Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

Wamejua chanzo cha tatizo ni nini! Hawaangaiki Tena kushughulika na Matawi, wanakwenda kung'oa shina na mizizi ya chanzo cha tatizo. Upo?
Hakuna nchi inaweza mng'oa USA kwa sasa, labda vizazi vijavyo
 
Hii vita ni Rohoni, sababu kubwa ni mambo ya LGBTQ, Mungu hawezi vumilia ujinga wao. Wakicheza watapigwa kweli. Africa ndio risasi ya mwisho
Huo ni mtazamo wako tu, kuna maovu mengi sana hapa Duniani kuzidi hata hao LGBTQ.
Fikiria damu isiyo na hatia inayomwagika kila siku.
 
Siku Putin akifa nini kitatokea?Vita hii inaendelea?Nani atachukua madaraka?
 
Siku Putin akifa nini kitatokea?Vita hii inaendelea?Nani atachukua madaraka?
Nchi hizi kubwa sio kama Tanzania kwamba kila Rais anakuja na maono yake.hizi nchi zinamaono mpaka ya miaka 100 huko.
 
 
Umenikumbusha ile ziara ya Nancy Pelos huko ROC (Taiwan). China alibaki kupiga maji na samaki mabomu Kwa siku tatu, nothing more.
 
Reactions: K11
Umenikumbusha ile ziara ya Nancy Pelos huko ROC (Taiwan). China alibaki kupiga maji na samaki mabomu Kwa siku tatu, nothing more.
Katika kitu Marekani hesabu hakuzichanga vizuri ni lile tukio.Macho madogo wanacheza na Marekani Kwa akili sana kwenye tech na Uchumi ndio maana Waziri wa mambo ya nje anaenyeka na safari za Beijing.Yaani jamaa akukamate ugoni na mkewe akuambie nenda zako.Mkuu watch out.
 
Russia kutuma hizo vitu Cuba katika miaka hii si jambo zito kama uliyokuwa back then....
  • Silaha zilizo Russia zaweza piga Kokote on earth,teknolojia imeendelea.
  • America ina share border na nchi tatu tu.Canada,Mexico and Russia.
  • Russia ina share border na nchi zaidi....tena za NATO.
 
Alisikika mshindia mihogo mmoja
 
Sio jambo jepesi USA kukuondolea vikwazo ata ukimlamba viatu Wacha Cuba waendelee kupambana
 
Reactions: K11
  1. Hakuna nchi yenye ujinga wa kuipa nchi yoyote ya South America Nuclear warheads......Most ni Maskini zimejaa madawa ya Kulevya tu.
  2. Chile,Guyana and Argentina ni American friends....West Indies countries zinaitegemea America for survival.
  3. Umesema North Korea and Far East ,nchi ipi ya far East ni adui wa US......mana ni kuna Japan,Taiwan,South Korea....au ni kuongeza chumvi....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…