Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
Ndugu yangu, bwana wee wanakuambia kaishiwa askari anazoa, kwani Urusi na Putin si ndo anawapusua kichwa sasa kama kaishiwa wanasubiri nn kumtandika mapema tu wakamaliza matatizo haya yanayowasumbua?
 
Ndugu yangu, bwana wee wanakuambia kaishiwa askari anazoa, kwani Urusi na Putin si ndo anawapusua kichwa sasa kama kaishiwa wanasubiri nn kumtandika mapema tu wakamaliza matatizo haya yanayowasumbua?
Nimewauliza naona wanarukaruka kama bisi
 
Mkuu; Tujikite kwenye hili linaloendelea sasa kwa Mrussi. Ukraine ni Taifa linalotambulika kimataifa na kwa hiyo lina geographical position - mipaka yake. Ndani ya Mipaka ya Ukraine utaikuta Crimea, Donbas, Luhansk n.k.
Mrussi kwa kutokana na kwamba mikoa hiyo ni ya mpakani na waanaoishi humo wanazungumza kirussi, kaamua kuanzisha mgogoro kwa kupenyeza ushawishi kwa watu hao na kuunda magenge-vita ili wajitenge na Ukraine hata kabla ya 2014. Hadi sasa hilo limekuwa ni mgogoro mkubwa na limepelekea Mrussi kuingiza majeshi yake Ukraine na hiyo ndo ni vita inayoendelea hadi kuhusisha Mataifa mengine.
 
Hakuna mali za maana kwanini waliuteka?? hatimae wakatelekeza hadi mitambo yao na kutimua mbio
Mnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimemjibu kutokana na alichouliza.mchangiaji.


Kuhusu hili nadhani nshamaliza maana nshamaliza kueleza ila wenye vichwa maji. Ngoja niwaache waendelee kubishana. Ila kura zinaendelwa vema na Putin anaandaa jeshi kwenda kulinda mipaka mipya.

Case closed!!!
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-150658_Facebook.jpg
    234.2 KB · Views: 5
Mkuu; Mali za maana kivita huwa ni zipi?? Mbona huko ndiko Mbabe aliweka base kubwa ya jeshi na ndiko kuna visima vikubwa vya mafuta vya nchi ya Ukraine n.k.??
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-150311_Chrome.jpg
    190.5 KB · Views: 5
Mnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu Einstein2 kumbuka kwamba mwanajeshi anayetekeleza kazi yake kwa weledi husikiliza au hupokea amri kutoka kwa kiongozi wake. Kiongozi wa Wanajeshi wa Ukraine alishaagiza Usipige,Usiue, wala Usidhuru mali isiyohusika na vita. Hilo lipo hata kwenye Taratibu za Vita Kimataifa. Lakini ona jinsi Mbabe wako anavyochoma moto mashamba na anavyoua hadi ng'ombe za wafugaji ...... ni ukiukaji wa Sheria lakini zaidi ni AIBU na ni LAANA kwa Mrussi wako.
 
Imeisha hioo
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-150658_Facebook.jpg
    234.2 KB · Views: 6
Mnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu kura ni kwa miji ambayo bado russia wanaishikilia huko Donbas ambayo wanaume wako kazini kumalizia, Luhansky rasmi kazi imeanza watamalizia na Crimea, ni vile Mrusi atakufa kwa aibu
 
Basi mungewaambia na west wafanye haya mnayo yasema kwa COSOVO dhidi ya SERBIA
hayo majambo hayajaisha na hayatakaa yaishe
Mkae tu kwakutulia hapo ishu nimaslahi tu
Maana WESTERN wengi kama sio wote wanautambua uhuru wa COSOVO ila RUSSIA hawautambui
Kama ilivyo kwa RUSSIA kuutambua uhuru wa DON BASS ila WESTERN wote hawautambui
RUSSIA yupo sahihi kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ripoti ya haki za binadam ya UN ilitoa ripoti kwamba majeshi ya UKRAINE yanaua nakutesa RAIA
Hukuiona hukuipenda ama ilikupita MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…