Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Mambo ya uhuru na Urusi kuingia hasara kule wapi na wapi, yaani mumechanganyikiwa hadi raha..... Waarabu wa Bongo mnaparamia kila kitu lakini mtaambiwa ilivyo bila kufichwa.
Husipoteze lengo - jibu swali.
 
Husipoteze lengo - jibu swali.

Siwezi kujibu utakavyo au utakalo, uzombi wa Uarabuni ukufanye utafute mambo ya sijui uhuru wa wapi huko south ku-justify hasara anayopata Urusi....ha ha ha!! Mnachekesha sana.
 
Nonsense totally
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.

Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===


Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driver’s hatch.

Russia’s tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.

These staggering losses – more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together – mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.

 
Source? Forbes!! Mtu unategemea nini kutoka kwenye media za Forbes, the SUN ,Reuters nk - usanii mtupu

Kichekesho,Taifa linalo wasema sema vibaya Warusi kwamba bado wanatumia vifaru vya stone age era, mbona wao bado wanatumia ndege za mwaka 1952 yaani B-52,Hercules za mwaka gani, A-10 za mwaka gani, Trident na Minuteman (ICBM)za mwaka gani mbona juzi juzi hapa walikuwa wanazipiga brash,kwa nini hawaundi mpya kuwaiga Warusi,Wachina na North Korea wenye formidable and latest hypersonic missiles and glide vehicles - USA na mataifa ya Ulaya hayana kinga dhidi ya missiles hizi hatari na hilo wote wanalijua sana, ndio maana US na kundi la NATO wanajaribu kwa hali na mali kutumia jeshi na raia wa Ukraine na ujinga wa Zelensky kuendeleza vita ambavyo Ukraine haiwezi kushinda kwa vyovyote vile, US na washirika wake wanacho taka/tafuta ni kujaribu kudhoofisha jeshi na uchumi wa Russia kwa kupitia mbinu za kurefusha mapigano huko Ukraine, yaani vita iendelee miaka nenda rudi - ndio maana Zelensky ameshauriwa na Biden na genge lao kwamba hasikubali ku-surrender kwa Putin, Zelensky anacho sahau ni kwamba watakao teseka na kupoteza nchi ni raia wa Ukraine sio Waamerika au mataifa ya NATO - Zelensky akili hizo hana kabisa, yupo yupo tu maiigizo 24X7!!
Ngo'mbe
 
Urusi alianza vita na best modern weapons na best fighters akitarajia kuwa angeiteka ukraine na Kyiv ndani ya saa 72

Akashindwa wapiganaji wazuri wake wengi wameteketea na best weapons kutekeketea

Stock iliyobaki ya Askari wazuri na vifaa vizuri ndogo ndio maana kurudi stock ya zamani anaanza kuishiwa pumzi

USA juzi wameidhinisha msaada.mwingine kwa Ukraine wa dola bilioni moja na laki tano na NATO wametoa dola milioni moja kusaidia Ukraine. Kupambana na Urusi
Enheeee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji187] #Zakharova: No matter how hard the United States and its allies try to strengthen the Kiev regime's combat capability, Russia's special military operation will continue, all its goals and objectives will be achieved. https://t.co/Yl2PBPpQTe
 
Vladimir Putin hoi hadi anatia huruma, ameanza kutembeza bakuli nchi rafiki. Iran imekubali kuchangai ndege 6 za kivita. Muda siyo mrefu atakubali yaishe na hasara juu. Zaidi Finland na Sweden kwa jeuri kabisa mbiyoni kujiunga na NATO. Putin kwisha,finito ,kaput.
 
Vladimir Putin hoi hadi anatia huruma, ameanza kutembeza bakuli nchi rafiki. Iran imekubali kuchangai ndege 6 za kivita. Muda siyo mrefu atakubali yaisha na hasara juu.
Upo ww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Yaani Nato mtaendelea kupewa kichapo mpaka mupotezwe


[emoji187] #Zakharova: No matter how hard the United States and its allies try to strengthen the Kiev regime's combat capability, Russia's special military operation will continue, all its goals and objectives will be achieved. https://t.co/Yl2PBPpQTe
 
Vijimiji vichache mikononi mwa Urusi navyo shida tupu kuvimiliki,kila kukicha HIMARS inafumua miundo mbinu ,ghala na nyenzo za Z. HIMARS baala, inayo uwezo wa kulenga target zaidi ya km 80 bila kukosa, bohari,vifaru ,bedroom ya majenerali wa Putin hazipo salama. NATO oyee
 
MBONA una fikra finyu sana, jikite kwenye hoja: kwahiyo unafikiri kuwa kuingiza wafungwa vitani hakuwezekani kwakuwa kuna reserve ya kutosha? kweli?, fikra zako zimefikia hapo?. Tanzania inaposema wafungwa wafanye shughuli za uzalishaji ni kwakuwa nchi imekosa rasilimali watu wa kuzalisha?????
Are you serious?yaani unafananisha shughuli za uzalishaji na vita? Unakula nini wewe mpaka unakua zwazwa hivyo? Sasa wawapeleke wafungwa ambao hawana training za vita, unampeleka mfungwa FOB anaanzaje kukaa kwa battle formation nd shape???
Ao reserve na wanajeshi wenyewe wanafanya nn??
Kwanza hata unajua maana ya super power and status inayokuja na hilo?
Get ua mawazo finyu out of here😏😏😏
 
Siwezi kujibu utakavyo au utakalo, uzombi wa Uarabuni ukufanye utafute mambo ya sijui uhuru wa wapi huko south ku-justify hasara anayopata Urusi....ha ha ha!! Mnachekesha sana.
Nakukumbusha kwa mara nyingine tena, maana naona hapa unajaribu kupoteza lengo kimaksudi - repeat, kitu gani ukufanya kuhusudu USA na mambo yao unconditionally??? Jibu swali.
 
Vijimiji vichache mikononi mwa Urusi navyo shida tupu kuvimiliki,kila kukicha HIMARS inafumua miundo mbinu ,ghala na nyenzo za Z. HIMARS baala, inayo uwezo wa kulenga target zaidi ya km 80 bila kukosa, bohari,vifaru ,bedroom ya majenerali wa Putin hazipo salama. NATO oyee
Mwanzo drones za Uturuki huko Ukraine zilileta shida kidogo,baadae Putin kazipatia dawa siku hizi hazitambi tena - bottom line is: Urusi si taifa la kuchukulia kimchezo mchezo hata kidogo,dawa ya HIMARS bado hipo jikoni kabla ya mwisho mwa mwezi huu hutazisikia tena,kwa hilo nina uhakika - Urusi hashindwi kitu, ndio hulka zao karne na karne.
 
Nakukumbusha kwa mara nyingine tena, maana naona hapa unajaribu kupoteza lengo kimaksudi - repeat, kitu gani ukufanya kuhusudu USA na mambo yao unconditionally??? Jibu swali.

USA hapigani hapa, huu ugomvi ni wa huyo mnayependa kumuabudu mkidhani yeye ndiye komesha la USA, ameishia aibu, itabidi waarabu mhame muanze kumuabudu Mchina, sema Mchina huwa mjanja sana huepuka ugomvi na USA maana ameshajua safu yake.
Urusi ndiye kwa ujinga wake kajiingiza kichwa kichwa kwenye aibu ya mwaka na kudhihirisha alivyo dhaifu.
 
Mwanzo drones za Uturuki huko Ukraine zilileta shida kidogo,baadae Putin kazipatia dawa siku hizi hazitambi tena - bottom line is: Urusi si taifa la kuchukulia kimchezo mchezo hata kidogo,dawa ya HIMARS bado hipo jikoni kabla ya mwisho mwa mwezi huu hutazisikia tena,kwa hilo nina uhakika - Urusi hashindwi kitu, ndio hulka zao karne na karne.
Keywords kuzingatia - long range, precision , high value targets . Kazi iaendelee.
 
Are you serious?yaani unafananisha shughuli za uzalishaji na vita? Unakula nini wewe mpaka unakua zwazwa hivyo? Sasa wawapeleke wafungwa ambao hawana training za vita, unampeleka mfungwa FOB anaanzaje kukaa kwa battle formation nd shape???
Ao reserve na wanajeshi wenyewe wanafanya nn??
Kwanza hata unajua maana ya super power and status inayokuja na hilo?
Get ua mawazo finyu out of here😏😏😏
Wewew ndo mpumbavu uliyekubuhu. Huna hata fikra kuwa raia kibao wamepelekwa vitani?, huna taarifa kuwa wapiganani wa kujitolea wa upande wa ukraine amabaoo wanapigana upande wa urusi na raia watupu ikijumuisha raia wa kigeni hata waliokuwa wanafunzi. Inaonesha hujui kinavchoendekea huko duniani ndiyo maana una argue kwa matusi
 
Ingeandikwa kwa Kiswahili ungepost hii??? Ama kila cha kiingereza ni ukweli?
Soma hapa kisha tafakari namna gani unafuta hii usidharirike
Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio waende magerezani??? Bado wanareserve 2,000,000 sasa wanaenda kuchua wafungwa wa nini???
Ok, umejiridhisha kuwa ana jeshi kubwa. Sasa mbona ameanza kutumia majeshi ya kukodi; magenge ya kiharifu na wahuni??????

Russia-Ukraine updates: UK says Wagner mercenaries fighting at front lines​

dw.com - 7h ago
1658236886031.png

Russia is using Wagner mercenaries to bolster its troops in Ukraine, UK intelligence warns. German Chancellor Olaf Scholz spoke out against individual EU states vetoing the bloc's foreign policy. DW rounds up the latest.
German Chancellor Olaf Scholz has called for European unity as Russian attacks continue to devastate Ukraine
© Vincenzo Circosta/ZUMA/picture allianceGerman Chancellor Olaf Scholz has called for European unity as Russian attacks continue to devastate Ukraine

Russia has been employing mercenaries from the private military contractor Wagner to reinforce its regular troops fighting on the front line in Ukraine, according to the British Defense Ministry.
In its daily intelligence update, it said the Wagner Group had lowered its recruitment standards and started hiring convicts and individuals who had previously been blacklisted.
UK officials said this change, along with the limited training given to new recruits, would "highly likely impact on the future operational effectiveness of the group and will reduce its value as a prop to the regular Russian forces."
The fact that the head of Wagner, Yevgeniy Prigozhin, had recently received a high national honor for his military performance might also aggravate tensions between Russia's military and the mercenary group, the update said.
Here are the other main headlines from the war in Ukraine on July 18, 2022.

Putin speaks of 'colossal' high-tech problems caused by sanctions​

Russian President Vladimir Putin on Monday conceded that Western sanctions over Moscow's invasion of Ukraine presented "a huge challenge," but vowed that Russia would surmount the problems they had caused in the high-tech sector.
"Realizing the colossal amount of difficulties we are facing, we will look for new solutions in an energetic and competent manner," he told a meeting.
He said Russia would use "sovereign" technology and products of innovative companies at home.
Putin said that the West had imposed the sanctions to slow Russia's development.
Many top tech companies, including Apple, Microsoft and Intel suspended their operations in Russia, or left the country altogether, in response to Russia's unprovoked attack on Ukraine starting February 24.

 
Back
Top Bottom