Ni kweli, ndio maana walikuwa wamekubaliana na Russia ku-implement makubaliano yao ya Minsk kwa ajili ya kuleta amani baina ya Mataifa yao, sasa ni kitu gani kilicho kuja kutokea baadae? Serikali ya Zelensky wakawa wanavuta vuta miguu -mara leo waseme hili kesho lile wakajenga jeuri na viburi kutokana na ushauri wa mataifa ya magharibi notably Merikani, kwa kifupi hawakutaka makubaliano hayo yatekelezwe ili mwisho wa siku Urusi ilazimike kuingia vitani na Ukraine na hicho ndicho Merikani ilikuwa inakitafuta kwa muda mrefu kupata mwanya wa kihujumu Urusi kwa kutumia watu/taifa lingine sio USA moja kwa moja.
Ukisoma kiundani historia ya foreign policy/plan za Merikani za muda mrefu kuhusu taifa la Ukraine ndio utajuwa ni kwa nini Biden na maneocon wenzake wamelivalia njuga suala la Ukraine, wako radhi hata taifa lao likumbwe na mdololo wa kiuchumi watu wakose ajira ili mradi watimize/tekeleze malengo yao ya siri ya muda mrefu/miaka mingi yenye lengo la kuitumia Ukraine kama stepping stone ya kuihujumu Urusi kiuchumi na kuidhoofisha kijeshi kwa kupitia njia ya ku-fund na kutoa silaha kwa Ukraine ili ipigane a proxy war kwa niaba ya Merikani.
Mkitaka kujuwa undani wa mikakati ya muda mrefu ya Merikani kutaka kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi mpaka kuisambaratisha kabisa ili ibaki na vinchi vidogo vidogo ambavyo multinationals ya taifa la Merikani yaje ku-plunder vast natural resources za Urusi - ni hilo tu,lakini hapa watazuga eti wanajali sana Ukraine na raia wake ,demokrasia na human rights -ulaghai mtupu.Mkitaka kujuwa undani wa kwa nini vita ya Ukraine inavaliwa njuga hasa hasa na Merikani, tafuteni kitabu kilicho andikwa na Prof. Zbigniew Brzezinski title ya kitabu ni: "The Grand Chessboard" kinazungumzia masuala ya Eurasia,lakini msikilizeni kwa umakini anazungumzia nini kuhusu taifa la Ukraine.
Watu hawajui tu, lakini ukweli wa mambo vita hii imechochewa na Merikani yenyewe kwa kushirikiana na NATO, hata Papa alizungumzia ukweli huo - Marekani walimshikiza Zelensky hasikubaliane na Urusi kuhusu Minsk accord, huku NATO ikiendeleza mazoezi ya kijeshi mipakani mwa Urusi, kibaya zaidi NATO hawataki kusikiliza concerns za Urusi kuhusu hakikisho la usalama wa Taifa lao kutoka kwa viongozi wa NATO, huku Merikani ikimwambia Zelensky asogeze majeshi yake na silaha kali ili wavamie majimbo ya mashariki mwa Ukraine yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi, vile vile na kuivamia Crimea nia hasa kuwauuwa kwa wingi Waukraine wenye asili ya Urusi, kwa bahati nzuri Warusi walipewa fununu za mpango huo ndio maana Warusi waka wawahi jeshi la Ukraine kwa execute a pre emptive strike, katika operation hii Warusi wako justified kabisa. Watu hawajui tu, lakini kuanzia 2014 mpaka sasa jeshi la Zelensky lilisha wapiga risasi na mabom Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi 14,000 wakapoteza maisha, yaani Zelensky anarudia makosa yale yale kwa kumuiga Hitler's "final solution" operation aliyo wahi kuitumia kuwamaliza wayahudi kwenye gasi chambers wakati wa WW2.
Cha ajabu mauuaji hayo ya Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia hata siku moja USA na media zake zikikemea mauuaji hayo, masaa yote kumsema sema vibaya Putin!!