Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

Utake usitake utachanjwa tu.
Kunaoona daktari mmoja nilikua naongea nae juzi alikua ananiambia side effects ambazo hazitajiwi ni hormones changes na nguvu za kiume. Ndio maana sasa hivi wananchange narrative nakurecomend hiyo astra-zeneca kwa watu was miaka 60 na zaidi tu. Maana huezi jua kama nguvu zako zimeisha au la katika miaka hiyo

Isitoshe nina familia Kenya. Tumeshapoteza jamaa wawili baada ya chanjo. Na bibi yangu mmoja kaumwa sana baada baada ya kupata chanjo, ingawa sahivi anaendelea vizuri kidogo

Tuweni waangalifu sana na hizi chanjo. Tusikurupuke tu jamani.
 
Acha Propaganda Raisi Samia Suluhu kashaongea na mpango wa Covax tudungwe tena kwa haraka
 

Mfuko wa mtalii wa Zanzibar uathirike then mamlaka ya utalii Tanzania bara ibaki bila doa, hata la kusingiziwa???

Too funny!!! Almost unbelievable!!
 
Na zanzibar ndio wanaenda kuathirika na huu uamuzi. Warusi ndio wamesapoti sana utalii wa znz kipindi hiki cha corona..walijaa sana pale unguja

Binafsi naomba location ya waitaliano na wafaransa katika nyakati hizi pia.....na sio mbaya hata wale wakazi wa scandinavistiek, sio mbaya ikawekwa hapa!
 
Unabishana na uyo sukuma gang Numbisa
 
Rais mpya bado anaendeleza sera za kukataa chanjo na barakoa?
 
Naivety? So there's no countries that require a yellow fever vaccination before you visit them?

And people really do undergo such ‘operations’?!

Unless you truly mean hujui “yellow fever cards”zinapatikanaje hapa Tz.

Otherwise, wamesema “kazi ziendelee!”
 
Mkuu umechambua vizuri naona kama umesomea utalii
Big up
 
Acha Propaganda Raisi Samia Suluhu kashaongea na mpango wa Covax tudungwe tena kwa haraka
Hakuna kitu kama hicho. Wewe ndio Acha propaganda. Kujaribu kuaminisha watu kwamba eti tutakubali.

Mama yuko vizuri sana. Hawezi kutuuza kirahisi. Hiyo chanjo yenyewe tunakubali tu kwa sababu hatutaki kutengwa sio sababu tunaumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…