Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

Silaha ambayo Urusi hawajatumia mpaka sasa kwenye huu uvamizi wao ni nyuklia tu.
Warusi wa buza wanaita OP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?
 
Pia wako na mpango wa kupeleka madude yanaitwa NASAMS.
Naamini pia kuwa kwa sasa USA na UK wako karakana kurefusha reach ya HIMARS ili kadude katue Moscow na kumsalimia Klemlin. Inasemekana Putin sasa anaishi katika makazi maalum yaliyochini ya bahari
 
Nikiikumbuka asikari wa parachute walivyokuwa wanatua kama mvua pale Kyiv na hatimaye wakafyekwa wote [emoji848][emoji848]..,alafu anatokea mtu anakwambia kuwa urusi hakuwa na lengo la kuiteka Kyiv Wala kuipindua serikali ya zelensiky [emoji848]..,bila aibu mtu anakwambia kuwa urusi aliondoka pale Kyiv kwa makubaliano maalum [emoji848]..,nawaangalia nasema hiiiiiii! Baghosha..,all in All urusi anavuna alichopanda, operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya mda mrefu [emoji848]
una majungu sana.
 
Dunia itashuhudia mengi isiyo yajua kutoka kwa USA USA nimlinzi wa dunia mpaka tz kashaweka vyombo vizito Ila hatujui tatizo la jamaa haonyeshi anasraha gani Kama mrusi mchina mkorea kaskazin hapo ndipo anapo tuchanganya walusi wa tukuyu
 
Mkuu HIMARS ina maroketi ya kuweza kupiga mpaka 300km lakini Biden anahofia kuwapa Ukraine kwakua ana wasiwasi watashambulia ndani ya Urusi na kusababisha Vita kua kubwa hata kugeuka kua nuclear war.
Na hicho ndo Urusi anasubiria ili awe na kielelezo cha kutumia Nukes
 
Nikiikumbuka asikari wa parachute walivyokuwa wanatua kama mvua pale Kyiv na hatimaye wakafyekwa wote [emoji848][emoji848]..,alafu anatokea mtu anakwambia kuwa urusi hakuwa na lengo la kuiteka Kyiv Wala kuipindua serikali ya zelensiky [emoji848]..,bila aibu mtu anakwambia kuwa urusi aliondoka pale Kyiv kwa makubaliano maalum [emoji848]..,nawaangalia nasema hiiiiiii! Baghosha..,all in All urusi anavuna alichopanda, operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya mda mrefu [emoji848]
Ungekua sinza ningekuagizia k-vant kubwa bbwasheee
 
wabongo kwa ujuaji hawajambo, yani wanamwona urusi kama burundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Putin wanamwona kama mseveni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
........
inaonesha ni rahisi sana kuwalisha propaganda wabongo, na wakaziamini......
kingine inaonesha humu JF wengi hawana ufahamu wowote kuhusu mambo ya vita, hasa tabia za mrusi anavyopigana, na tabia za US anavyopigana!
........
........
hawajiulizi tu maendeleo ya vile vikwazo yakoje, nini kinaendelea kwa walioweka vikwazo na aliyewekewa vikwazo...... nani anaumia n.k,

ngoja tuendelee kula propaganda
 
Kinachomtafuna sasa hivi ni raia wake, akithubutu kukubali kushindwa anaweza hata akauawa, Warusi ni watu wenye kiburi sana kwa nchi yao, wenyewe wanaita "mother Russia", bora hata wafe njaa lakini heshima ya taifa lao idumu. Mpaka hapo amewasababishia aibu kubwa sana maana huwa wana dharau nyingi kwa Ukraine na inawauma sana namna hako kataifa kamewatunishia misuli, ingia kwenye forum zao uone wanavyojadili kwa hasira.
Nakubaliana na wewe hata yele mapinduzi ya Russia miaka 1910s mojaya sababu ya mapinduzi ni kupigwa na Japan
 
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?
Ishu sio kutumia silaha nzito ishu unapiga wap.Ukraine saiv wapo smart saivi ni mwendo apiga madalaja na maghara ya silaha yaani ana deal na high value target
 
Sio ivo tu zile S400 na S500 Zina shindwaje kutungua hayo madude ?
Mkuu, hizi S400 za Urusi zinalenga hewani si ardhini. HIMARS inarusha roketi zinazolenga shabaha kwenye ardhi. Tena kwa umakini mkubwa. Umakini huo si tabia ya HIMARS yenyewe bali ya roketi zake. Warusi wanakosa tekinolojia hii, inaonekana wana roketi chache zinazoweza kulengwa kwa umakini. Maana wako nyuma katika tekinolojia ya kompyuta. Walitegemea vipuli kutoka Ulaya na Marekani, au vipuli kutoka Asia vilivyopo chini ya hataza na sasa hawawezi kununua tena kwa nji ya kawaida.
 
Back
Top Bottom