Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

HIMARS NI BALAA NA NUSU KUITOA S300 SYRIA KUILETA UKRAINE MAANA YAKE NINI ?....MAANA YAKE HIZO S300 ZILIZOKUWA UKRAINE ZILISHALIPULIWA SIKU NYINGI NA HIMARS[emoji23][emoji23]....HII VITA MRUSI KAJITIA AIBU SANA....MRUSI KAINGIA VITANI NA UKRAINE ANAJIHARISHIA NAMNA HIYO VIPI ANGEINGIA VITANI NA NCHI KAMA USA[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje warusi wa namtumbo
 
UKRAINE iyo mikoa nane ikiendelea kuwa kwenye nchi yake pasipo kuomba poo kwa WARUSI njooni mnikate kichwa.

*CRIMEA- [emoji818]
*KHERSON- [emoji818]
*LUHANSK-[emoji818]
*ZAPORIZHIA (Bado 5%)
*DONERSK (Bado 25%)
*KHARKIV (Bado 50%)
*MYKOLAYIV (Bado 60%)
*ODESSA (100%)

images%20(59).jpeg
 
View attachment 2337061
Utakuwa wapi? Tuje na kina Azovu
 
Putin: oyaaa ile mizigo niliyokupa inabidi unirudishie
Assad: why bro? Mbona nazitumia kulinda anga langu...si ulinipa kama zawadi?
Putin: I know but nazitaka
Assad: kwan tatizo nini kaka
Putin: we ms*nge nini? Nmekwambia nazitaka na staki maswali
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2]
 
Putin: oyaaa ile mizigo niliyokupa inabidi unirudishie
Assad: why bro? Mbona nazitumia kulinda anga langu...si ulinipa kama zawadi?
Putin: I know but nazitaka
Assad: kwan tatizo nini kaka
Putin: we ms*nge nini? Nmekwambia nazitaka na staki maswali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku nawakumbusheni VietNam na Afghanistan lakini mnajifanya kusahau/puuzia, masaa yote mnaikandia Urusi as if iliwahi kumiliki makoloni Barani Afrika au kumiliki black slaves unlike the US and European Nations, Warusi walisaidia sana mataifa mengi ya Africa kujikomboa dhidi ya utawala wa ukoloni hilo wala hamlikumbuki.
Ila Urusi si alipigwa na Afghanistan lkn,
Baba US akaenda kumuonesha kaz inavyofanywa na wanajesh wachache, adi akaondoka ndo tariban wakapata hauwen
 
Usichokijua ni kuwa kwenye base za za russia nchini syria kuna S400 na kama unavyoijua iyo air defence inadaka adi mchele sasa iyo s300 tumeitoa apo syria kwakuwa tayari mission completed hakuna tena tishio la kutolewa assad madarakani
Kama inadaka mchele mbona imeshindwa kudaka vitu vikubwa vya HIMARS
 
Tunachokumbuka baada ya janga la Corona kabla hatujajiweka sawa Urusi imeamuwa kutuuwa kabisa na kuleta maisha magumu na mfumuko wa bei.

Amelaaniwa MTU yeyote aneyeisapoti Urusi iliyotuletea maisha magumu wakati hata madhara ya Corona hayajaisha.

Akili za baadhi ya Watanzania zipo matakoni, mnamlaumu Samia halafu mnamshabikia Putin ambaye ndio source ya matatizo yaliyopo Sasa, pumbavu kabisa.
Be blessed,
Watu hawataki kuona namna Russia ilivyoleta ugumu ugumu wa Maisha?
 
Ni akili hauna au? Ukraine Hana uwezo wake kupigana na Russia ..inamaana huoni misaada ya wazi wazi anayopewa
Yes kupewa misaada ni jambo la kawaida ajabu ni kua uyo thupapawa wa mchongo alisema yeyote atakae shirikiana na ukraine ata mfutilia mbali ila ndo kila siku wanaume wanapeleka vifurushi hapo ukraine na kingine kipo njiani iko ni baba lao andunje put in lazima auchezee mshededeeee [emoji91][emoji91][emoji952][emoji952]
 
Kila siku nawakumbusheni VietNam na Afghanistan lakini mnajifanya kusahau/puuzia, masaa yote mnaikandia Urusi as if iliwahi kumiliki makoloni Barani Afrika au kumiliki black slaves unlike the US and European Nations, Warusi walisaidia sana mataifa mengi ya Africa kujikomboa dhidi ya utawala wa ukoloni hilo wala hamlikumbuki.
Wewe unaekumbuka inatosha watu wanayasasahivi kwanza.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku nawakumbusheni VietNam na Afghanistan lakini mnajifanya kusahau/puuzia, masaa yote mnaikandia Urusi as if iliwahi kumiliki makoloni Barani Afrika au kumiliki black slaves unlike the US and European Nations, Warusi walisaidia sana mataifa mengi ya Africa kujikomboa dhidi ya utawala wa ukoloni hilo wala hamlikumbuki.
kama ni misaad western inatoa mingi sana kuliko urusi, kwenye budget support kila mwaka western countries zinasaidia Africa na nchi zingine za dunia, budget ya afya ya Tz kwa zaidi ya 60% inafadhiliwa na wahisani halaf urusi wakati wa vita ya idd amin na Tz si ilikuwa ikimsupport idd amin?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom