Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Au wao wenyewe ndani ya Ukraine wangelianzisha dhidi ya Serikali yao.
 
Watoto wa shule hakuna kitu wanajua zaidi ya kufuatilia BBC/Swahili.com wanapolishwa matangopori
 
Ina maana direct provocation anataka ifanywe mara ngapi..,wakati Leo hii majeshi ya Ukraine yanazidi ku-advance kwenye hayo maeneo hambayo yameshapiga kura[emoji848]
Mkuu; we humjui Mrussi? Ni mtu wa vurugu, ni mtu wa kufitinisha jamii, ni mtu mpenda migogoro na ni mtu anayependa kuonesha Ubabe na majigambo.
Hiyo kura "Referendum" ameilazimisha kwa mashinikizo mengi iwe sasa wakati Jamii haipo kwenye Utulivu na Uhuru wa mawazo kutokana na vita inayoendelea. Kwa nini asisubiri kuwe shwari na Amani halafu ndipo raia Waulizwe/Wapige kura wanajihamulia wawe ni wa nchi/taifa gani?? Yeye keshakurupuka na mavifaru, mindege-vita na ma nini cjui ...halafu anataka watu wapige kura.
 
Hii
Inaonesha uchanga wa akili yako eti hakuna eneo la asili ya watu flani
 
Anatilisha huruma Putin hakutegemea kumkuta yoote haya., jeshi la Ukrean linasonga mbele na watamaliza na Cremea
Jitekenye tu hayo maeneo aliyoyachukua huko Ukraine yarudisheni kama mnaweza
 
Sifa zoooote ulizozitaja ni za US na NATO. Urusi kafitinisha nchi gani zaidi ya kulinda maslahi yake tena kwa majirani zake ambao mwanzo walikuwa chini ya USSR. NATO kule Syria, Afghan, Iraq, Libya, Congo, Liberia, Somalia orodha ni ndeeefu wamefitinisha na kuanzisha vita kwa maslahi yao.

Uahawahi kuiona Russia nje ya majirani zake?
Pale Syria anapambana na.manyang'anyi yanayokata kumuondoa Assad yapore mafuta na gesi
 
Hii

Inaonesha uchanga wa akili yako eti hakuna eneo la asili ya watu flani
Basi una akili pungufu sana. Kwa akili yako hiyo ya kutoheshimu mipaka ya kimataifa unataka kusema mpaka wa Tanzania na Kenya nau uhame ili ardhi yote inayokaliwa ni wamasai kiasili iwe ama ya Kenya au Tanzania lakini wamasai wasiwe katika nchi mbili zinazopakana, ama sivyo nchi mbili hizi zipshambuliane kuhamisha mpaka.
 
Jitekenye tu hayo maeneo aliyoyachukua huko Ukraine yarudisheni kama mnaweza
Kharkiv sasa bendera za Ukrean zinapepea kila kona Urusi iliuchukua huu mji ikiwemo na miji midogo Izyum tangia March na kuweka base zake sasa ni kweupe, kazi inaendelea jana Wanaume wamenza Luhansky na tayari kuna vijiji ni vyeupe wamesafisa, muda utaongea ifikapo december mwaka huu
 
Kule Libya, Afghanistan, Syria NK ni mipaka ya NATO? au unajitoa ufahamu kwa kuwa your brainwashed na westerners
 
Sasa kama hawajui chochote inakuwaje wanawaburuza NATO
Nimesema ni kazi nzito hapo juu. Je, kazi ikiwa nzito ina maana umeburuzwa? Hao "wakuletwa" na waliowaleta wanatekwa, wanauawa, wanaacha silaha wanakimbia, n.k. yote hayo yanahitaji yaangaliwe kwa umakini. e.g. huwezi kuacha mzigo wa silaha uliotelekezwa porini - lakini kumbuka hujaja hapo kwa ajili ya usombaji mizigo ya silaha.
 
Huto ni tuvijiji na hakuka mali za maana huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…