Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Ni kweli, ndio maana walikuwa wamekubaliana na Russia ku-implement makubaliano yao ya Minsk kwa ajili ya kuleta amani baina ya Mataifa yao, sasa ni kitu gani kilicho kuja kutokea baadae? Serikali ya Zelensky wakawa wanavuta vuta miguu -mara leo waseme hili kesho lile wakajenga jeuri na viburi kutokana na ushauri wa mataifa ya magharibi notably Merikani, kwa kifupi hawakutaka makubaliano hayo yatekelezwe ili mwisho wa siku Urusi ilazimike kuingia vitani na Ukraine na hicho ndicho Merikani ilikuwa inakitafuta kwa muda mrefu kupata mwanya wa kihujumu Urusi kwa kutumia watu/taifa lingine sio USA moja kwa moja.

Ukisoma kiundani historia ya foreign policy/plan za Merikani za muda mrefu kuhusu taifa la Ukraine ndio utajuwa ni kwa nini Biden na maneocon wenzake wamelivalia njuga suala la Ukraine, wako radhi hata taifa lao likumbwe na mdololo wa kiuchumi watu wakose ajira ili mradi watimize/tekeleze malengo yao ya siri ya muda mrefu/miaka mingi yenye lengo la kuitumia Ukraine kama stepping stone ya kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi kwa kupitia njia ya ku-fund na kutoa silaha kwa Ukraine ili ipigane a proxy war kwa niaba ya Merikani.

Mkitaka kujuwa undani wa mikakati ya muda mrefu ya Merikani kutaka kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi mpaka kuisambaratisha kabisa ili ibaki na vinchi vidogo vidogo ambavyo multinationals ya taifa la Merikani yaje ku-plunder vast natural resources za Urusi - ni hilo tu,lakini hapa watazuga eti wanajali sana Ukraine na raia wake ,demokrasia na human rights -ulaghai mtupu.Mkitaka kujuwa undani wa kwa nini vita ya Ukraine inavaliwa njuga hasa hasa na Merikani, tafuteni kitabu kilicho andikwa na Prof. Zbigniew Brzezinski title ya kitabu ni: "The Grand Chessboard" kinazungumzia masuala ya Eurasia,lakini msikilizeni kwa umakini anazungumzia nini kuhusu taifa la Ukraine.

Watu hawajui tu, lakini ukweli wa mambo vita hii imechochewa na Merikani yenyewe kwa kushirikiana na NATO, hata Papa alizungumzia ukweli huo - Marekani walimshikiza Zelensky hasikubaliane na Urusi kuhusu Minsk accord, huku NATO ikiendeleza mazoezi ya kijeshi mipakani mwa Urusi, kibaya zaidi NATO hawataki kusikiliza concerns za Urusi kuhusu hakikisho la usalama wa Taifa lao kutoka kwa viongozi wa NATO, huku Merikani ikimwambia Zelensky asogeze majeshi yake na silaha kali ili wavamie majimbo ya mashariki mwa Ukraine yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi, vile vile na kuivamia Crimea nia hasa kuwauuwa kwa wingi Waukraine wenye asili ya Urusi, kwa bahati nzuri Warusi walipewa fununu za mpango huo ndio maana Warusi waka wawahi jeshi la Ukraine kwa execute a pre emptive strike, katika operation hii Warusi wako justified kabisa. Watu hawajui tu, lakini kuanzia 2014 mpaka sasa jeshi la Zelensky lilisha wapiga risasi na mabom Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi 14,000 wakapoteza maisha, yaani Zelensky anarudia makosa yale yale kwa kumuiga Hitler's "final solution" operation aliyo wahi kuitumia kuwamaliza wayahudi kwenye gasi chambers wakati wa WW2.

Cha ajabu mauuaji hayo ya Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia hata siku moja USA na media zake zikikemea mauuaji hayo, masaa yote kumsema sema vibaya Putin!!
Jihadist at his best.
 
Ila ww tu ndio ulisikia!
 
Mkuu hizi akili sijui pro russia huwa wanatoa wapi nadhani hata Putin akiwasikia atashangaa.

Wakati hii the so called operation inaanza walivyoanza ku mobilize vikosi walisema wako kwenye mazoezi US akaiambia dunia kwamba russia ana mpango wa kuivamia Ukraine ajabu wakapinga hawana nia hiyo siju kadhaa wanaingiza jeshi ukraine western allies wote walijua ndio basi Putin kashachukua ukraine yote to their suprise wakagundua kumbe ukrainians hawako tayari kuchukuliwa kirahisi na wana morali ya kupambana ndio kama unakumbuka support ilianza kutolewa baadae mpaka watu humi wakawa wanasema US anaogopa kumpa silaha ukraine.

Ajabu mrusi wa sokomatola anasema western ndio walitaka vita. Kama kawaida mambo yameanza kuwa magumu anabebeshwa mzigo US ambae ana support tu wakati walionza kuvamia nchi ni wao.
Kunywa pepsi ya baridi na ushushie muindinwa kuchemsha nitalipa mkuu yaani ume summarise vizuri sana .Putin haieleweki sana na muoga aliogopa nini kusema anajiandaa kuvamia ukraine
 
Sijasema kwamba HIMARS hizifanyi kazi ninacho sema mimi ni kwamba uwezo wa GPS Guided Rockets hizo ni highly exaggerated na Mrusi atazipatia dawa muda si mrefu kuanzia sasa, hilo la kwanza; la pili: HIMARS zimewahi kutumika huko Syria na Wamerikani wenyewe na Waasi waliokuwa wanampinga majeshi ya Assad -sasa swali ni, je, zilishia wapi au zilisaidia nini katika efforts za waasi na Merikani za kutaka kumuondoa Assad madarakani (Regime change) hazikusaidia kitu ndio maana mpaka sasa Assad bado yupo madarakani.

Kitu kingine, HIMARS vile zilitumiwa sana na majeshi ya Marekani huko Afghanistan lakini hazikuleta mabadiriko yoyote kwenye mwenendo mzima wa vita nchini Afghanistani bado ma Mullahs waliwafanya marafiki zako wakatimua mbio kuliko Kip Keino na Ben Gipcho, oh yes, the Talibans scared a living daylights out of them Gringos - strange, don't you think?

Mifano hiyo michache ndio inifanya niamini kwamba contrary na adithi za Abunwasi zilizo jaa kwenye mitandao ya kijamii Dunia nzima HIMARS haziwezi kuwa a game changer kwenye vita hii ya Ukraine,Urusi bado itashinda to, come rain or shine na kikubwa zaidi ataendelea kuteka maeneo mengine ya Ukraine. Zelensky hasikubali kuendelea kudanganywa na Biden, akubali kukaa meza moja na Putin wasitishe vita na watekeleze maazimio ya Minsk - Ukraine hawezi kushindana na Super power washauri wa Uncle SAM wasikupotoshe wao wanashabikia vita hii ili wauze silaha wanatamani hata viendelee zaidi ya miaka kumi ili wapige hela ndefu, hawajali chochote kuhusu Ukraine wala raia wake, sijui kama Zelensky analitambuwa hilo naona yuko busy anapigwa picha akiwa na mkewe kwa ajili ya cover la Vogue Magazine hana habari kwamba nchi yake hipo vitani!!

Matumizi ya HIMARS dhidi ya waasi ni tofauti na zinapotumika dhidi ya jeshi rasmi, sio hadithi tunaongea kuhusu facts, uharibifu ambao zimefanya kwa jeshi la Urusi mpaka Urusi wamezikalia vikao, jikite kwenye kudadavua facts. Yaani mpaka Mrusi apate suluhu dhidi ya HIMARS atakua amecheleweshwa sana, zimefanya uharibifu mkubwa ambao tunashuhudia na hadi sasa zipo zipo tu, ameziwinda kweli kweli.
 
Cha kushangaza haijasaidia kurudisha maeneo yaliyochukuliwa.

Maeneo yasikupe tabu, yatamtokea puani tu tena kwa aibu kubwa sana maana keshachoshwa....https://www.jamiiforums.com/threads/warusi-wafyeka-battalion-yao-kimakosa.2005425/
 
Cha kushangaza haijasaidia kurudisha maeneo yaliyochukuliwa.
Usidanganyike na ukubwa wa eneo; yale maeneo mengi ni mashamba tu ambayo yalichukuliwa kabla ya HIMARS kufika, yatarudishwa kirahisi sana baada ya kuwanyutralize warusi wote huko mijini. Sasa hivi wamekaliwa koo pale Kherson na kule Kharkiv walishafukuzwa. Marekani ilichelewa kuisaida Ukraine silaha hizo ikidhani kuwa Urusi ni jeshi kali litaiangusha Ukraine mara moja na hakukuwa na haja ya kupoteza silaha expensive hizo. Baada ya urusi kuonyesha kuwa ni jeshi la uji tu, ndipo jamaa wakajua kuwa wakiwapa Ukraine silaha hizo zitatumika vizuri. Iwapo Ukraine ingekuwa na Himars mwanzoni mwa vita, urusi ingekiona cha mtema kuni.

Halafu wanajeshi wa urusi wanatia huruma kweli; kuna mmoja aliuwawa akakutwa akiwa ameiba mikufu na chupi za kike nyingi sana, sijui alitaka kumpelekea mke wake huko Urusi kama zawadi. Wanajeshi wengi wa urusi (yaani apiganaji) wanatokea familia maskini za vijijini hasa maeneo ya vijijini ambako hamna opportunities nyingi; ni maofisa tu ndio walio na ahueni.
 
Ni kweli, ndio maana walikuwa wamekubaliana na Russia ku-implement makubaliano yao ya Minsk kwa ajili ya kuleta amani baina ya Mataifa yao, sasa ni kitu gani kilicho kuja kutokea baadae? Serikali ya Zelensky wakawa wanavuta vuta miguu -mara leo waseme hili kesho lile wakajenga jeuri na viburi kutokana na ushauri wa mataifa ya magharibi notably Merikani, kwa kifupi hawakutaka makubaliano hayo yatekelezwe ili mwisho wa siku Urusi ilazimike kuingia vitani na Ukraine na hicho ndicho Merikani ilikuwa inakitafuta kwa muda mrefu kupata mwanya wa kihujumu Urusi kwa kutumia watu/taifa lingine sio USA moja kwa moja.

Ukisoma kiundani historia ya foreign policy/plan za Merikani za muda mrefu kuhusu taifa la Ukraine ndio utajuwa ni kwa nini Biden na maneocon wenzake wamelivalia njuga suala la Ukraine, wako radhi hata taifa lao likumbwe na mdololo wa kiuchumi watu wakose ajira ili mradi watimize/tekeleze malengo yao ya siri ya muda mrefu/miaka mingi yenye lengo la kuitumia Ukraine kama stepping stone ya kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi kwa kupitia njia ya ku-fund na kutoa silaha kwa Ukraine ili ipigane a proxy war kwa niaba ya Merikani.

Mkitaka kujuwa undani wa mikakati ya muda mrefu ya Merikani kutaka kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi mpaka kuisambaratisha kabisa ili ibaki na vinchi vidogo vidogo ambavyo multinationals ya taifa la Merikani yaje ku-plunder vast natural resources za Urusi - ni hilo tu,lakini hapa watazuga eti wanajali sana Ukraine na raia wake ,demokrasia na human rights -ulaghai mtupu.Mkitaka kujuwa undani wa kwa nini vita ya Ukraine inavaliwa njuga hasa hasa na Merikani, tafuteni kitabu kilicho andikwa na Prof. Zbigniew Brzezinski title ya kitabu ni: "The Grand Chessboard" kinazungumzia masuala ya Eurasia,lakini msikilizeni kwa umakini anazungumzia nini kuhusu taifa la Ukraine.

Watu hawajui tu, lakini ukweli wa mambo vita hii imechochewa na Merikani yenyewe kwa kushirikiana na NATO, hata Papa alizungumzia ukweli huo - Marekani walimshikiza Zelensky hasikubaliane na Urusi kuhusu Minsk accord, huku NATO ikiendeleza mazoezi ya kijeshi mipakani mwa Urusi, kibaya zaidi NATO hawataki kusikiliza concerns za Urusi kuhusu hakikisho la usalama wa Taifa lao kutoka kwa viongozi wa NATO, huku Merikani ikimwambia Zelensky asogeze majeshi yake na silaha kali ili wavamie majimbo ya mashariki mwa Ukraine yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi, vile vile na kuivamia Crimea nia hasa kuwauuwa kwa wingi Waukraine wenye asili ya Urusi, kwa bahati nzuri Warusi walipewa fununu za mpango huo ndio maana Warusi waka wawahi jeshi la Ukraine kwa execute a pre emptive strike, katika operation hii Warusi wako justified kabisa. Watu hawajui tu, lakini kuanzia 2014 mpaka sasa jeshi la Zelensky lilisha wapiga risasi na mabom Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi 14,000 wakapoteza maisha, yaani Zelensky anarudia makosa yale yale kwa kumuiga Hitler's "final solution" operation aliyo wahi kuitumia kuwamaliza wayahudi kwenye gasi chambers wakati wa WW2.

Cha ajabu mauuaji hayo ya Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia hata siku moja USA na media zake zikikemea mauuaji hayo, masaa yote kumsema sema vibaya Putin!!
Putin kulazimishwa kuingia vitani na US naye akakubali sawasawa na plan za west, ndo kutokuwa smart kwenyewe......
 
Mkuu naomba nikwambie kwamba nguvu ya Russia aliyokuwa nayo mwezi wa 2 wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli sio hii Sasa.., hivyo itachukua mda sana kupata hiyo dawa ya HIMARS,au huenda isipatikane kabisa,ni siraha gani hambayo urusi hajatumia mpaka Sasa?? Labda nyukria tu!
Wale wale Lockheed Martin walituletea juvelin na Sasa wameleta HIMARS
 
Hadi leo kinachonishangaza inakuwaje Urusi kashindwa zuia silaha zisimfikie Ukraine
Inshort, logistics za usambazaji silaha ndani ya Ukraine unafanywa kwa sehemu kubwa na US, UK, and EU countries special operation forces kwa mashirikiano makubwa na mashirika ya kijasusi ya nchi zao. Kwa Mf. KIEV kwa sehemu kubwa imetawaliwa na CIA pamoja na mashirika mengine ya kijasusi kila mahala kwanzia kwenye mahoteli mpaka sokoni kwa lengo kubwa la kumlinda zelensky na kufanya coordination ya weapons sheapment Ikiwemo kutoa early warning kwa vikosi vya Ukraine Ili kuhamishia baadhi ya assets time to time Ili zisiangamizwe na Russia.
 
Ni suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.

Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.

Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.

Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Warusi wa Tz wanajua siri zote za jeshi la Urusi kulko Putin mwenyewe
 
Vita kua ya muda mrefu imeshakua advantage kwa mrusi...............magharibi huko maisha yanazidi kua magumu.....mzee baba anaua ndege wawili kwa jiwe moja.....ndo maana hana haraka kabisa kuimaliza hii vita kwa sasa labda kama hao ukraine wawe tishio sana kwake .....juzi tu hapo kawapa salamu hapo kiev wakitaka kutunisha misuli zaidi atawafuta hukohuko wanapojificha kufanya maamuzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko pro Russia mnasema tena kuwa Putin ndo anataka vita iwe ya mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini umeongea pumba leo mkuu au so wewe?., ata Russia akija kupata plan ya kuzuia HIMARS za Marekani maelfu mangapi ya askari wake watakuwa wamekufa., unadhan putin ataendelea kutojali askari wake kuuliwa? ndio mana saiv amepoa na kutafuta namna yoyote vita iishe.

America ni wanyama wa dunia ukitoa hizo HIMARS wataleta kubwa yake pia mwache putini akurupuke na silaha zake za kizamani, saiv tunaelezwa anaomba msaada wa silaha kutoka Iran

Hizo HIMARS zipo kumi tu Ukraine
 
Ni kweli, ndio maana walikuwa wamekubaliana na Russia ku-implement makubaliano yao ya Minsk kwa ajili ya kuleta amani baina ya Mataifa yao, sasa ni kitu gani kilicho kuja kutokea baadae? Serikali ya Zelensky wakawa wanavuta vuta miguu -mara leo waseme hili kesho lile wakajenga jeuri na viburi kutokana na ushauri wa mataifa ya magharibi notably Merikani, kwa kifupi hawakutaka makubaliano hayo yatekelezwe ili mwisho wa siku Urusi ilazimike kuingia vitani na Ukraine na hicho ndicho Merikani ilikuwa inakitafuta kwa muda mrefu kupata mwanya wa kihujumu Urusi kwa kutumia watu/taifa lingine sio USA moja kwa moja.

Ukisoma kiundani historia ya foreign policy/plan za Merikani za muda mrefu kuhusu taifa la Ukraine ndio utajuwa ni kwa nini Biden na maneocon wenzake wamelivalia njuga suala la Ukraine, wako radhi hata taifa lao likumbwe na mdololo wa kiuchumi watu wakose ajira ili mradi watimize/tekeleze malengo yao ya siri ya muda mrefu/miaka mingi yenye lengo la kuitumia Ukraine kama stepping stone ya kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi kwa kupitia njia ya ku-fund na kutoa silaha kwa Ukraine ili ipigane a proxy war kwa niaba ya Merikani.

Mkitaka kujuwa undani wa mikakati ya muda mrefu ya Merikani kutaka kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi mpaka kuisambaratisha kabisa ili ibaki na vinchi vidogo vidogo ambavyo multinationals ya taifa la Merikani yaje ku-plunder vast natural resources za Urusi - ni hilo tu,lakini hapa watazuga eti wanajali sana Ukraine na raia wake ,demokrasia na human rights -ulaghai mtupu.Mkitaka kujuwa undani wa kwa nini vita ya Ukraine inavaliwa njuga hasa hasa na Merikani, tafuteni kitabu kilicho andikwa na Prof. Zbigniew Brzezinski title ya kitabu ni: "The Grand Chessboard" kinazungumzia masuala ya Eurasia,lakini msikilizeni kwa umakini anazungumzia nini kuhusu taifa la Ukraine.

Watu hawajui tu, lakini ukweli wa mambo vita hii imechochewa na Merikani yenyewe kwa kushirikiana na NATO, hata Papa alizungumzia ukweli huo - Marekani walimshikiza Zelensky hasikubaliane na Urusi kuhusu Minsk accord, huku NATO ikiendeleza mazoezi ya kijeshi mipakani mwa Urusi, kibaya zaidi NATO hawataki kusikiliza concerns za Urusi kuhusu hakikisho la usalama wa Taifa lao kutoka kwa viongozi wa NATO, huku Merikani ikimwambia Zelensky asogeze majeshi yake na silaha kali ili wavamie majimbo ya mashariki mwa Ukraine yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi, vile vile na kuivamia Crimea nia hasa kuwauuwa kwa wingi Waukraine wenye asili ya Urusi, kwa bahati nzuri Warusi walipewa fununu za mpango huo ndio maana Warusi waka wawahi jeshi la Ukraine kwa execute a pre emptive strike, katika operation hii Warusi wako justified kabisa. Watu hawajui tu, lakini kuanzia 2014 mpaka sasa jeshi la Zelensky lilisha wapiga risasi na mabom Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi 14,000 wakapoteza maisha, yaani Zelensky anarudia makosa yale yale kwa kumuiga Hitler's "final solution" operation aliyo wahi kuitumia kuwamaliza wayahudi kwenye gasi chambers wakati wa WW2.

Cha ajabu mauuaji hayo ya Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia hata siku moja USA na media zake zikikemea mauuaji hayo, masaa yote kumsema sema vibaya Putin!!

Mauwaji yoyote yale ni ukatili, ila ulichoelezea ndo tofauti ya Marekani na Urusi, Urusi anatumia maguvu uku US anatumia akili
 
Back
Top Bottom