Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Ww unajielewa? Russia ni mbwa koko hapa duniani na yeye amebanwa tu anatafuta huruma ya mbwa koko wenzake but USA is another level bro!
Mbwa koko wenu ameshindwa kuondoa dollar kwenye ramani/biashara duniani ataweza kuhamisha UN?
dada usiku umeingia chukua kopo la mkojo weka ndani kojoa alafu panda kitandani ulale...sawa
 
nchi yoyote ambayo ipo tayar kuchangia 60% ya bajeti ya UN. anakaribishwa kutuma maombi ahamishiwe nchini kwake.

kama mnaona rahisi kuchangia kiasi hiko. nmekaa pale.
 
nchi yoyote ambayo ipo tayar kuchangia 60% ya bajeti ya UN. anakaribishwa kutuma maombi ahamishiwe nchini kwake.

kama mnaona rahisi kuchangia kiasi hiko. nmekaa pale.
Wote hao ni apeche alolo hiyo jeuri ya kuchangia wanayo basi.UN HQ itabaki NY daima dumu
 
Ndo maana UN wanashindwa kua fair dhidi ya udhalimu wa USA kwa wapinzani wake

Kumbe maamuz yanaamuliwa sebleni TU pale new York[emoji848]
 
Hahaha..
Wanapeleka mashushushu kama journalists wanataka waruhusiwe?!!!

Halafu yaweza kuwa kisasi maana Russia bado wanamshikilia mwandishi wa US kwa shutuma za kumbambikizia...

"Russian officials are upset that United States visas haven't been issued to Russian reporters amid ongoing efforts by the U.S. to push for the release of Evan Gershkovich, a journalist with The Wall Street Journal who was detained by Russia's Federal Security Service (FSB) at the end of March over espionage allegations..."
Naona hauna uelewa wowote wa sheria zinazowalinda wanaoenda huko UN hata puttin akiamua kwenda UN usa hatakiwi kumzuia hata hao waandishi wa habari km wapo sehemu ya msafara wa waziri wa mambo ya nje hawapaswi kuzuiwa haijalishi wanaoingia una uhasama nao kiasi gn inimladi wanakuja kwa issue za un ugomvi wako na wao weka pembeni
 
..catch ni money 💰 🤑 💸!,USA inachangia almost 35%ya kuendesha hii UN!,itahamishiwa nchi gani itakayokua na uwezo to bankrolls UN?,tujiulize Tanzania tunadaiwa kiasi gani cha michango yetu kule SADC, AU, na UN, then tujadili hoja hii kisayansi
China
 
Yupo sahihi ila kuhamisha makao makuu haitomkomoa Marekani. World Health Organisation makao makuu ni Geneva ila mchangiaji na mwenye maamuzi makubwa ni Marekani, World Trade Organization nayo HQ ni Geneva ila dunia inatumia $ kama reserve na transactions nyingi zinafanyika kwa hiyo sarafu, Food and Agriculture Organization ina HQ Rome, Italy ila sijawahi sikia hata siku moja Italy wanakaririwa wakiongea lolote kuhusu chakula duniani. Wala hutowaona wanachangia au kujihusisha na chakula, wala sio wazalishaji wakubwa.
Uwe na Akili WTO ipo Geneva? Kwaio Twin Towers ni branch?
 
Aingie kwa kigezo kipi ?
na nikwambie tu hawataweza kuingia kamwe direct ila ingekuwa nchi kama za kwetu tayari tungesha bondwa na mabomu lakini safari hii wamekutana na hili goma hapa chini [emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji116][emoji116][emoji1690]
View attachment 2601222View attachment 2601221
JamiiForums-1968381145.jpg
 
View attachment 2599432

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.

Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: "Itakuwa vyema sana ikiwa Umoja wa Mataifa utahamisha makao yake makuu kutoka New York na kuupeleka mahali pengine popote".

Kuhusiana na suala hilo, Dmitry Peskov, msemaji wa Ikulu ya Kremlin, amesema wazo la kubadilisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine linaweza kutathminiwa.

Akizungumzia tatizo la utoaji viza linalosababishwa na Marekani kwa jumbe za kidiplomasia na timu za vyombo vya habari vya nchi mbalimbali, msemaji huyo wa Kremlin amesema: Russia haiko peke yake katika tatizo la utoaji wa viza unaokwamishwa na Marekani ikiwa ni mwenyeji katika Umoja wa Mataifa.

Kuhusu hatua ya kutowapatia viza waandishi wa habari wa Russia wanaokusudia kwenda kufanya kazi katika Umoja wa Mataifa, Peskov amesisitiza kwa kusema: "hili ni suala linalohitaji majadiliano mazito na nchi ambazo, nazo pia zinalalamikia vikali suala hili".

Kabla ya hapo, waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov aliielezea kuwa ni ujinga hatua ya Marekani ya kukataa kutoa viza kwa waandishi wa habari wa Russia.
Huyu Lavrov baada ya kunyimwa visa kuingia US sasa anaona siku za mbele hatakanyaga tena US ndio hofu yake sasa si walisema wao Urusi ni superpower? waanzishe basi umoja wao wa mataifa waeke makao makuu yao kule kwa Museven Uganda ama India
 
Back
Top Bottom