Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Ha ha ha!! Mimi hata waarabu wenyewe kule Quara wamenishindwa sembuse nyie mliojipandikiza uarabu hapo Bongo.....
Endelea kujifaraji,wewe na Kichwa chako mnaishi kwenye Dunia ya kufikirika!
 
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.

Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===

Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driver’s hatch.

Russia’s tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.

These staggering losses – more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together – mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.

Nonsense
 
Umeingizwa mkenge na propaganda ya nchi za magharibi!! Ujue Ukraine na Urusi wanamiliki silaha zinazofanana maana wote wamevirithi kutoka kwa iliyokuwa USSR. Vifaru vya ukraine vilivyokuwa vinabanguliwa mwanzoni kabisa mwa vita picha yake inatumiwa kana kwamba vifaru vya urusi vikibanguliwa!! Ingekuwa hayo yanayosemwa ni kweli, jimbo la Luhansky lisingekombolewa!! wala Mariupol isingetekwa!!

Putin kaziambia nchi za magharibi zilizokuwa zinadai urusi itashindwa kwenye uwanja wa vita, basi waendelee kama wanaweza!! Ukweli ni kwamba Ukraine ilishashindwa vita, kinachoendelea ni uhaini tu wa kujaribu kuua wananchi wa jimbo la Donbas kwa kutumia maroketi ya masafa marefu toka marekani ambayo [pia mengi yameshaharibiwa tayari.

Ndio kitu mumebaki nacho cha kujifariji, ila Mrusi anaendelea kuingia karakana kutafuta kilichosalia humo atumie maana ameinga hasara kubwa sana, vifaru vinaendelea kuisha, alivyovitumia kwenye ule msafara vilifyekwa vyote.
 
Hivi unajua kiasi cha vifaru vya ukraine, ndege za kivita na magari ya kivita yaliyoharibiwa!! Tafuta hiyo halafu uje hapa kuleta mrejesho kama ubavu huo unao!!

Hatuna haja na kilichoharibika upande wa Ukraine maana mpaka sasa ilipaswa Urusi awe amekafunika hako kainchi ukizingatia hasara aliyoingia, ni kiasi cha kuweza kusambaratisha mataifa kumi ya Afrika.....yaani supapawa useless kabisa.
 
Endelea kujifaraji,wewe na Kichwa chako mnaishi kwenye Dunia ya kufikirika!

hehehe hadi raha, hapa hamna mzuka wa kidini, tunakwenda hivi hivi...
 
Nyie mnapiga umbea wenzenu wanasonga mbele tu.angalia wanajeshi wenu walichofanyiwa huko SIVERSK

Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.

Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===

Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driver’s hatch.

Russia’s tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.

These staggering losses – more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together – mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.

Kipindi huyu mnigga anaripoti pumba hizi, wakuu wa nchi za magharibi wanajiuzulu,wanalaumiana na kususiana huku wengine wakiwa na hofu ya kutolewa madarakani kwa kuisapoti Ukraine ili hali kwao hali mbaya.
UBONGO WA MK254 NI AJABU LINGINE LA ULIMWENGU🙌🙌🙌
 
Hapa tunaongea kuhusu Urusi kuishiwa hadi anafuata vifaru vya miaka ya sitini, supapawa.
 
Sasa we unajua lengo la yeye kutumia hivyo mkuu?is that a point unajengea hoja?kama kaishiwa si ungesikia wakuu wako wanashangwe now?we bhana endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Tunamfuatilia na kuendea kushuhudia udhaifu wake wote, tumechosha mavifaru anaelekea kuyamaliza, ameita wazee wastaafu wapigane, amefanya usaili, wameomba msaada hadi Syria, kainchi kadogo jirani hapo kanaendelea kumhemesha anaishiwa siku baada ya siku.

Halafu akina Finland, Sweden n.k. wametumia hii fursa fasta kujiunga NATO, naye Mchina huwa hana huruma ndio fursa hii anatumia kujinufaisha kwa Urusi, anamfyonza kama kupe...
 
Kiukweli mnateseka sana.ila itabidi tu mzoee wala hamna jinsi.URUSI atabaki kuwa baba lao
Sasa Putin ameamua kufungulia wafungwa na kuwapeleka vitani

Putin recruiting troops from prisons to fight in Ukraine after massive losses​

Nicholas Cecil - Yesterday 10:36 AM
1657718602970.png

Vladimir Putin’s “private army” may be recruiting soldiers from jails due to difficulties replacing troops killed or wounded in Ukraine, British defence chiefs said on Tuesday.
Service members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
© REUTERSService members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
They believe that at least 20,000 of the Russian president’s military personnel have been killed in Ukraine since he launched his invasion on February 24.
Three to four times as many Russian soldiers are estimated to have been wounded or incapacitated, with Ukrainian forces also suffering heavy losses.
In its latest intelligence update, the Ministry of Defence in London said: “Russian Armed Forces’ personnel shortages may be forcing the Russian MOD to turn to non-traditional recruitment. This includes recruiting personnel from Russian prisons for the Wagner Private Military Company.
“If true, this move likely indicates difficulties in replacing the significant numbers of Russian casualties.”

Related video: War in east Ukraine: Kramatorsk readies for Russian attack (France 24)

View on Watch
Britain, the US and other allies are fighting an information war against Russia, and this claim about recruitment from jails is carefully couched as not a firm claim.
However, information coming out of the Kremlin is even more questionable given that it has not even admitted that an invasion has taken place and its denials of air and artillery strikes hitting civilians areas seem unbelievable.
The British MoD briefing added: “Russian troops continue to make small incremental territorial gains in Donetsk oblast with Russia claiming to have seized control of the town of Hryhorivka.
“Russian forces also continue their assault along the E-40 main supply route towards the cities of Slovyansk and Kramatorsk.
“Russian forces are likely maintaining military pressure on Ukrainian forces whilst regrouping and reconstituting for further offensives in the near future.”
 
View attachment 2288977

Vladimir Putin’s “private army” may be recruiting soldiers from jails due to difficulties replacing troops killed or wounded in Ukraine, British defence chiefs said on Tuesday.
Service members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
© REUTERSService members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
They believe that at least 20,000 of the Russian president’s military personnel have been killed in Ukraine since he launched his invasion on February 24.
Three to four times as many Russian soldiers are estimated to have been wounded or incapacitated, with Ukrainian forces also suffering heavy losses.
In its latest intelligence update, the Ministry of Defence in London said: “Russian Armed Forces’ personnel shortages may be forcing the Russian MOD to turn to non-traditional recruitment. This includes recruiting personnel from Russian prisons for the Wagner Private Military Company.
“If true, this move likely indicates difficulties in replacing the significant numbers of Russian casualties.”

Related video: War in east Ukraine: Kramatorsk readies for Russian attack (France 24)

View on Watch
Britain, the US and other allies are fighting an information war against Russia, and this claim about recruitment from jails is carefully couched as not a firm claim.
However, information coming out of the Kremlin is even more questionable given that it has not even admitted that an invasion has taken place and its denials of air and artillery strikes hitting civilians areas seem unbelievable.
The British MoD briefing added: “Russian troops continue to make small incremental territorial gains in Donetsk oblast with Russia claiming to have seized control of the town of Hryhorivka.
“Russian forces also continue their assault along the E-40 main supply route towards the cities of Slovyansk and Kramatorsk.
“Russian forces are likely maintaining military pressure on Ukrainian forces whilst regrouping and reconstituting for further offensives in the near future.”
 
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.

Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===

Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driver’s hatch.

Russia’s tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.

These staggering losses – more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together – mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.

acha kusambaza propaganda za Magharibi.
Yaani wewe unachukua habari ya vita ya Urusi na Ukraine kutoka Forbes na kuisambaza kama habari.
 
Yaani inventory ya mataifa kumi hivi ya Afrika na mpaka sasa mumeambulia tumiji twa huko mpakani.....inapaswa waarabu wa Bongo muwe mumechoka kusapoti hawa supapawa mchongo..
Kama vita ni lelemama - huu ni mwaka wa ngapi tangu jeshi lenu lijiingize Somalia,je,mmekwisha teka miji mingapi so far?? Badala yake mko busy mnagombania biashara ya mkaa na Wasomali!!

Kitu kingine, kama unafikiri silaha za Urusi si lolote si chochote mbona jeshi la anga la Kenya mlikwenda kununua Russian helicopter gunships (Mil-24) kutoka Urusi, kwa nini hamkununua Apache Gunship??
 
Urusi wanapigana na warusi wenzao ugomvi wa ndugu tuuuwache,kama hujui urusi asili yake ni Ukrainian hao ni. Ndugu waachen wamalizane wanajuana weñyewe ,ni sawa na US kuzipiga na UK
 
Tunamfuatilia na kuendea kushuhudia udhaifu wake wote, tumechosha mavifaru anaelekea kuyamaliza, ameita wazee wastaafu wapigane, amefanya usaili, wameomba msaada hadi Syria, kainchi kadogo jirani hapo kanaendelea kumhemesha anaishiwa siku baada ya siku.

Halafu akina Finland, Sweden n.k. wametumia hii fursa fasta kujiunga NATO, naye Mchina huwa hana huruma ndio fursa hii anatumia kujinufaisha kwa Urusi, anamfyonza kama kupe...
🤣🤣🤣 So vifaru vya zamani ila vizima unataka alimie?vile si vyombo vya kivita mzee ama vinaexpire date???
 
Sasa Putin ameamua kufungulia wafungwa na kuwapeleka vitani

Putin recruiting troops from prisons to fight in Ukraine after massive losses​

Nicholas Cecil - Yesterday 10:36 AM
View attachment 2288977

Vladimir Putin’s “private army” may be recruiting soldiers from jails due to difficulties replacing troops killed or wounded in Ukraine, British defence chiefs said on Tuesday.
Service members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
© REUTERSService members of pro-Russian troops ride an infantry fighting vehicle in Lysychansk
They believe that at least 20,000 of the Russian president’s military personnel have been killed in Ukraine since he launched his invasion on February 24.
Three to four times as many Russian soldiers are estimated to have been wounded or incapacitated, with Ukrainian forces also suffering heavy losses.
In its latest intelligence update, the Ministry of Defence in London said: “Russian Armed Forces’ personnel shortages may be forcing the Russian MOD to turn to non-traditional recruitment. This includes recruiting personnel from Russian prisons for the Wagner Private Military Company.
“If true, this move likely indicates difficulties in replacing the significant numbers of Russian casualties.”

Related video: War in east Ukraine: Kramatorsk readies for Russian attack (France 24)

View on Watch
Britain, the US and other allies are fighting an information war against Russia, and this claim about recruitment from jails is carefully couched as not a firm claim.
However, information coming out of the Kremlin is even more questionable given that it has not even admitted that an invasion has taken place and its denials of air and artillery strikes hitting civilians areas seem unbelievable.
The British MoD briefing added: “Russian troops continue to make small incremental territorial gains in Donetsk oblast with Russia claiming to have seized control of the town of Hryhorivka.
“Russian forces also continue their assault along the E-40 main supply route towards the cities of Slovyansk and Kramatorsk.
“Russian forces are likely maintaining military pressure on Ukrainian forces whilst regrouping and reconstituting for further offensives in the near future.”
Ingeandikwa kwa Kiswahili ungepost hii??? Ama kila cha kiingereza ni ukweli?
Soma hapa kisha tafakari namna gani unafuta hii usidharirike
Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio waende magerezani??? Bado wanareserve 2,000,000 sasa wanaenda kuchua wafungwa wa nini???
 
Back
Top Bottom