Pigo kubwa kwa Zanzibar, watalii kutoka urusi ndio wamebeba sekta ya utalii kipindi kigumu cha covid.
Kusema kweli mimi sijaiona ndege ya urusi ikija tanzania,
Nimeuliza swali. Huna jibu. Sema hujui. Waache wanaoweza kujibu wajibu.Msimamo wake utatokana na kamati iliyoundwa, hilo unajua, sasa sijui unauliza nini.Rais Samia hajawahi kubeza wanaovaa Mask, sasa sijui Tz ina marais wangapi kwa sasa.
COVAX wanapata funding kutoka phulanthropic sources.Kama kungekuwa kuna chanjo za bure basi wangepewa Kenya jinsi wanavuojua kijipendekeza kwa wazungu Lakini badala yake Kenya chanjo wamenunua
sasa wao wakishachanjwa sie tutawaathiri vipi?hiyo ni biashara tuTanzania chanjo haliepukiki.
Vinginevyo tutatwngwa na Dunia nzima.
Sawa, kavae mask sasaNimeuliza swali. Huna jibu. Sema hujui. Waache wanaoweza kujibu wajibu.
Zaidi ya hapo ni speculation.
Hiyo kamati iliyoundwa hawezi kui overrule?
Pigo kubwa kwa Zanzibar, watalii kutoka urusi ndio wamebeba sekta ya utalii kipindi kigumu cha covid.
Mimi nipo nyumbani, nafanya kazi kutoka nyumbani, sihitaji kuvaa mask mpaka on that rare weekend I decide to go out.Sawa, kavae mask sasa
Ila Tanzania ikinunua ndege inakuwa nongwaView attachment 1751711
View attachment 1751713
Kabla ya corona Zanzibar zilkua zinakuja hizo mbili kila weekend zinabeba na kurudsha wa Russia [emoji635] View attachment 1751714
Saiv inakuja hiyo tu
Bado unavaa barakoa hata baada ya kupata chanjo?Mimi nipo nyumbani, nafanya kazi kutoka nyumbani, sihitaji kuvaa mask mpaka on that rare weekend I decide to go out.
Ila Tanzania ikinunua ndege inakuwa nongwa
Masikiniiiii, daaaah, ndio ukomo wa akili zako hapo...? Niambie, wa- Ethiopia (Ethiopian airlines) ,wanatalii nchi gani kwa wingi?Hao ni utamaduni wao kutalii sehem mbali mbali dunian na ndege ndio usafiri wao na wana pesa zao mfano hizo ndege zao ni warusi ndio walokua wanaenda Zanzibar ila sisi watanzania tunaenda wapi[emoji16] ushawah ona ndege yyte inatoka Tanzania imebeba raia wa Tanzania tu kwenda Europe kutalii Labda wanaokwenda hijja Saudi Arabia na Jerusalem
Nikiwa nje navaa.Bado unavaa barakoa hata baada ya kupata chanjo?
Kwa hiyo kwa maisha yako yote yaliyobakia hapa duniani, ukitoka nje ya nyumba yako utakuwa unavaa barakoa?Nikiwa nje navaa.
Unaweza kusikia kesho kwamba kuna variant mpya ya Undengereko wasikotaka chanjo wala kupima imeingia miezi kadhaa iliyopita, haisikii chanjo yoyote.
Ukivaa barakoa unajikinga kwa layer nyingine.
Ni sawa na kujilinda kwa kufunga mlango na madirisha.
Huwezi kusema niko sehemu yenye wezi wengi, nifunge mlango tu, madirisha niache wazi, kwa sababu nishafunga mlango.
Watakuibia kwa kupitia kwenye madirisha.
Security in layers.
Unaweka firewall, halafu unaweka password, halafu unaweka multi-factor authentication, halafu hardware encryption, halafu una install updates, halafu unabadilisha passwords, halafu unakuwa na backups...
Ukifunga geti hiyo si sababu ya kuacha mlango wa mbele wazi.
Hapana, hii ni kwa muda huu wa pandemic tu, likipita tutavua barakoa.Kwa hiyo kwa maisha yako yote yaliyobakia hapa duniani, ukitoka nje ya nyumba yako utakuwa unavaa barakoa?
But the virus is here to stay. It ain’t going anywhere.Hapana, hii ni kwa muda huu wa pandemic tu, likipita tutavua barakoa.
Mbona hata kwenye Spanish Influenza ya mwaka 1918 watu walivaa sana barakoa, ikapita, wakaacha kuvaa barakoa?
Protective measures must be consummated with the relevant risk.
Otherwise utaacha kupumua kwa kuogopa kuingiza virusi ndani ya mwili wako, halafu ukafa kwa kukosa hewa!
Niliasa kwa kusema "Protective measures must be consummated with the relevant risk."But the virus is here to stay. It ain’t going anywhere.
And since it’s a virus, it will always mutate.
Na hata wakitangaza kwamba sasa pandemic imeisha [sijui hata ni akina nani...WHO?], hiyo haina maana kirusi nacho ndo kimekufa na kuzikwa.
Hivyo, hata ikitangazwa kwamba pandemic imeisha, hiyo haina maana huwezi kukipata hicho kirusi. Na ukikipata, huwezi jua, kinaweza kuwa ni variant ya Nagorno Karabakh huko na chanjo zako zinaweza zisifue dafu.
Sioni haja ya kuvaa barakoa na kujifungia ndani na kuishi kwa woga wakati tayari nishachanjwa.
Lengo la kuchanjwa ni ili tuweze kurudi kwenye maisha ya kawaida. Siyo kuwa kwenye lockdown mode milele.
But, to each his own. Wanaotaka kuvaa barakoa milele, rukhsa.
Heck, kuna watu hadi wanalala nazo usiku zikiwa zimeziba pua na midomo yao.
Uchumi wa zenji na Saudi Ni mbingu na ardhi, wale wa kuhiji Ni lazma ila zenji Ni recreation.Watu aina yako ni hasara kwa taifa. Mnatishia wazenji wazenji mbona omani na kule kwenye kuhiji wametoa yao hatujaona kelele za wazenji walalamika kufa njaa