Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Jihadist at his best.
 
Ila ww tu ndio ulisikia!
 
Kunywa pepsi ya baridi na ushushie muindinwa kuchemsha nitalipa mkuu yaani ume summarise vizuri sana .Putin haieleweki sana na muoga aliogopa nini kusema anajiandaa kuvamia ukraine
 

Matumizi ya HIMARS dhidi ya waasi ni tofauti na zinapotumika dhidi ya jeshi rasmi, sio hadithi tunaongea kuhusu facts, uharibifu ambao zimefanya kwa jeshi la Urusi mpaka Urusi wamezikalia vikao, jikite kwenye kudadavua facts. Yaani mpaka Mrusi apate suluhu dhidi ya HIMARS atakua amecheleweshwa sana, zimefanya uharibifu mkubwa ambao tunashuhudia na hadi sasa zipo zipo tu, ameziwinda kweli kweli.
 
Cha kushangaza haijasaidia kurudisha maeneo yaliyochukuliwa.

Maeneo yasikupe tabu, yatamtokea puani tu tena kwa aibu kubwa sana maana keshachoshwa....https://www.jamiiforums.com/threads/warusi-wafyeka-battalion-yao-kimakosa.2005425/
 
Cha kushangaza haijasaidia kurudisha maeneo yaliyochukuliwa.
Usidanganyike na ukubwa wa eneo; yale maeneo mengi ni mashamba tu ambayo yalichukuliwa kabla ya HIMARS kufika, yatarudishwa kirahisi sana baada ya kuwanyutralize warusi wote huko mijini. Sasa hivi wamekaliwa koo pale Kherson na kule Kharkiv walishafukuzwa. Marekani ilichelewa kuisaida Ukraine silaha hizo ikidhani kuwa Urusi ni jeshi kali litaiangusha Ukraine mara moja na hakukuwa na haja ya kupoteza silaha expensive hizo. Baada ya urusi kuonyesha kuwa ni jeshi la uji tu, ndipo jamaa wakajua kuwa wakiwapa Ukraine silaha hizo zitatumika vizuri. Iwapo Ukraine ingekuwa na Himars mwanzoni mwa vita, urusi ingekiona cha mtema kuni.

Halafu wanajeshi wa urusi wanatia huruma kweli; kuna mmoja aliuwawa akakutwa akiwa ameiba mikufu na chupi za kike nyingi sana, sijui alitaka kumpelekea mke wake huko Urusi kama zawadi. Wanajeshi wengi wa urusi (yaani apiganaji) wanatokea familia maskini za vijijini hasa maeneo ya vijijini ambako hamna opportunities nyingi; ni maofisa tu ndio walio na ahueni.
 
Putin kulazimishwa kuingia vitani na US naye akakubali sawasawa na plan za west, ndo kutokuwa smart kwenyewe......
 
Wale wale Lockheed Martin walituletea juvelin na Sasa wameleta HIMARS
 
Hadi leo kinachonishangaza inakuwaje Urusi kashindwa zuia silaha zisimfikie Ukraine
Inshort, logistics za usambazaji silaha ndani ya Ukraine unafanywa kwa sehemu kubwa na US, UK, and EU countries special operation forces kwa mashirikiano makubwa na mashirika ya kijasusi ya nchi zao. Kwa Mf. KIEV kwa sehemu kubwa imetawaliwa na CIA pamoja na mashirika mengine ya kijasusi kila mahala kwanzia kwenye mahoteli mpaka sokoni kwa lengo kubwa la kumlinda zelensky na kufanya coordination ya weapons sheapment Ikiwemo kutoa early warning kwa vikosi vya Ukraine Ili kuhamishia baadhi ya assets time to time Ili zisiangamizwe na Russia.
 
Sisi team Urusi bado tunajipongeza
Nalog off  Z
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Warusi wa Tz wanajua siri zote za jeshi la Urusi kulko Putin mwenyewe
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko pro Russia mnasema tena kuwa Putin ndo anataka vita iwe ya mda mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hizo HIMARS zipo kumi tu Ukraine
 

Mauwaji yoyote yale ni ukatili, ila ulichoelezea ndo tofauti ya Marekani na Urusi, Urusi anatumia maguvu uku US anatumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…