Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Silaha ambayo Urusi hawajatumia mpaka sasa kwenye huu uvamizi wao ni nyuklia tu.
Warusi wa buza wanaita OP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?
 
Pia wako na mpango wa kupeleka madude yanaitwa NASAMS.
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
 
una majungu sana.
 
Dunia itashuhudia mengi isiyo yajua kutoka kwa USA USA nimlinzi wa dunia mpaka tz kashaweka vyombo vizito Ila hatujui tatizo la jamaa haonyeshi anasraha gani Kama mrusi mchina mkorea kaskazin hapo ndipo anapo tuchanganya walusi wa tukuyu
 
Mkuu HIMARS ina maroketi ya kuweza kupiga mpaka 300km lakini Biden anahofia kuwapa Ukraine kwakua ana wasiwasi watashambulia ndani ya Urusi na kusababisha Vita kua kubwa hata kugeuka kua nuclear war.
Na hicho ndo Urusi anasubiria ili awe na kielelezo cha kutumia Nukes
 
Ungekua sinza ningekuagizia k-vant kubwa bbwasheee
 
wabongo kwa ujuaji hawajambo, yani wanamwona urusi kama burundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Putin wanamwona kama mseveni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
........
inaonesha ni rahisi sana kuwalisha propaganda wabongo, na wakaziamini......
kingine inaonesha humu JF wengi hawana ufahamu wowote kuhusu mambo ya vita, hasa tabia za mrusi anavyopigana, na tabia za US anavyopigana!
........
........
hawajiulizi tu maendeleo ya vile vikwazo yakoje, nini kinaendelea kwa walioweka vikwazo na aliyewekewa vikwazo...... nani anaumia n.k,

ngoja tuendelee kula propaganda
 
Kuna aina mbili nyingine zinafika mbali, hadi kilomita 500
😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
Nakubaliana na wewe hata yele mapinduzi ya Russia miaka 1910s mojaya sababu ya mapinduzi ni kupigwa na Japan
 
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?
Ishu sio kutumia silaha nzito ishu unapiga wap.Ukraine saiv wapo smart saivi ni mwendo apiga madalaja na maghara ya silaha yaani ana deal na high value target
 
Sio ivo tu zile S400 na S500 Zina shindwaje kutungua hayo madude ?
Mkuu, hizi S400 za Urusi zinalenga hewani si ardhini. HIMARS inarusha roketi zinazolenga shabaha kwenye ardhi. Tena kwa umakini mkubwa. Umakini huo si tabia ya HIMARS yenyewe bali ya roketi zake. Warusi wanakosa tekinolojia hii, inaonekana wana roketi chache zinazoweza kulengwa kwa umakini. Maana wako nyuma katika tekinolojia ya kompyuta. Walitegemea vipuli kutoka Ulaya na Marekani, au vipuli kutoka Asia vilivyopo chini ya hataza na sasa hawawezi kununua tena kwa nji ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…