value targets . Kazi iaendelee.Mwanzo drones za Uturuki huko Ukraine zilileta shida kidogo,baadae Putin kazipatia dawa siku hizi hazitambi tena - bottom line is: Urusi si taifa la kuchukulia kimchezo mchezo hata kidogo,dawa ya HIMARS bado hipo jikoni kabla ya mwisho mwa mwezi huu hutazisikia tena,kwa hilo nina uhakika - Urusi hashindwi kitu, ndio hulka zao karne na karne.
Wewew ndo mpumbavu uliyekubuhu. Huna hata fikra kuwa raia kibao wamepelekwa vitani?, huna taarifa kuwa wapiganani wa kujitolea wa upande wa ukraine amabaoo wanapigana upande wa urusi na raia watupu ikijumuisha raia wa kigeni hata waliokuwa wanafunzi. Inaonesha hujui kinavchoendekea huko duniani ndiyo maana una argue kwa matusiAre you serious?yaani unafananisha shughuli za uzalishaji na vita? Unakula nini wewe mpaka unakua zwazwa hivyo? Sasa wawapeleke wafungwa ambao hawana training za vita, unampeleka mfungwa FOB anaanzaje kukaa kwa battle formation nd shape???
Ao reserve na wanajeshi wenyewe wanafanya nn??
Kwanza hata unajua maana ya super power and status inayokuja na hilo?
Get ua mawazo finyu out of here๐๐๐
Ok, umejiridhisha kuwa ana jeshi kubwa. Sasa mbona ameanza kutumia majeshi ya kukodi; magenge ya kiharifu na wahuni??????Ingeandikwa kwa Kiswahili ungepost hii??? Ama kila cha kiingereza ni ukweli?
Soma hapa kisha tafakari namna gani unafuta hii usidharirike
Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio waende magerezani??? Bado wanareserve 2,000,000 sasa wanaenda kuchua wafungwa wa nini???