Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

Sas Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKE
 
Attachments

  • images-1.jpeg
    23.4 KB · Views: 1
Umewahi sikia kuna Taifa limewahi tupa hata unyoya ndani ya ardhi ya USA?.

Hicho kinachofanywa na Russia kinaitwa mikwala mbuzi.

Hoja ya msingi;
Tafuteni amani ya wenzetu weusi wa Sudan, Somalia, Dr Congo, Central Africa na kwingine kwenye shida ndani ya Africa maana hao ndio ndugu zetu, hao "red nose" mnaohangaika nao wala hawawatambui kama nyie ni binadamu kamili.
 
Uliishi Cuba kwa wiki ngapi au miaka mingapi mkuu?
 
Sas
Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani Hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKE
Unajua mgunduzi wa NUKE ni nani hapa duniani?, unafahamu nani amewahi itumia hiyo NUKE kwenye vita?.

Tutafute amani na uhuru wa watu wetu wa Afrika kwanza.
Ndugu zetu huko Mozambique wanachinjwa kama kuku halafu dua na sala eti zinaelekezwa kwa wakoloni badala ya ndugu zetu halisia.

Huu ni ujuha tulio nao WaAfrica ambao tumekumbatia utumwa wa wakoloni wa Ulaya na Asia
 
Kwani umewahi sikia kuna taifa li.ewahi tupa hata unyoya Urusi? Ukiacha matendo machache ya kigaidi yanayoendelea saivi.
Wewe unahisi Urusi anampiga mkwara Marekani,Marekani mwenyewe anajitetea.
Ila bongo.
 
Sas
Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKE
UNAOTA SHEIKH NENDA KAKOJOE ULALE
 
Amani inatafutwa jamii forum? Sisi kazi yetu ni kuripoti na kushabikia.
Hakuna kitu kinabadilishwa duniani kupitia jamii forum.
 
Acha Acha kukariri move za hollwood US amefinywa kende na Wataliban kwa miaka 20 mpaka akakimbia Afghanistan chupi mkononi hiyo US imekimbia Yemeni na meli zake za bidhaa zinazamishwa kila siku inachimbwa mkwara Iran + Korea sasa ataiweza Russia kwenye War machine
 
Kama yamepelekwa, sioni yakitumiwa. Watayahifadhi tu.
Russia alibugi kuivamia Ukraine.
 
Kama yamepelekwa, sioni yakitumiwa. Watayahifadhi tu.
Russia alibugi kuivamia Ukraine.
Haya mambo yanakwenda kimkakati Buda unajua Biden anajiandaa na uchaguzi na pia huu mkakati wa kumkwamisha Biden na sera zake akose kura..kumbuka raia wengi wa US wanaogopa sana vita sasa wamefikishiwa ujumbe Cuba Crisis kwa mara nyingine toka mwaka 1962 kutokana na sera mbovu za Rais wao mwenye mrengo wa kishoga
 
Kama yamepelekwa, sioni yakitumiwa. Watayahifadhi tu.
Russia alibugi kuivamia Ukraine
Kwani umewahi sikia kuna taifa li.ewahi tupa hata unyoya Urusi? Ukiacha matendo machache ya kigaidi yanayoendelea saivi.
Wewe unahisi Urusi anampiga mkwara Marekani,Marekani mwenyewe anajitetea.
Ila bongo.
Japan
Sioni cha ziada zaidi ya kuirjesha Cuba kwenye vikwazo vilivyoondolewa na Obama.
 
Kwani umewahi sikia kuna taifa li.ewahi tupa hata unyoya Urusi? Ukiacha matendo machache ya kigaidi yanayoendelea saivi.
Wewe unahisi Urusi anampiga mkwara Marekani,Marekani mwenyewe anajitetea.
Ila bongo.
Kuna vita nyingi zimepigwa hapo kwake.
Ngoja nikutajie chache.

Vita Russia na Japani,
Vita vya Uhuru vya Kilatvia, Vita vya Uhuru vya Estonia, Vita vya Kilithuania-Soviet, Vita vya Kijojiajia-Ossetian, Vita vya Russia na Poland, Vita vya Soviet-Afghanistan, Vita vya Kwanza vya Chechen, Vita na Ujerumani mwaka 1941 n.k

Vita zote hizo ziliachia mabomu, risasi n.k ndani ya ardhi ya Urusi.
 
Pearl Harbor ilifanywa nini na Japan + September 11 WTO
 
USA na watu wake toka mwaka 1776 walipopata uhuru, ni miaka 14 pekee hawajawa vitani.

Kwa hiyo kusema eti raia wanaogopa vita haiwezekani hususani ukizingatia mfumo wa Taifa na sera za USA zimejengwa kwenye misingi ya umwagaji damu
 
Mahaba yanaleta upofu
 
USA kakaa miaka 20,bila bughudha akatekeleza kilichompeleka (kumuua Osama bin laden),kawapa mafunzo wanajeshi wa Afghanistan ili wajitegemee akiondoka,ndio kaondoka.Wewe ndio unasema kakimbia,loo jamani akili hizi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…