Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

Urusi bila Nuclear ni wepesi kama walivyo CCM bila nguvu za polisi,JWTZ na bila figisu za deepState . Russia imebaki with only one alternative;using of nukes.Kwingine kote kadhibitiwa🤔
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 

Nadhani Habari yako si kweli kwasababu Russia sasa kashusha mzigo S 500 ambayo ni new technology hawezi kujiangaisha na S 300 ambayo ni technology ya zamani.

 
Kuna watu wapumbavu sana, yani Kwa akili za kawaida tu wanashindwa kuelewa kama siyo kichaa cha Putin Leo ugumu wa maisha usingekuwa hivi, alafu jitu na akili zake linamshabikia Putin, sijawahi kuona watu wa hovyo kama hawa.
Bila vikwazo vya west kwa urusi maisha yangekuwa kawaida
 
Urusi bila Nuclear ni wepesi kama walivyo CCM bila nguvu za polisi,JWTZ na bila figisu za deepState . Russia imebaki with only one alternative;using of nukes.Kwingine kote kadhibitiwa[emoji848]
Kadhibitiwa na bado anashikilia ardhi ya Ukraine!!!! Vichwa mnatumia kufugia nywele tu!!!???
 
Putin: oyaaa ile mizigo niliyokupa inabidi unirudishie
Assad: why bro? Mbona nazitumia kulinda anga langu...si ulinipa kama zawadi?
Putin: I know but nazitaka
Assad: kwan tatizo nini kaka
Putin: we ms*nge nini? Nmekwambia nazitaka na staki maswali
😂😂😂🤣 Nyie ndiyo mnafanya watu wapigane wakati hawakuwa na nia ya kupigana🤣🤣
 
Kichapo Syria kinaendelea 🤔
In Syria, New Planet Labs satellite images (August 27) provided by AuroraIntel show heavy damage to numerous structures at the Scientific Studies and Research Center near Masyaf Syria, following an airstrike attributed to Israel on Thursday.

Israel isn't taking credit 🤣

This has been widely reported on various news sources already
 
Kadhibitiwa na bado anashikilia ardhi ya Ukraine!!!! Vichwa mnatumia kufugia nywele tu!!!???
Super power alipanga kuingia Kyiv baada ya siku 2 na viongozi waandamizi walishapanga kugawana majengo/assets.Leo ni mwezi wa sita hatujui ule msafara wa vifaru wa kilomita zaidi ya 60 uliokuwa ukienda Kyiv ulitokomea wapi?.Raisi Zelensky bado ni raisi halali wa Ukraine 🤔
 
Waulize BBC kuwa msafara ulishia wapi maana wao ndo walitoa taarifa ya kuwepo msafara
 
Hizi si ndio kwanza wanazitengeneza? Ni wapi alipofunga hizi S 500?
 

Israel is taking chances after rusia redeployed her machuma chuma..
 
Kupigana wapigane wengine na kwengine kabisa nyie mlalamike njaa
Hii SMO imekuja mahsusi ili mjitambue mkishindwa kujitambua hapa musahau kama mutakuja kujitambua tena
Yaani hao wanaopigana hawaliilii njaa kama ninyi
Wenzenu wanapigana kwamaslahi yao nyie kelele na laana zenu hazitasaidia kitu wala hazitaleta matokeo yeyote
Mnalaumu wanaowaongoza kwakutokujua ama kutojitambua
Laana zenu hazitaifikia RUSSIA wala tunaoisapoti hizo ama hayo maneno yamfa maji tuuuu
Mwisho:-tunaunga mkono SMO ya RUSSIA kwanguvu zote na Mungu asimame nao wazidi kufanikisha malengo yao haraka iwezekano eeeh Muumba wasaidie RUSSIA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…